Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Uchaguzi wa Zelenski kwa zaidi ya asilimia 70 ni dalili kwamba mielekeo ya Nazi hazina mashiko katika Ukraine.Huyo myahudi kaingia madarakani mwaka gani unaambiwa Nazi wameanza kunolewa 2004 kwa dhumuli la kudhoofisha Russia
Sent from my CPH1931 using JamiiForums mobile app
Na washaaanza kumjambisha Israel uko...kuna inchi inaitwa iran ni ya pili kwa vikwazo baada ya urusi wamewekewa vikawazo tangu 2018 mpaka leo but hawajawai ketetelekwa ndo wanazidi kuwa imara
Ataendaje sasa wakati mwenyeji wake yupo mafichoni.Biden's visit to Ukraine is not yet planned, said US envoy to the UN
Dont ever get brainwashed with west media na watu wao. Vikwazo vinatangazwa kwa ajili ya publicity lakini watu wanafanya biashara kama kawaida in closed door.Vita ya kiuchumi ni mbaya sana ,nimesema ikifika June Russia kutakuwa worse than ukraine. Silaha sio chakula
Alitaka nae awe sehemu ya ushindi.[emoji636]A nineteen-year-old guardsman of the Coldstream Infantry Regiment of the British Army, who had previously voluntarily left for Ukraine to fight on the side of the Armed Forces of Ukraine, returned to his homeland and was detained by the military police.
According to the Sun newspaper, in the United Kingdom, he could face a court tribunal and imprisonment.
[emoji636] A "Guardsman" mwenye umri wa miaka kumi na tisa wa Kikosi "Infantry" cha Coldstream cha Jeshi la Uingereza, ambaye hapo awali aliondoka kwa hiari kuelekea Ukraine kupigana upande wa Wanajeshi wa Ukraine, alirudi katika nchi yake na alizuiliwa na polisi wa kijeshi.
Kwa mujibu wa gazeti la The Sun, nchini Uingereza, anaweza kukabiliwa na mahakama na kufungwa jela.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu dogo nae ni "Victim" wa BBC na CNN... Alivosikia wanashinda akaamue na yeye akajipigie [emoji23][emoji23][emoji23]
Mchana wanaogopa Stinger za Ukraine...The Russian Ministry of Defense for the first time published footage of night flights of Su-35 fighters during the Ukrainian special operation
View attachment 2157496
Hizo stinger ni uselessMchana wanaog
Mchana wanaogopa Stinger za Ukraine...
Sorry. Nilikurupuka sikumaanisha russian soldiers no but wavulana (wanaume) walioko Russia wanatoroka kukimbia kile wanachoamini kuingizwa jeshini na kwenda kupigana frontline.Mbona unalazimisha ni Reliable source mzee?? Wewe weka hapa, yaan WANAJESHI WA URUSI watoroke kizembe huku waUKRAINE wawe wanawa
angalia tu??
Kuna mtu au baadhi ya watu humu nimewasahau waliandikankua Russia Hana drone,ameonba msaada wa silaha kwa china.Footage of the use of a Russian drone during a special operation in Ukraine. Galip SV Liwagu
View attachment 2157736
Kabisa if you get brainwashed, choose Russian Media. Zinasafisha sana, hata mabaki yote ya ubongo yanasafishwa peupeee, jinsi inavyoonekana hapa JF ukisoma michango ya vijana wa Putin!Dont ever get brainwashed with west media na watu wao. Vikwazo vinatangazwa kwa ajili ya publicity lakini watu wanafanya biashara kama kawaida in closed door.
Kama vikwazo kweli ni issue Iran,Korea,Cuba na hapo jirani zako tuu Somalia jiulize mbona wanadunda tuu na Serikali zao zinalipa mshahara kila siku
Kama inakupa faraja, uiamini tu! Hata hivyo ndegevita za urusi wanapendelea kupita juu ya Ukraine wakati wa usiku.Hizo stinger ni uselessView attachment 2158164
DeepPond nakuomba acha kubishana na huyo jamaa,Ha ha ha ......
Ujui Mambo ya kivita Wewe,
Hizo bado Ni old fashioned weapons, zimetumika tangu ww2.[emoji4]
Sasa kama defense systems hazifanyi kazi usiku hizo ni useless, zinatakiwa ziweze kulinda anga usiku na mchana sio ziwe effective mchana tu na Russia kashasoma udhaifu wa hizo mambo ndio maana anashambulia sana usiku toka aanze hiyo operation.Kama inakupa faraja, uiamini tu! Hata hivyo ndegevita za urusi wanapendelea kupita juu ya Ukraine wakati wa usiku.
Uchambuzi wenye akili kubwa sana huu.Vita vina faida kubwa sana.....
Vita vina hasara kubwa sana.....
Matokeo ya vita yataamua aina ya maisha tutakayoishi, jinsi ya utenda wa kibiashara nk.
Nikupe mfano. WWii ilileta faida nyingi japo hasara zilikuwa kubwa pia.
1. Bila WW2 kusingekuwa ta nchi ya Israel,
2. Bila WW2 kusingekuwa na UN.
3. Bila ww2 kusinfekuwa na korea hizi mbili. Hii ni faida kwa upande mmoja.
Hasara ni vifo, uaribifu wa miundo mbinu nk.
Kwa hiyo uwepo wa Hitler wakati ule ilikuwa ni faida kama ilivyo kwa putin sasa. Ni faida pia.
Mwisho wa hii operation (sio vita) inayoendelea kule ukraine matokeo yake yatabadili mifumo mingi ya kibiashara. Maana nchi nyingi zimestuliwa kwa aina ya vikwazo walivyowekewa russia na westen.
Usije ukashangaa kutokea kwa aina nyingi za mifumo ya ulipaji kama ile a swift wanayoringia US na wenzake. Wenzetu wanakuna vichwa sasa ili itakapokuja kutokea tena wajue wapi pakukimbilia.
Operation itaendelea mpaka malengo yatakapofikiwa.
Hayo Masuala Ya Udini Upeleke Kibera huko
Da ila jamaa anateseka huyu,Hadi kweli kabisa namhurumia.Zelensky anasema, mazungumzo tu ndio yatamaliza vita ya Ukraine.
Wale watu ambao wanayabeza mazumngumzo haya kuwa hayatamaliza vita, hawafahamu umuhimu wa mazungumzo haya. Jeshi la Russia limekuja kutufuta kwenye uso wa dunia..tunapoteza watu kila kukicha. Kama kuna hata asilimia moja tu (1%) ya chansi ya kustopisha vita hii kwa njia ya mazungumzo, basi lazima tuitumie chansi hiyo...Lazima tutumie namna yoyote, chasi yoyote ile inayopatikana itakayotuwezesha kujadiliana majadiliano yatakayotuwezesha kupata fursa ya kuzungumza na Putin
Naona akili zinaanza kumkaa sawa Zelensky...
View attachment 2158149
Wasipoangalia Russia itapeleka misiba kwenye nchi zote za NATO,nchi za west na nchi nyingine duniani.Lazima itafikia mahala watazungumza ukweli tu...
Taarifa zasema shambulio la Russia kwenye ngome ya kijeshi iliyokuwa na wapiganaji wa kigeni takribani 600 huko magharibi mwa Ukraine, lilifanywa baada ya Russia kudukua simu za waingereza. Yazungumzwa kuwa waliokuwa wanajeshi wa Uingereza pia wamo ktk watu waliouawa na waliojeruhiwa
View attachment 2157714View attachment 2157715View attachment 2157715View attachment 2157715