WARUSI WEUSI BANA WAO WANATAKA HABARI KUWA URUSI INASHINDA NDO WANASEMA HABARI ZA UKWELI, NI MWEZI SASA WATU WANATAPATA PALE UKRAINEπππ
Mwaka huu mtakataa kila kitu hadi picha za RT mtazikataa. Ukimaliza kui Photoshop tuambie.Hii picha mm ninayo na urefu wa meza sio kama huu wa picha yako. Ngoja nione km naweza kuiweka hapa. Hii ni picha ya kupikwa. Again, Propaganda!View attachment 2163414
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ hatari sana
Mgogoro utakuwa wa duniaNarudia tena kuuliza Nato wanaogopa nini kuingia Ukraine? Zelensky rais wa nchi ameomba msaada. Wanasita sita nini? Tumechoka na vipicha picha, matusi na majigambo humu. Nato waingie ulingoni kumsaidia Zelensky
Nenda offical page ya Russia Today au CCTV kapost manungβuniko yako utajibiwaNarudia tena kuuliza Nato wanaogopa nini kuingia Ukraine? Zelensky rais wa nchi ameomba msaada. Wanasita sita nini? Tumechoka na vipicha picha, matusi na majigambo humu. Nato waingie ulingoni kumsaidia Zelensky
HKaona aibu sababu madhara yake ni kama mabomu ya kutengenezwa majumbani na Wapalestina. Madhara yake hata haifikii tomahawk missile za U.S
Elewa jambo moja, silaha zote zilizotengezwa zitakuja kutumika siku moja bila kujalisha uharibifu utakaotokea. Nashangaa humu watu kama wewe unafikiri vita ya Urusi na NATO ni kama mpambano wa masumbwi silaha ngumi au vita za akina jumong. Vita ya tatu ni vita ya nuclear na silaha za kibailojia na so far mpaka Russia ni nchi yenye nusu ya silaha za Nuclear duniani.Ndio utetezi mliobaki nao kana kwamba hizo nuclear anazo Russia peke yake
Urusi ametia aibu dunia...Askari wao wanagongwa vinyundo na mgambo wa Ukraine wanaachia mashine kuwa chuma chakavu [emoji1787][emoji1787]
Halafu mtu anawasifu!!
heheee eti dogo simuelewi dini gani[emoji16][emoji16][emoji16]huo ni mtazamo wake tu sina buni kuuheshimu japo mi nadhani hauna ukweli wowote, alafu katika maraisi wote waislamu waliopita sijaona hata mmoja alieegemea kwenye udini sana, naaliyetufungulia milango ya uchumi wa nchi hii bila shaka ni mwinyi ambaye ni muislamu pia...by the way mm mambo ya dini huwa sipendi kuyajadili sana kila mtu atabeba msalaba wake, mm mwenyewe nimetoka kwenye familia baba alikuwa mkristo mama muislam,mm nimeangukia kwenye uislam sister ameolewa na mkristo, dogo ndio hata simuelewi ni dini gani nikamavile anapiga kotekote...
π€£π€£
Nataka Putin anyooshwe, niende RT kufanya nini? Huna uchungu na vifo vya watu? Siku babako akifa utanielewa.Nenda offical page ya Russia Today au CCTV kapost manungβuniko yako utajibiwa
kupata jibu lililonyooka ni mpaka uwaulize NATO wenyewe ndio wanajua mbivu na mbichi...ila kwamaoni yangu nadhani madhara yatakuwa makubwa sana kuliko ww1&2 kutokana namatumizi ya nuklia weapons...hizo nyuklia ni hatari mno babu likiangushwa dar pale nahivi hakuna hata milima mpaka morogoro watalisikiliza...so wakiweka tu no fly zone watakuwa wameikaribisha ww3Baada ya kikao cha leo cha Nato, je ukraine kuna msaada wowote utamuokoa? Nini kinakwamisha Nato kuingia ukraine kumsaidia?
Rais Zelensky ameomba zaidi ya mara 10 msaada wa no fly zone na kujiunga Nato, kwanini wanamtema kiana?
Mbona Libya Nato waliingia? Je libya alikua mwanachama wa Nato? Mbona iraq nato walienda? Nini wanaogopa kuingia Ukraine? Mwenye majibu yalionyooka tafadhali.
a sharp discount si mchezo tukajinunulie mafuta kwa mafungu sasa πππ€£π€£
Hahah unatumia nguvu nyingi sana mkuu. Chochote unachokiona mtandaoni as long as kipo against russia wewe mbio unakileta hapa. Yaani almradi umejibu.Mwaka huu mtakataa kila kitu hadi picha za RT mtazikataa. Ukimaliza kui Photoshop tuambie.
video subiri mpaka keshoa sharp discount si mchezo tukajinunulie mafuta kwa mafungu sasa ππ
baba angu yuko vitani kwani?Nataka Putin anyooshwe, niende RT kufanya nini? Huna uchungu na vifo vya watu? Siku babako akifa utanielewa.
video ya sharp discount ya oil hapo Russia πππvideo subiri mpaka kesho