Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hotuba ya Zelenskky anasema,"Urusi amekuwa mmoja supplier wa vifaa vya vita Ukraine baada ya kutelekeza vifaru vyake na vifaa vingine vya kijeshi ,na Ukraine kuvitumia vifaa hivyo dhidi ya majeshi ya Urusi"!!!
 
kwann tz hatumo tuna kahwa nzuri kutoka ilej na mchele
 
Nazungumza kingine wanijibu kingine so ngumu kufika mwafaka. Namna unavoona tofauti kabisa na mie navotizama kwe jambo lile lile... Sa hivi ngoja nitumi data zako mwenyewe...



Nikianza na hiyo ya kwanza ya Exports, Russia yupo number 13... Kisha kwa hesab nzuri angalia Value ya Imports anayopokea kutoka china... Apa tuelewane vizuri... Export kwa china Maana ake ni Import y Russia...

Apo ipo 50B ambayo Out of 247B ya Imports za Russia means over 24% out of over 200 Countries dunian ya Import inayoingia Russia ni Kutoka nchi Moja tu China....

Haya njoo kwe hii ya pili uloniletea

View attachment 2151399

Narudia tena kukukumbusha kua Imports ya China maana ake ni Export ya Russia...Kutoka kwenye hizo data Russia ana Export 57B to China out of 426B hiyo ikiwa na Maana ya 13% ya export anayofanya mrusi kwenda nchi kati zaidi ya 200 dunian anapeleka China...

Haya nakupa hint nyingine nenda kaangalie Export anayofanya Russia Count hizo nchi zilizoweka vikwazo... Angalia n vikwazo vya aina ipi na vnahusiana nn na hzo Exports za Russia...

Wazungumzia kuhus SWIFT as if iko applied kwa banks zote za kirusi ilhal iko selective kwa baadh ya bank zilizo na mlengwa wa moja kwa moja na Federal Government tena k sikosei n 3 tu.

Simaanish Russia haitatikiswa na hvo vikwazo ila hatotikiswa kiasi ambacho akili zetu zinawaza...

Kwa mtazam wang lau kama Nchi kama ZOTE za Gulf region, Nchi ZOTE za Asia Pacific, India na China hizi zingeungana na Western kumpiga vita Russia apo kweli Russia ingekuwa imetengwa rasmi na Dunia ila Consequences zake zingeihenyesha Dunia...

How? Nenda kwa wachambuzi wabobezi wa uchumi watakupa data kamili... Achana na hao wanasiasa wanaoingiza siasa zao kwenye numbr ilhl number hazidanganyi...
 
Wewe mbona unapenda usikilizwe tu,yani wewe kila kitu unajua,kuanzia maswala ya kivita,ki uchumi,kisiasa lakini wakati huo huo hutaki wenzio wajaribu kuchangia kile wanachokijua πŸ™„ mtu akikupinga utamjia na maneno ya kejeli wakati huo huo na wewe unatujaziaga hapa mi comment mingi na source zako zikiwa google.Wakati mwingine ni busara kukubaliana kutokubaliana.Mwache T14 Armata achangie kile akijuacho pia.
 
Japan itaendelea na mradi wa gesi ambao Shell ilijiondoa.

"Sakhalin-2 is Russia's first LNG project. Russia's state-owned Gazprom has a stake of about 50%, Shell about 27.5%, Mitsui 12.5%, and Mitsubishi 10%. Beginning shipments in 2009, of the 10 million tons produced annually, about 60% goes to Japan, accounting for almost all its LNG imports from Russia."
 
Nikajua Nguvu zake za kijeshi zimeisha kama watu wasemavyo, sasa hayo madege Mpaka Pentagon wameshtuka, Imekuwaje tena.
Wewe jamaa umeshoonekana una upande, pro russia wengi hamfutilii kitu inaitwa historical reality wengi mnaona Putin ana legitimacy ya kuivamia Ukraine. Matakataka yako unayotupa humu hayako balanced unajichosha tu , watu wanataka analysis
 
urusi ndio imeteka silaha nyingi za ukraine. Ukrain haijateka kitu ingekuwa kweli wasinge rudisha nyuma na warusi
pichani ni urusi ikiwa na silaha za ukraine
 
Mwingine huyu hapamadonda ya tumbo tayariπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe jamaa umeshoonekana una upande, pro russia wengi hamfutilii kitu inaitwa historical reality wengi mnaona Putin ana legitimacy ya kuivamia Ukraine. Matakataka yako unayotupa humu hayako balanced unajichosha tu , watu wanataka analysis
 
Baraza la usalama la Ukrain lingemshauri vizur Rais, wasisikilize porojo za magharibi, nchi itabaki historia.
Kaka hupendi kusikia Waukraine wanasemaje? Au hutaki? Unapata wapi dhana eti ni "wamagharibi" wanaotoa amri? Ni wananchi wenyewe ambao hawakutaka tena kufuata mfanbo wa Urusi. Wana historia wao wenyewe na Urusi, wana kumbukumbu yao. Walijisikia ni ndugu wa karibu, lakini pia wanakumbuka walidhulumiwa mara kwa mara chini ya utawala wa Moscow. Miala iliyopita waliamua wanataka njia yao pekee na Urusi. Je ni haki yao? Au la?
 
namim nasubir majib mana kwa mtazamo wang kama adui kaomba msada ina.mana pumz.imekata sasa si ndio wammalize kabisa mbon hajaingia mtu mpka sasa?
Kama adui pumzi imekata mbona hamwakamati masikio na kuwarukisha gwaride la kufa mtu kutoka kwenye magofu ya Kyiv hadi St. Petersburg?

Mwambieni Zelensky atoke London. Anafanya nini huko wakati raia wake amewachomea waangamie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…