passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Bado unaongea ujinga?yaani silaha zake tumeona zimempa ushindi dhidi ya silaha za NATO Ukraine alafu bado unaongea ujinga.kweli mtu mwenye akili hawezi kushabikia NATO.Sio suala la ndege tu, hata silaha nyingine Urusi imegundulika ni maneno mengi vitendo hafifu. Ndio maana mwaka huu Urusi imebeba sample tofauti 250 za silaha kwenda Dubai expo wakakosa kuambulia hata kuuza kifaa kimoja. Wakati Marekani imejizolea deals kadhaa.
"We have been working without (international financial transaction service) SWIFT, without the dollar and without the euro for a long time," huyu ni mkuu wa kampuni mama ya kuuza silaha ya Urusi Rosoboronexport, Alexander Mikheev akilialia.
Data za SIPRI zinasema Russia ilikuwa na share ya 22% ya arms exports duniani miaka ya 2013-2017, ikashuka kuwa 16% miaka ya 2018-2022. Hapa 2022 hadi 2024 wakipata 10% ya arms exports Warusi muombe mods wa JF wanipige ban.
Kama vipi leteni mikataba ya mauzo ya silaha ya Urusi mimi nilete ya nchi za kawaida hata Uturuki tulinganishe mwaka 2022 au 2023 tuone nani kauza silaha nyingi. Au tulinganishe orders za silaha za Urusi zilizokuwa cancelled na silaha za superpowers.
Superpower mwenyewe sasa kazidi kusaini deals za hela nyingi. Hata nisiandike mengi UAE pekee ilisaini deal la dola bilioni 52 kununua ndege za Boeing. Ila angekuwepo muuza maji aliyeyabeba kichwani angeingiza hela nyingi kuliko Urusi wiki ile November mwaka huu. Hii ni Il-76MD90A ya Urusi iliungana na silaha zao nyingine katika harakati za kupigwa vumbi pale Dubai kisha kurudishwa nyumbani mikono mitupu.View attachment 2837077
Kulingana na TASS (TBC ya Urusi) kumbe vikwazo viliwasumbua Rosoboronexport, wanadai wametatua matatizo ila Dubai wamesaini deal la kuuza silaha sifuri.View attachment 2837074
Wanapigania wapi ?Mnaanza kujijibu wenyewe kwamba urusi anapigana na NATO
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Na tujikumbushe kidogo ile ni just special operation, sasa uwanze kuhangaika kumiliki anga la nini wakat ni just an operationTatizo sio kumiliki anga bali tatizo ni unamiliki anga dhidi ya nani?
Usiniambie kuwa Marekani akiingia vitani na Iran au N.korea ataweza kumiliki anga kama alivyo weza nchi nchini Iraq na Afghanisitan.
Alafu Ukraine ina eneo kubwa sana huwezi kudhibiti anga lake kirahisi, acheni kuchukulia mambo kiurahisi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umefufukaUkraine mwaka 2014 alikuwa na silaha za Urusi hakurusha risasi hata moja wakati Russia inavamia Crimea. Leo Ukraine ina silaha za Western mara ipige Kerch bridge, mara ipige Moskva missile cruiser, mara ipige landing crafts, imepiga air defense systems hizo S-300 na S-400.
Kazi za Storm Shadow, HIMARS, GMLRS na nyinginezo umeona.
Urusi imefanya mobilization mara mbili, mara ya mwisho kufanya mobilization ni 1941. Bado huoni Ukraine inavyowatoa jasho? Hapo ukija kwa mataifa makubwa kama Ufaransa je?
Naona unatumia teknolojia ya Mmarekani kuleta dharau.
Ufaransa imewagomea kuwauzia meli za Mistral. Bado Thales ya Ufaransa ikawagomea kuwauzia Catherine system kwenye vifaru vyenu. Alafu eti nyinyi ndio mna uwezo wa kuishinda China.
Wapi nilisema hivyo?
Credible source ni "trust me"....Tutajie hizo nchi zilizo ingia deals za kununua siraha Marekani kupitia Dubai export?
Tuwekee credible source.
