Na kweli linamsumbua sana!Nuyu dem ana joto asikwambie mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kweli linamsumbua sana!Nuyu dem ana joto asikwambie mtu.
Mama anahusika moja kwa moja ama sivyo angekemea huu utekaji, uteswaji na uuaji wa wanaomkosoa.Mbona wanachafua image ya mama ,sidhani kama Rais ana muda wa kunyooka na wale wanaomkosoa,ila wapambe uchwara wanajidai kumsemea.
Weweunaelewa nini kuhusu "kunyooka naye" au "kushughulika naye" ?Kwa kauli hii ya Spika wa bunge na spika wa mabunge ya dunia inaonesha wazi kabisa maovu wanayo fanya kaamua kuweka hadharani.
Alichofanya spika wa bunge Tulia hana tofauti na alichosema Nape kwa suala ili Tanzania hatupo salama
View attachment 3072236
Rais wa TLS alitakiwa awee tayari ameshalitolea ufafanuzi hili neno 'nyooka naye" lakini nae hadi sasa yuko kimya! Au kwa kua kalitamka Dada yake wa huko Mbeya!!??Kisheria, ni nini maana ya maneno "nyoooka naye!" ?
Fucking kabisa hii fidodido yenye sura ngumu kama uvungu wa kendeKamishna Awadhi uko wapi je huyu ajaleta taharuki?
Huyu atakuwa ni Mwanafunzi wa Uisla. Uislam. Uislam hauna ukipigwa la kulia geuza na la kushoto.Kwa kauli hii ya Spika wa bunge na spika wa mabunge ya dunia inaonesha wazi kabisa maovu wanayo fanya kaamua kuweka hadharani.
Alichofanya spika wa bunge Tulia hana tofauti na alichosema Nape kwa suala ili Tanzania hatupo salama
View attachment 3072236
Wewe Bibi mbona unaujinga MWINGI Kama hujavunja ungo?Nimeipenda sana hii nyooka nae, hii hakuipata humu JF kweli? Maana kuna viineno vya kiajabu ajabu vinaibukia hapa JF.
Sasa hivi labda nivunje sufuria, siyo ungo wala sinia.Wewe Bibi mbona unaujinga MWINGI Kama hujavunja ungo?
Unatakiwa Sasa uvunje vyunguSasa hivi labda nivunje sufuria, siyo ungo wala sinia.
Huyu njiti mpimbavu sanaWakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM.
Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke alisema wao kazi yao ni kuwashugulikia wakosoaji na wazee watawaombea radhi kwa watanzania.
Sijui nataka niseme nini ila pateni kideo hapo.
View attachment 2375676
========
Akihutubia Vijana wa CCM katika Jimbo lake, Mbunge wa Jimbo ya Mbeya Mjini ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka vijana wa Jimbo hilo kutoshiriki katika Kumsema vibaya, Rais na Viongozi wa Jimbo hilo
Amesema, “Isitokee Kijana yeyote anaungana na mtu yeyote anayemsema vibaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia ni Rais wa Nchi lakini pia ni mwenyekiti wa Chama chetu. Asitokee mtu yeyote wa Nje ya Chama, wa Ndani ya Chama akawa anamsema vibaya Rais halafu wewe ukamtazama, shughulika naye, CCM hoyeeeee”
Ameendelea, “hata mimi Mbunge wako akiwa ananisema vibaya nyooka naye, unajua sababu ni nini? Hata Diwani, Madiwani wote wa Mbeya Mjini sasa hivi ni CCM, hata akimsema vibaya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, na yeye ni CCM, nyooka naye’
Kwani hapa ni sheria au hapa ni jukwaani where we dare to speak openly???Kisheria, ni nini maana ya maneno "nyoooka naye!" ?