Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mafanikio gani sasa wamepata, kuua raia wasio na hatia pamoja na kubomoa majengo. Hivi jeshi la Russia pamoja na sifa zote hizo unazowamwagia bado ni watu wa kulenga tu the soft targets.!!

Uwezo wa hili jeshi limekuwa exaggerated mno na inaonekana walikuwa hawajapata upinzani wa kweli, mwezi mzima wameteka kamji kamoja tu pale ambapo wakazi wanaandamana kuwapinga na wanaishia kuwapiga na mabomu ya machozi.

Russia imeisha kabisa na wametafuta anguko lao wenyewe kwani hawatakuwa na rasilimali za kuendeleza hivi vita vyao kwa muda mrefu ujao.
 
Haka kajamaa na kenyewe hakana msimamo unao eleweka mara leo Kana taka mazungumzo kesho hakataki yaani hakaeleweki huku watu wasio na hatia wanazidi kufa.View attachment 2160250
Vipi umekasirika kwani Mkuu,ndungu zako wametimuliwa katika Suburbs za Kyiv,kawasaidie kupadhibiti tena🙂
 
"Sanctions have turned the dollar and the euro into rubbish currency."

The EEC Minister for Integration and Macroeconomics Sergey Glazyev spoke on the @SputnikLive video bridge about the future of world currencies.

▪️Rejection of settlements in dollars, euros and pounds between the EAEU countries was predetermined by the countries of the West themselves.

▪️Sanctions have accelerated the transition to a "new world economic order" and stimulate the flow of resources, trade and cooperation in the Asian direction.

▪️"We need to think about switching to national currencies."

▪️ An international treaty is needed, including all states that do not want to depend on the country that has appropriated the emission of the world currency.
 
The exchange of prisoners between the DPR and Ukraine has been put on hold, said the Commissioner for Human Rights in the DPR Daria Morozova.

“Unfortunately, the exchange of prisoners of war is currently at a standstill, since the Ukrainian side categorically does not get in touch,” she said.
Galip SV Liwagu
 

NATO member scrambles fighter jets over incursion from Ukraine​

The unidentified aircraft incident reported by the Defense Ministry was deemed safe for Hungary

Hungary scrambled Saab JAS 39 Gripen fighter jets on Monday in response to an unidentified aircraft entering its airspace from Ukraine, the Defense Ministry reported.

The mission was ordered by NATO’s Joint Air Operations Center, a Monday evening report said. At around noon, radars detected the aircraft moving through eastern Hungarian airspace towards Slovakia, which borders Hungary in the north.
 
Kwa hiyo sasa hivi US$ 1 ni TZS ngapi ili tufahamu kama imeshuka.
 
Hii kitu mwisho wa siku atakayepoteza ni mmarekani labda kama atabadili namna ya kudeal na wasiomtii.
Hizi nchi anazoendelea kuziwekea vikwazo mwisho wa siku zitakuwa nyingi na zitashikana mikono na maisha yatasonga kivyao vyao.
leo kuna uturuki,venezuela,rusia,pakistan,iran,korea kaskazini,n.k lakini itafikia mahala hawa wataunda muunganiko na watajitoa kwenye makucha yake moja kwa moja.
 

Zelensky offers 'compromise' to Putin: No NATO membership for Ukraine in exchange for ceasefire​


Ukraine's President Volodymyr Zelenskyy said late Monday he's prepared to discuss a commitment from Ukraine not to seek NATO membership in exchange for a cease-fire, the withdrawal of Russian troops and a guarantee of Ukraine's security.

Outlining what he called "a compromise for everyone", he made clear the first step had to be a halt to the fighting.
 
Marekani anatumia mbinu zilezile katika kipindi tofauti. Tunapoelekea kuna nchi zitajiondoa UN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…