Tatizo sio kusimamia unacho amini, tatizo ni pale unaposhindwa kusimamia unacho amini baada ya kupata madhara makubwa.Wananchi wamesimama na raisi wao kuamua walichoamua. Heshimu tu hilo. Ndo maana hawakuandamana kutaka atoke madarakani ila walichukua silaha na walioogopa waliondoka nchini. Sikia cardless, kama jinsi ambavyo unavyoona kuwa ni sahihi nchi ya Urusi kuivamia Ukraine basi pia waelewe Ukraine kuchukua maamuzi ya kukataa kuwa chini ya Urusi. Kuwa neutral, usitake kulazimisha.
Unaiamini kweli?? Kwa Ukraine kutosimama upande bwana Putin alihitaji kueleza mara kadhaa eti Ukraini si nchi halisi? Haistahili kuitwa dola? (jinsi alivyofanya mara kadhaa...)Hapana, Hapana, huelewi, mbona anachotaka Urusi ni UKRAINE awe Neutral tu basi.
Mkuu unayo yaandika una jichosha bure hii vita Ukraine imepoteza pakubwa mno maana sasa hivi wameanza kukubali matakwa ya Urusi ambayo walikuwa wanaya kataa hapo mwanzo huku nchi yao ikiwa imedha kuwa magofu.Unaiamini kweli?? Kwa Ukraine kutosimama upande bwana Putin alihitaji kueleza mara kadhaa eti Ukraini si nchi halisi? Haistahili kuitwa dola? (jinsi alivyofanya mara kadhaa...)
Kwa shabaha hii alihitaji kuvamia tayari Crimea na kuanzisha uchocheo huko Donetsk / Luhansk kwenye mashariki ambako alituma vikso vyake bila sare tangu 2015 ili aweze kutangaza "jamhuri huru"? ambacho anajaribu tena sasa hivi pale Kherson (kusini, jirani na Krimea).
Anachovuna ni watu wanaanza kuchukia Urusi (ambayo sipendi maana Urusi ni nchi nzuri yenye serikali baya). Finland ilikuwa neutral, baada ya uvamizi wa Ukraine zaidi ya 69% za wananchi wanapenda ijiunge na NATO, kuna mipango ya kuandaa kura ya wananchi juu ya hiyo. Je, hawana haki kuamua?
Na watu wa Ukraine wenyewe - wana haki au hawana haki kuamua washikamane na nani?
Tangu NATO ilipoundwa 1940s, ni Urusi tu iliyovamia nchi katika Ulaya: Hungaria 1967, Chekoslovakia 1968, Georgia na Ukraine...
Pamoja na kutetea koloni zake pale Kaukazi katika Chechnia......
Hapa tunasikia watu wanaoema LAKINI URUSI NCHI NZURI HAWAKUWA NA KOLONI AFRIKA - ambayo ni kweli, maana walikuwa busy sana kupanusha makoloni huko Asia . . . . . . .
New Syria na Libya, in the making!Biden plans to announce a new military aid package for Ukraine worth about $1 billion today.
Assistance is expected to include anti-tank and anti-aircraft systems, man-portable air defenses such as the Javelin and Stinger, the WSJ reports.
The day before, Biden signed a bill to finance the government until the end of the year, which includes $ 13.6 billion in military and humanitarian assistance to Ukraine and its neighboring countries. Galip SV Liwagu View attachment 2152577
Hilo jamaa mbona kama linashabikia sasa🤩🤩😂😂😂😂😂😂
Kaka je unajua wewe sababu ya kuundwa kwa NATO ilikuwa nini? (sioni dalili unajua...)You know nothing in international diplomatics.
Umewahi kujiuliza lengo la NATO ni kujilinda na NANI??
UKIJUA HAPO UTAELEWA KUWA UHURU WA UKRAINE UNA MIPAKA YAKE.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duh that's why Stock ina hali mbaya mno...
