Kwanini nchi za Kiafrika, tunamtukuza Raisi kama mungu mtu? Yeye ni kiongozi tu na wananchi ndiyo wenye nguvu. Huyu mama spika, naye angejionea huruma na kauli zake.

Wanasema utamuona mtu wa maana kabla hajafungua mdomo wake. Ndiyo huyu, acheni wanyooshe watanyooshwa wao. Hii kauli angeitoa mpinzani, leo yuko ndani. Polisiccm mko wapi?
 
Mbona wanachafua image ya mama ,sidhani kama Rais ana muda wa kunyooka na wale wanaomkosoa,ila wapambe uchwara wanajidai kumsemea.
Mama anahusika moja kwa moja ama sivyo angekemea huu utekaji, uteswaji na uuaji wa wanaomkosoa.
 
Weweunaelewa nini kuhusu "kunyooka naye" au "kushughulika naye" ?
Acha uchochezi!
 
Nyooka nae maana yake nini? Labda alimaanisha ukamshtaki panapo husika😂😂.
Kunaweza kusiwe na kesi hapo kwa akili zetu sisi wanasheria uchwara
 
Kisheria, ni nini maana ya maneno "nyoooka naye!" ?
Rais wa TLS alitakiwa awee tayari ameshalitolea ufafanuzi hili neno 'nyooka naye" lakini nae hadi sasa yuko kimya! Au kwa kua kalitamka Dada yake wa huko Mbeya!!??
 
Kamishna Awadhi uko wapi je huyu ajaleta taharuki?
Fucking kabisa hii fidodido yenye sura ngumu kama uvungu wa kende

Speaker anahamasisha violence na watu wamekaa kimya kabisa.

Watanzania sisi ni wapumbavu wa mwisho duniani.

Ingekuwa Kenya speaker kaongea huo upuuzi leo hii angekuwa amejificha kwenye migomba Tukuyu.
 
Huyu atakuwa ni Mwanafunzi wa Uisla. Uislam. Uislam hauna ukipigwa la kulia geuza na la kushoto.

Heko Tulia, shahadia rsmi tu mama.
 
Nimeipenda sana hii nyooka nae, hii hakuipata humu JF kweli? Maana kuna viineno vya kiajabu ajabu vinaibukia hapa JF.
 
Ndiyo mtegemee huyo alete usawa mjengoni huko!


Ova
 
Hapo walioelewa zaidi ni policcm,ambao kikawaida inatakiwa wasivae combati za jamhuri,Bali combati za greengurd.

Polisi imejaa vichwa maji.Mungu awasamehe.
Wachache wenye kujitambua,ila hawana sauti Wala maamuzi.
 
Huyu njiti mpimbavu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…