Spika Tulia Ackson: Mtu akimsema vibaya Rais nyooka naye, akinisema vibaya Nyooka naye
Wakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM.

Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke alisema wao kazi yao ni kuwashugulikia wakosoaji na wazee watawaombea radhi kwa watanzania.

Sijui nataka niseme nini ila pateni kideo hapo.
View attachment 2375676

========

Akihutubia Vijana wa CCM katika Jimbo lake, Mbunge wa Jimbo ya Mbeya Mjini ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka vijana wa Jimbo hilo kutoshiriki katika Kumsema vibaya, Rais na Viongozi wa Jimbo hilo

Amesema, “Isitokee Kijana yeyote anaungana na mtu yeyote anayemsema vibaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia ni Rais wa Nchi lakini pia ni mwenyekiti wa Chama chetu. Asitokee mtu yeyote wa Nje ya Chama, wa Ndani ya Chama akawa anamsema vibaya Rais halafu wewe ukamtazama, shughulika naye, CCM hoyeeeee”

Ameendelea, “hata mimi Mbunge wako akiwa ananisema vibaya nyooka naye, unajua sababu ni nini? Hata Diwani, Madiwani wote wa Mbeya Mjini sasa hivi ni CCM, hata akimsema vibaya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, na yeye ni CCM, nyooka naye’
Kauli za kipumbavu.
 
Majamaa yanajazwa ujinga yanashangilia dah...
Hii kauli tu KWANZA ni uchochezi, yeye anafikili KWa akili yake na Kama kiongozi hao vijana walifanya hivyo vijana wa upande mwingine wakajibu mapigo Kuna tanzania hapo

Na anafikili rais wa nchi ni wa ccm tu au watanzania wote

Ni shida kuwa na viongozi wa namna hii kwenye taifa lolote, mauaji ya kimbali huanza na kauli za ajabu za namna hii na KWa kauli hii ndani ya nchi pitia KWa vijana hao inatosha kabisa ndani ya nchi

Kutoendelea kalia kiti alichonacho, kufukuzwa ndani ya chama Chake na Kama haitoshi ,kuburuzwa mahakani , hizi ni kauri Hatari Sana KWa maslahi mapana ya taifa,

I wish angekua SA akutane na MALEMA na kauli yake hii , tuone Kama angekalia hicho kiti KWa siku 2

Kauli ya Tulia ina maslahi mapana ya umma na taifa Mara 10 ya ile ya Ndugai, anatakiwa kujiuzuru Mara MOJA,
 
Wakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM.

Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke alisema wao kazi yao ni kuwashugulikia wakosoaji na wazee watawaombea radhi kwa watanzania.

Sijui nataka niseme nini ila pateni kideo hapo.
View attachment 2375676

========

Akihutubia Vijana wa CCM katika Jimbo lake, Mbunge wa Jimbo ya Mbeya Mjini ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka vijana wa Jimbo hilo kutoshiriki katika Kumsema vibaya, Rais na Viongozi wa Jimbo hilo

Amesema, “Isitokee Kijana yeyote anaungana na mtu yeyote anayemsema vibaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia ni Rais wa Nchi lakini pia ni mwenyekiti wa Chama chetu. Asitokee mtu yeyote wa Nje ya Chama, wa Ndani ya Chama akawa anamsema vibaya Rais halafu wewe ukamtazama, shughulika naye, CCM hoyeeeee”

Ameendelea, “hata mimi Mbunge wako akiwa ananisema vibaya nyooka naye, unajua sababu ni nini? Hata Diwani, Madiwani wote wa Mbeya Mjini sasa hivi ni CCM, hata akimsema vibaya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, na yeye ni CCM, nyooka naye’
KILA UBAYA UTALIPWA
 
Mauji ya Kimbari hayakutokea tu bahati mbaya ila kulikuwa na Viongozi wenye akili mbovu kama za @TuliaAckson walikuwa wanahubiri uhasama na kuwajaza Vijana chuki mwisho wa siku wakawachinja ndugu zao, jiulize kama Tulia anasema vile hadharani akiwa sirini anawaambia nini Vijana?
Nimeshangaa Mtu mnaemwita Dr amelopoka maneno ya kiwango cha chini namna ile?thuuup!!
 
Wakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM.

Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke alisema wao kazi yao ni kuwashugulikia wakosoaji na wazee watawaombea radhi kwa watanzania.

Sijui nataka niseme nini ila pateni kideo hapo.
View attachment 2375676

========

Akihutubia Vijana wa CCM katika Jimbo lake, Mbunge wa Jimbo ya Mbeya Mjini ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka vijana wa Jimbo hilo kutoshiriki katika Kumsema vibaya, Rais na Viongozi wa Jimbo hilo

Amesema, “Isitokee Kijana yeyote anaungana na mtu yeyote anayemsema vibaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia ni Rais wa Nchi lakini pia ni mwenyekiti wa Chama chetu. Asitokee mtu yeyote wa Nje ya Chama, wa Ndani ya Chama akawa anamsema vibaya Rais halafu wewe ukamtazama, shughulika naye, CCM hoyeeeee”

Ameendelea, “hata mimi Mbunge wako akiwa ananisema vibaya nyooka naye, unajua sababu ni nini? Hata Diwani, Madiwani wote wa Mbeya Mjini sasa hivi ni CCM, hata akimsema vibaya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, na yeye ni CCM, nyooka naye’
Duh..madaraka ya kulevya.
 
Kauli yake inalenga kijana wa nje. Kwa maana nyingine upinzani. Hii ni kauli ya pili naisikia ikianza na ya yule katibu wa itikadi uenezi wa mkoa.
 
Lakini katoa maoni yake tuu. Wala sio amri

Maoni ya kuhamasisha kutenda kosa ni kinyume Cha sheria. Ni Kama nitoe maoni kwa wanaumr kuwa akipita mwanamke kavaa nguo ya kubana mrukie ulale naye .
 
Tulia ni Spika makini bungeni.

Hana lolote. Spika wa hovyo kuwahi kutokea Hana umakini wowote. Tangu alipo wakingia kifua kina Halima Mdee nilimuona kilaza wa mwisho asiyekuwa na maana. Yupo pale kwa Tumbo lake tu.
 
Sura mbaya ie ugly face outlook ina akisi na roho yake mbaya..... her face outlook being ugly is a reflection of the internal side
Too personal ....kosoa alichosema hayo mengine sio lazima
 
Yupo sahihi ikiwa anawaambia Vijana wake wa CCM.
Ila hayuko sahihi Kama atakuwa anamaanisha vijana wa nchi nzima.

Kama ndio Katiba ya ccm ndivyo isemavyo yupo sahihi
Je, wakiamua kuwapiga? Hilo tamko ni tata. Ujumbe ni nini hasa eti nyooka naye!
 
Too personal ....kosoa alichosema hayo mengine sio lazima

Saa zingine ukijimwambafai watu wanaangalia kasoro zako. Kauli ya Tulia imefanya watu waanze kuangalia muonekano wake wa ajabu. Roho ya Tulia ni mbaya Kama sura yake mbaya ilivyo.
 
Kukosoa muonekano wa mtu ni kuishiwa hoja, isitoshe hakujiumba yeye.
 
Back
Top Bottom