Special military operations tunatafta mwaka wa 3 [emoji16][emoji16]Na tujikumbushe kidogo ile ni just special operation, sasa uwanze kuhangaika kumiliki anga la nini wakat ni just an operation
Ukraine mwaka 2014 alikuwa na silaha za Urusi hakurusha risasi hata moja wakati Russia inavamia Crimea. Leo Ukraine ina silaha za Western mara ipige Kerch bridge, mara ipige Moskva missile cruiser, mara ipige landing crafts, imepiga air defense systems hizo S-300 na S-400.
Kazi za Storm Shadow, HIMARS, GMLRS na nyinginezo umeona.
Urusi imefanya mobilization mara mbili, mara ya mwisho kufanya mobilization ni 1941. Bado huoni Ukraine inavyowatoa jasho? Hapo ukija kwa mataifa makubwa kama Ufaransa je?
Naona unatumia teknolojia ya Mmarekani kuleta dharau.
Ufaransa imewagomea kuwauzia meli za Mistral. Bado Thales ya Ufaransa ikawagomea kuwauzia Catherine system kwenye vifaru vyenu. Alafu eti nyinyi ndio mna uwezo wa kuishinda China.
Wapi nilisema hivyo?
Uko vizuri mwamba.Maisha haya bana, kuna vitu tunaandika ama kuzungumza baada ya mda tukiletewa kisha tukaambiwa uliandika au kuzungumza hivi na vile unashituka.
Binafsi nimeshituka hasa kwenye hizo paragraph mbili za mwisho ha ha naona morali ulikua juu kama mmasai au mkurya aliyemaliza kula kichuri. Eti m@mae 🤣🤔
Ha ha haa.Miezi mitatu hamjamalizana na Ukraine wakati mlienda kutumia siku tatu. Huyo Finland mtamuweza wapi sanasana mtaishia kumkatia umeme na gesi
Hii ilikua mei 21 2022Da Pro Russia Kuna kitu nimejifunza.
Kwa mijadala kama hii,kwa nondo hizi mnazozitoa,aisee Kuna jambo la kitabiabama sijui niseme kisaikolojia nimejifunza .
Sijui kama ntaeleza vizuri.
Kumbe mtu kuamua kuchagua ama. Kujikuta uko upande Gani Ni suala la kitabia na kimaumbile zaidi.
Kwa jinsi ulivyo hangia hapa,kwa kuchangia ama kujibu hoja ya mdau najinsi Pro Russia wengi wanavyochangia na jinsi Pro USA wengi wanavyochangia nimegundua kwamba.
USA na west ni nchi zenye majivuno,dharau,kiburi,jeuri,matumiazi ya nguvu na mengineyo.
Hivyo hata Mashabiki wake wengi wanapenda tabia hizo.
Ndo mana utaona USA hata maamuzi yake mengi ni kama nilivoorodhesha.
Kupenda aonekane ana nguvu ama za kijeshi na kiuchumi,maamuzi yake mengi ni jeshi ama vikwazo,yeye mazungumzo kwake hua ni kidogo sana,ukimshinda kwa hoja jiandae kwa kipigo.
Njoo upande wa Urusi hata china na wenzao.wao ni hoja zaidi,kutokupoenda kutumia nguvu wala vikwazo,kupenda maridhiano na mijadala.
Angalia mgogoro huu,Urusi alianza kuisihi mda mrefu mno USA isizidi kuitanua NATO kuelekea kwake USA ikawa mbishi ,kiburi na dharau.
Mizozo mingi Urusi na china na wenzake wametaka.kuimaliza kwa mazungumzo.
Nataka kusema nini Sasa.
Kumbe mtu anajikuta Yuko kundi au upande Fulani kutokana na tabia za Upande huo kumvutia kulingana na tabia zake.
West - nguvu,ubabe,majivuno,kiburi,dharau,kujiona wanajua Kila kitu.
East - heshima,usikivu,majadiliano,upole,uungwana,kumshirikisha,ubabe,nguvu.
Mei 22 2022Kabisa lee van cliff inabidi kuwakumbusha hawa wadau mitazamo yao ilivyokua na sasa hali ilivyo maana huwa tunatumia history + current situation ili tuweze kupredict future itakuaje.
Mara moja moja napitia post za nyuma kuangalia ilivyokua na ilivyo sasa.