Ndiyo, naona kuna busara kama serikali ya Ukraine iko tayari kusogea kiasi. Ila naweza kuwaelewa kama hawakuwa tayari kukubali moja kwa moja hadi ibaonekana Urusi haiweza kutenda jinsi inavyotaka.Mkuu unayo yaandika una jichosha bure hii vita Ukraine imepoteza pakubwa mno maana sasa hivi wameanza kukubali matakwa ya Urusi ambayo walikuwa wanaya kataa hapo mwanzo huku nchi yao ikiwa imedha kuwa magofu.
View attachment 2152689
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Ngoja nikuulize, kwako wewe nchi Tajiri zaidi duniani ni ipi.? Ukute hata huo uchumi huna uelewa nao kabisa.
View attachment 2152624
Eti ka apa unyanyue kwato zako upelekwe Congo... Hujawah ata fika huko kwamba unafika kwa mara ya kwanza, huzijui wala chocho za mitaa hyo uzoefu wa kupigana Zero... Kisha unakufa kihasara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af wahenga tunakupost mabula ni Shujaa amefia Congo kwe operation za kijeshi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huo ni Undezi Plus..
Ukraine imekuwa ni kaburi la viongozi waandamizi wa jeshi la Urusi 🤔
Major General mwingine wa Urusi Oleg Mityaev ,ameuwawa Ukraine!View attachment 2152418
Kwa mtindo huu hata Putin akijifanya anakwenda Frontline , Ukraine wanakula kichwa.Huenda Kuna intelejinsia ya Ukraine imejipenyeza kwenye majeshi ya Urusi 🤔Ukraine imekuwa ni kaburi la viongozi waandamizi wa jeshi la Urusi 🤔
Major General mwingine wa Urusi Oleg Mityaev ,ameuwawa Ukraine!View attachment 2152418
! Mkuu punguza kidogo warusi wasije wakaona post yako. Wasije kushusha ma illushin sijui yaje kuchukua brigedi Moja ya reserve Force senior Mg kutoka kaboya, y Nye battalion Kama 30 hiviHAO NATO HAKUNA KITU KABISA HASA HIVYO VIDEGE WANAITWA WAINGIE MZIGONI WANAKULA KONA HA HA HA NATO HATA SISI WABONGO TUNAWACHAPA VIZURU TATIZO MASHOGA WENGI MLE
Swali njema; mpangilio huo wa 1-2-3-world haifai kwa nchi kama Katar. Si rahisi kusema iko wapi; maana ni nchi tajiri sasa, lakini msingi wake dhaifu: kuna utajiri wa gesi (hadi jirani mkubwa anaamua si yake tena? mfano Ukraine-Crimea, kwa nini isitokee kuhusu bahari ya Katar penye gesi kama ??).Hivi kwanini Qatar is the richest country in the world but wameiweka Kwenye third world countries!?
Bado wako hapa wanatuletea "Hot News" maana Breaking News hazipo tena.Tuendelee kuwavumilia mpaka tutakula PasakaVipi uko Warusi msha fika Ikulu au bado tuwavumilie na taarabu zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaijua lakini Russia au ndio tupo pamoja tunaishabikia Vita tukiwa nyamisati?. Hao ma major general huko Russia ni Kama mabrigedia huku kwetu maana wao akitoka kwnali anaingia generali wachini ambaye ndio mpiga vikosi vya mapigo na kumaintain battle na supply ya fire team na standby rain forcement. Pia huyo major general ha ndi front yeye anakaa umbali wakutosha ambao Ni eneo lisilo ingilika kirahisi yaaani mafichoniKwa mtindo huu hata Putin akijifanya anakwenda Frontline , Ukraine wanakula kichwa.Huenda Kuna intelejinsia ya Ukraine imejipenyeza kwenye majeshi ya Urusi 🤔
Teh teh hatari sana,tangu 'Kyiv majivu" ilivyobuma ,nikaona hapa hamna kitu.View attachment 2152464
We unaonaje?