Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Kwahiyo unataka kulia kisa nimekopi, kumbe ni kweli? Sasa unalilia nini kama system ina specifications si lazima ziwe zilezile kwa yeyote anayetoa taarifa. Umeenda kutafuta kama nimesema uongo ukaangua kilio kuona nilichosema ni sahihi.
Specifications zinatolewa na manufacturer ngumbaru kama wewe huwezi elewa unaona ni maajabu sana mtu kujua specs zilizo free kujulikana
Russia au China walikupa msaada upi usio na masharti?
With all due respect you are dodging the qn!Ungewakumbusha kuwa huyo Russia hata kwenye nchi zinazotoa misaada hajulikani. Wako humu wanatusumbua kisa kapeleka tulori tungapi sijui twa vyakula, wanaona kama msaada kutoka mbinguni wakati kina Sweden wanatoa mabilioni.
Ni ushamba kupeleka tugari tuchache twa vyakula unapiga kelele mashabiki wako wanatangaza wakati kuna wenzako wanatoa chanjo, huduma ya mama kwa mtoto, vituo vya afya, elimu, scholarships nyingi na misaada lukuki isiyohesabika miaka nenda rudi.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] we kilaza mzee, mi nimekuonesha wapi unakopi vitu vyako, haya sasa kama umeambiwa hilo gari ndio limekamatwa leo hii, onesha hilo gari, na hata hilo kontena liko tofauti mno na ukiliangalia kwenye hiyo gari.
Weka hapa picha ya gari yake sio unaokota vitu hata hutumii akili unaweka tu.
Hiyo ndege uliyoiona hapo sio ya URUSI ni ya UKRAINE nimekuwekea hapa na uende ukaione na video ipo kabisa.Hizi Mil Mi-24 Hind zishachoka na ndio zitafuatia kutoka kwenye service. Zinapopigwa Ka-52 Alligator ndio nashtuka huwa nazipambanisha na AH-64 Apache za Mmarekani
Hili ndilo lile kombora linalotoa na nyongeza?View attachment 2160954
The sign "Z" in support of the Russian military was placed on the Soyuz-2.1a rocket, which launched today from the Plesetsk cosmodrome.
The launch vehicle has joined the #ZaNashi! Roscosmos reports.
ndio maana huko juu jamaa nilimuuliza anamatatizo yakusoma ama ana matatizo yakuelewaWith all due respect you are dodging the qn!
Hakuna mtu amesema USA hatoi misaada, matter of fact hata hii net nalalia hapa ni kwa hisani ya USAID. Kuhusu donation na misaada haikuwa hoja, hoja ilikuwa urusi wanajeshi wake wanakufa njaa vitani huko ukraine. Nikakuambia haiwezekani wanajeshi wa urusi wafe njaa wakati huohuo urusi anatoa msaada wa chakula na afya kwa raia wa ukraine mpaka kwa wanajeshi wa ukraine waliojisalimisha! Rationally speaking, Priority ya kwanza ya Urusi ni wapiganaji wake hivyo hawawezi kutoa chakula kwa watu wengine (tena wanaopigana nao) wakaacha kuwapa wanajeshi wao ambao wanawategemea zaidi kwenye kushinda hii vita. Ukiona wametoa msaada kwa wapinzani wao ujue wao tayari wametosheka. Au we unafikiri Putin na kremlin yake wanaweza kutoa chakula kwa ukraine akaacha wanajeshi wake wanakufa njaa alafu hapohapo akawa na mategemeo watapigana kishujaa washinde vita!??
Nikakuuliza ni wapi US pamoja na kuvamia nchi lukuki umeshawahi kusikia anatoa msaada wakati vita vikiendelea!?
Kutoa misaada anatoa sana lkn baada ya kumalizika vita. Ashapata kufikia malengo yake kama ni serikali ashaiweka anayoitaka ndipo sasa anakuja kutoa misaada. Lkn atoe misaada wakati wa mapambano tena hata hajafikia malengo sidhani, kama amewahi kufanya hivyo utuoneshe hapa kama ambavyo sisi Pro russia tumeweka picha na video za misaada ya urusi huko ukr!
