Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji635][emoji298]Russia has created a no-fly zone over Donbass - Basurin

[emoji635][emoji298]Russia teari wameweka "no Fly zone" uko Donbass region kwa mujibu wa Commanding Officer Eduard Basurin.
 
The cabin was completely torn apart. And not only the cockpit
 
Deputy battalion commander for weapons # 38omsbr Major Ruslan Vladimirovich Petrukhin, born in 1987. from the village Chkalovsky, Orenburg region I went to the exercises and ended up in Ukraine (well, wow). Where on the night of 10-11/03/22 his life suddenly
 
MK254 kile kikundi cha Mombasa kilichotaka kutangaza dola huru kilifikia wapi? Je ni wangapi mliwaua ili kikinyamazisha hayo madai????? Ukishajibu hayo nenda ukakojoe, unye na kulala maana siasa za dunia huzijui

Leo hii mkiachika na Zanzibar, nyie Watanganyika haipaswi muwapangie eti wasioane na Oman, ndoa ikishavunjika kila mmoja akachukua hamsin zake na kujipanga.
 

Wamekufa wengi sana ila wanaleta propaganda kiukweli wanalia kimoyomoyo nadhani mnajua maumivu ya kulia kwan ndani.
 
Something behind the throne of the king which is greater than the king himself.



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Aljazeera (ambayo si media ya kimagharibi) wametambua madai ya bioweapon ni fake. Umoja wa Mataifa (kitengo kinachohusu udhibiti wa silaha) wanasema hadharani hawaoni dalili kwamba silaha za kibiolojia zinatengenezwa Ukraine.

Biolab ziko kila nchi. Biolab ya Tanzania imehifadhiwa na Marekani pia (natumaini unajua kwamba Marekani inachangia sehemu kubwa ya makisio ya wizara ya afya kwa jumla?).

Neonazi wako nchi nyingi. Nikisoma jinsi gani watu kadhaa hapa JF wanamsifu Hitler, lavbda wako hata TZ. Urusi wako. Ukraine wako. Nchi nyingi wako. (ni aibu kwa binadamu) . Urusi inadai serikali ya Ukraine ina Neonazi. Ambayo nikichekesho. Angalia kura za uchaguzi, angalia ushindi wa rais zelensky ambaye ni Mrusi na Myahudi.

Jeshi la Putin inashambulia mji wa Kharkiv tangu wiki 3 sasa. Lilishinda kuteka mji kwa sababu watu wake , ambao wengi ni Warusi Waukraine, wanaitetea.
Propaganda ni sumu inayoathirinuwezowa kuona na kufikiri. Pole.
 
Video kama hizi lazima zinamfanya Putin akili zimuhame, yaani ameingia gharama ya mamia ya vifaru vyake kuliwa shaba, mindege kulipuliwa, maelfu ya wanajeshi Warusi kuuawa ila Kiev bado ipo na rais anadunda mtaani tena akitabasamu, alishauriwa vibaya, na kwa kwenye huu ugomvi tayari ameshaingia kwenye kumi na nane za Marekani na washirika wake, maana uchumi wa Urusi unaendelea kudondokea pua na itachukua muda mrefu sana kurejea kwenye hali ya awali.

Mmarekani ni mtu hatari sana, inawezekana muda wote huu alikuwa ametegeshea kutumia Ukraine kama namna ya kumfedhehesha Urusi na kumtia aibu, leo hii hata mataifa yaliyokua yanategemea nguvu ya Urusi yote yameufyta, Uarabuni hakuna anayesema, nafikiri hata Uchina wamejifunza kitu.

Inapaswa pale mnaogopana na mbabe wako, epuka viugomvi vidogo vidogo usije kuonyesha udhaifu wako, Mrusi angeifanya special operation apige mabomu kadhaa kwa mbali ya kimikakati ila asifanye ujinga wa kufuata ndani.

 


More than 30k Volunteer kutoka mataifa zaidi ya 50 duniani wakipigana Upande wa Ukraine kusindana na Mrusi...



Na bado Jeshi linazidi kwenda mbele bila kusahau ile order waliopewa ya ku'avoid Civil casualties by any means...

Kisha wamarekan wa tandahimba tunakwambia Jeshi la Russia ni Dhaifu dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…