Russian block bado iko stable toka operation ianze ikiongozwa na wazee wa surgical operation "surgeons" kama Galip Vrl Bwana Utam green rajab Sikirimimimasikini RTI wa kupuliza Champagnee bila kusahau mzee wa "hot news" NYUNDO YA MOTO kuna specialists wakutosha kama DeepPond Extrovert TUJITEGEMEE George Betram Ask HQ Jesus Mlokozi ngaboru desayi Mr Tyang Nkuba25 Carlos The Jackal Katunge World Wide lee van cliff Kizibo Mtoto wa nzi na wadau wengine wengi sana
Kwa upande wa Ukr/NATO block, surgeons wengi wamekimbia uzi ila wamekua wanapita mara moja moja kuangalia maendeleo kama Nyamizi Frank Wanjiru MK254 wakabaki wachache kama Omary - Msamalia Mwanamkiwi Tsh britanicca baadhi ya specialists wao bado wanapambana ila wanakutana na pingamizi kali kutoka russian block CHAMASON-MORISON-SAKHOSON Proved Jackal bila kumsahau general practitioner YEHODAYA na wengine wengi.
Hapa katikati wamepotea wadau wachache ambao tulitamani kuona michango yao mfano T14 Armata aliyekua mchambuzi wa masuala ya kivita japo alionekana kuwa na imani sana na silaha za nchi za NATO/ulaya kama Javelin, stingers, manpads, howtizers bila kusahau drones pendwa aina ya Bayraktar TB2 kutoka uturuki ambazo zimeonekana kudhibitiwa na Russian army.
Operation hii imekuja na mambo mengi mfano kuna watu walikua na uhasama kwenye siasa za ndani ila kwenye siasa za nje wakaungana wakawa block moja mfano Salary Slip na johnthebaptist
Nawasihi Ukr/Nato block warejee tuendelee na mijadala maana hii vita imetufungua macho vitu vingi kuhusu hizi siasa za kimataifa.View attachment 2234117View attachment 2234119View attachment 2234120
Ha ha haaei 22 2022Shukran sana mkuu kwa utambulisho mujaarabu kabisa wa timu zote katika hii operation na umemaliza kwa kutoa nasaha nzuri sana ya kuwaomba PRO-NATO Kurejea kwajili ya mijadala ila chakusitikisha nikuwa hawataweza kurudi kwa kasi ile ya mwanzo kwasababu walichokuwa wanakifahamu au kufikiri kuhusu Westerners nitofauti kabisa na wanachokiona sasahivi.
Watu walio anza kuifuatilia Urusi baada ya hii operation kuanza ndo hawa PRO-NATO waliopotea kwa kasi maana walidhani USA&NATO+EU zinavyo ogopwa na kutetemekewa na nchi zao masikini basi itakuwa hivo hivo hata kwa Russia, na wakati wanaambiwa kuwa Russia siyo Zimbabwe nadhani hawakujipa muda wa kuutafakari vizuri huo usemi, kama wangeufanyanyia kazi huo usemi basi pengine wangeelewa uhalisia wa nguvu ya Russia na wangebadili akili zao nakuanza kuchambua operation hii kwa facts na siyo kwa mahaba ya USA&NATO kisa tu walisikia story za USA&NATO walivyozichapa Libya, Yugoslavia, Iraq na Vietnam(japo kwa Vietnam USA maji aliyaita Mma).
Wito wangu kwa PRO-NATO mliobaki mkitaka uchambuzi wenu uwe na mashiko na wenye nguvu basi naomba muelewe huu usemi wa RUSSIA SIYO ZIMBABWE WALA ESTONIA NI THE GREAT RUSSIA FEDERATION baada ya hapo naamini ndo tutaanza kwenda sawa hata kama mawazo nitofauti ila bado hayatoki sana kwenye uhalisia.
Ha haa haaMdogo mdogo tu dunia imeanza kuamuka kutoka kwenye akili za sindano ya ujinga. USA chini ya Biden inaenda kupoteza ushawishi na uoga iliyofanikiwa kuupandikiza kwa nchi nyingi duniani. Elimu ya watu kutofautisha 6 na 9 imeongezeka sana siyo kama enzi za ujima.