Badala ya kujibu hoja ulizoadressiwa umekuja na tantarira nyingiii mara Ooh Russia hayupo kwenye kutoa misaada, Mara chanjo mara sijui nini hoja haikuwa huko wacha kujitoa ufahamu!
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sasa hizi zina V. Au watasema ni vifaa vya Ukraine wamefanya kuchora V ionekane ni vya Urusi. Neno propaganda hapa sijui litalazimishwa wapiView attachment 2160934View attachment 2160935View attachment 2160936
Ni 'military operation'!Hii vita bado ngumu kwa pande zote, ila kinachoshangaza Urusi na ukubwa wake bado hajamaliza mchezo
Mzee kabla ya kuweka comments zako humu hebu pitia comment yangu na ujishughulishe kujua ni nini nime post. Kuliko kujaza mashudu hapa JF na kujiaibisha.Hili ndilo lile kombora linalotoa na nyongeza?
Wewe jamaa inawezekana Ni shoga kabisa unawapendaje hao watu na mambo yao. Watu hawakutaki wanakuita nyani, wanapenda ufe, uwe maskini, uwategemee bado unawashadadiaMlituambia special operation, leo yameshindikana mnaomba usaidizi Syria, China na India hata Afrika...useless kabisa.
Hata Waarabu wenye dini yao kwenye hili wameshangaa sana.
Mwambie huyoOya we pimbi acha kuwadanganya watu humu as if watu hatujui kinachoendele. Hakuna Electronic warfare ya Mrusi iliyokamatwa huko UKRAINE. Acha hizi fix, jamaa wameenda nazo mbili tu na ziko mbali mno hizo hapo chini acha fix.
Huna unalojua kazi kushinda Wikipedia unatujazia mauongo yako hapa.View attachment 2160960
Hahahaha Pro Putin mnakaribia kurusha ngumi sasa. Kama huwezi kushindana kwa hoja jiondoe Jamiiforums,chochote utakachokiweka hadharani tutachangia mbuzi wewe.Mzee nakutaka acha ku quote comments zangu. Sikuombi ushauri.
Matairi ya bei rahisi kutoka ChinaMzee utateseka sana kama ukiendelea kunifuatilia maana naona nakukasirisha. Nakushauri ufanye kuniblock au uwe na vipimo vya BP karibu yako ili usije acha familia bila wosia. Nitaendela kuwa humu, huna hisa JF na hunipangii.
Sanasana nitakusaidia kukupa handkerchief ufutie machozi. Kushinda kwangu Wikipedia haikufanyi Urusi ipoteze vita, hainijui hataView attachment 2160983
Sio wewe wala mimi tunaoweza kupima uwezo wa jeshi la urusi. Hao hao wa magharibi tena wataalamu sana kwenye maswala ya military ndio wanaotuambia uwezo wa nguvu za kijeshi za urusi.Mafanikio gani sasa wamepata, kuua raia wasio na hatia pamoja na kubomoa majengo. Hivi jeshi la Russia pamoja na sifa zote hizo unazowamwagia bado ni watu wa kulenga tu the soft targets.!!
Uwezo wa hili jeshi limekuwa exaggerated mno na inaonekana walikuwa hawajapata upinzani wa kweli, mwezi mzima wameteka kamji kamoja tu pale ambapo wakazi wanaandamana kuwapinga na wanaishia kuwapiga na mabomu ya machozi.
Russia imeisha kabisa na wametafuta anguko lao wenyewe kwani hawatakuwa na rasilimali za kuendeleza hivi vita vyao kwa muda mrefu ujao.
Nuclear sio silaha mpya waseme wanatisha watu."Can Russia Use Nuclear Weapons?" American CNN journalists asked Peskov.
"If there is a threat to the existence of the country, then it can be used in accordance with our concept," the Kremlin spokesman replied.
At the same time, the very concept of national security of the Russian Federation is in the public domain.
"You can read all the reasons why nuclear weapons can be used," he explained.