Spika Tulia Ackson: Mtu akimsema vibaya Rais nyooka naye, akinisema vibaya Nyooka naye
Mbona wanachafua image ya mama ,sidhani kama Rais ana muda wa kunyooka na wale wanaomkosoa,ila wapambe uchwara wanajidai kumsemea.
 
Sio kauli nzuri kwa kiongozi
Haya masuala ya usalama wa Rais ni kazi ya vyombo vya ulinzi na usalama na ni Siri utendaji wake
Hao vijana walale na mtu Kisha wageuziwe kisasi watajuta
 
Kamishna Awadhi uko wapi je huyu ajaleta taharuki?
 

Attachments

  • VID-20240817-WA0009.mp4
    1.4 MB
Spika anakua na lugha za ugomvi hivi je wengine itakuwaje.? Mtu anayeheshimika lkn yy apendi kuheshimu wengine.
 
Kisheria, ni nini maana ya maneno "nyoooka naye!" ?
 
Kwa kauli hii ya Spika wa bunge na spika wa mabunge ya dunia inaonesha wazi kabisa maovu wanayo fanya kaamua kuweka hadharani.
Alichofanya spika wa bunge Tulia hana tofauti na alichosema Nape kwa suala ili Tanzania hatupo salama
View attachment 3072236
Hapa tunaunganisha na tukio la kupigwa kwa Sugu na viongozi wengine wa CDM Mbeya
 
Back
Top Bottom