Kama kweli Biden anapenda kulinda heshima yake na USA basi nivyema akakalisha makalio yake white house akaacha kuhangaika na nchi za wenzie lasivyo ataishia kujiaibisha yeye na taifa lake.
Babu Joe Biden ndo mfano hai wa ile kauli ya wahenga isemayo "siyo kila mzee ana busara, hata wapumbavu na wajinga huzeeka pia"
Lol mambo hayo!Marekani wahuni sana, walizinanga droni za Turkey kwa kufeli kuisaidia Ukraine kujilinda na mashambulizi ya majeshi ya Russia. Marekani wakajipigia chapuo kuwa droni zao ndio bora zaidi, zitabadili hali ya mambo vitani Ukraine...wakamuingiza kingi Zelensky akanunua kwa mkopo midoli mingi toka Marekani yenye majina mazuri na ya kuvutia mno kibiashara; 'Kamikaze drones' na 'Phoenix Ghost drones'
Sasa hivi Marekani anaripoti kuwa zaidi ya droni 900 za Ukraine zimeangushwa na kuchomwa na majeshi ya Russia nchini Ukraine. Anasahau kuwa ktk ktk droni hizo zimo kibao zimetoka kwake mwenyewe (Marekani)
Ikumbukwe kuwa Russia baada ya kuona Marekani na NATO wamezimimina droni zao Ukraine, naye alaamua kuwapelekea silaha mpya ambazo wao wenyewe NATO wanasema hawazifahamu (secret weapons), ambazo zinachoma droni za Marekani/NATO kama mishikaki vile
======
View attachment 2234773
View attachment 2234771
View attachment 2234772
View attachment 2234774
Aisee !Mkuu achana na hao watoto wa mama wasiojua hata wakisemacho.
Kuipambanisha kivita Russia na nchi moja tu kama USA nikuikosea heshima yake kijeshi, Russia vita na operation zake zote ilizopigana na inayoendelea sasaiv huwa inapigana na mhusika mkuu lakini nyuma ya huyo mhusika anakuwepo USA na allies wake + Vikwazo + kelele za UN na bado huwa hawaiwezi Urusi, rejea operation za Syria, Venezuela, Georgia na sasahivi Ukraine halafu utaelewa kwanini USA&NATO wanaiogopa Russia.
USA ukiondoa nukes ni size ya wavyetenam, wataliban, wasomalia na wale wake zake wa "EU"
Ila Russia ikiamua itumie full scale war bila nukes hakuna nchi hapa duniani yakuhimili mziki wa mrusi. Russia ana hypersonic missiles na Surmat missiles(toleo jipya), vacuum bombs na laser weapons ambazo nchi nyingi dunian hazina na wengine ndo bado wapo kwenye trial testing ya hypersonic missiles tena kwa kukusanyana kama viazi.
Tumeona marekani akipigana vita/Operations nyingi duniani bila nukes zipo alizoshinda na zipo alizoshindwa mfano; Libya alishinda(kupitia mgongo wa NATO), Vietnam alishinda(japo hatasahau moto wa wavyetenam), Syria Alishindwa yeye na waasi wake (hapa alikutana na moto wa Mrusi), Venezuela alishindwa (Moto wa mrusi pia), Somalia alishindwa ( alikutana na moto wa muafrika mla bangi na siyo mvutaji), Afghanistan alishindwa(moto wa wataliban)
Na ieleweke kuwa hapo anakuwa hana vikwazo wala kelele zozote za Ulaya na UN anapopigana sasa hebu jaribu kugeuza mazingira anayopiganaga USA ndo yawe kwa Mrusi unadhani Ukraine ingekuwa je sasahivi?
URUSI [emoji635] KIJESHI SIYO ALBANIA [emoji1025]
Dah!Lavrov: Those who seek Russia's defeat 'on the battlefield' probably had a poor education, don't know history very well and do not understand what Russia is
Watu kama wewe FUSO ndo mnaambiwa na Lavrov kuwa mna poor education na mmezamia kuchambua mambo amabayo yapo nje ya uwezo wa akili zenu.
Huu muda mnaotumia kuandika pumba zenu, mngeutumia kwenye kilimo cha alzet na mawese mngekuwa mshaondokana na ulaji wa supu kwa mboga zenu.