Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jeshi lipi Sasa lililo well trained na lenye nguvu hapa duniani?
Maana USA walikimbizwa na wanamgambo wa somalia na kikundi Cha watalaban.
Lkn miaka mingi kabla sijazaliwa pia walikimbizwa na WA Vietnam.
Jeshi la ukraine like well trained na USA UK Fra German Poland. Na wengine wa NATO.
 
Aisee kwa kweli tulitoka mbali sana.
Kwa Mimi ninavyojua USA walishatumia nuke kwa japan baada ya kuzidiwa na WAjapan.
 
Safi sana hii March 2 2022
 
March 7 2022
Dah!
Leopard,challenger na Abraham ndio hizo,zinaharibika zenyewe TU vitani hata bila kupigwa.
Propaganda ilitawala sana vita hii.hatimae pumba na mchele vimetengana.
 
Aisee!
Lakini Hadi Sasa Ukraine inakamata wajawazito na wavulana waende vitani.naada ya hao waliopigana tokea 2014 kuuliwa wote.
 
March 7 2022
Huyu mwamba huyu sijui anasemaje Leo hii jui ya Hali halisi huko ukraine
Performance ya jeshi la anga la Urusi ni mbovu mpaka sasa, walikuwa na uwezo wa kutawala anga la Ukraine mapema kabla ya kuja kwa AD's ila walishashindwa.

Hata SEAD iliwashinda kufanya japo wana ndege nyingi kuliko Ukraine, walivamia kwa pupa bila maandalizi.

T14 Armata
 
March 7 2022
Hoja hii ilijibiwa kwa hoja mujarabu kabisa na mwamba IFAC.
IFAC
 
March 7 2022
Propaganda bana Hadi jf.kama Ingekua Urusi Haina uzoefu kama mchangiaji hapo juu asemavyo basi Leo hii NATO wangekua Moscow na Putin the Hague.lakini ajabu Leo hii NATO wamemsusia Ukraine shughuli.
Wao wameishiwa Hela na silaha Putin ndo kwanza hajaanza vita.
 
Ukweli ni kua west ndio wameumia.urusi alikuja na swift yake.
 
Aisee kama tungejua Warusi walijipanga tusingeandika haya
 
Yes march 9 2022
 
March 9 2022
Dah!
Aisee Kila silaha ilipelekwa Ukraine Hadi waliopeleka wakaishiwa.
Urusi imecheza na Kila aina ya silaha kutoka NATO.
 
After hours of talks last night, Putin escorted Raisi to his car.

They discussed regional and international issues, mainly focusing on Gaza.

Iran’s minister of foreign affairs, minister of roads and urban development, oil minister, head of the Atomic Energy Organization of Iran, the governor of the Central Bank of Iran, and their Russian counterparts continued negotiations
 
March 10 2022
Ila mimi wakati vita inaendelea nilikua naona vifaru vipya vya Urusi kwa mamia vimepakiwa kwenye ma tren mara Kwa mara vikienda front
 
March 10 2022
Propaganda hatimae zilifika mwisho.
Kama vifaru vya Urusi vilikua vinapigwa hivyo mbona Ukraine kachoka Sasa?
 
March 10 2022
Baadae watu tukapigwa na bumbuwazi baada ya kuja kugundulika kua Iran na Urusi wana dron hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…