Stesheni kuu ya SGR Dodoma yabadilishwa jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu

Zamani walikuwa wanaitwa "wapambe wa raisi", leo mnawaita "machawa wa mama" WTF!!
 
Utakuwa hukuwa na taarifa sahihi! Vituo vyote vya SGR nilipewa maji ya marais: Dar ni Magufuli, Moro ni JK, Dodoma Samia, Tabora ni Mzee Ruksa, Shy ni A. A. Karume, Mwanza ni Nyerere na Kigoma ni Mkapa!
Sawa, Rudia kusoma walichoandika TRC.
 
Zamani walikuwa wanaitwa "wapambe wa raisi", leo mnawaita "machawa wa mama" WTF!!
Mimi ukinipasua moyo siwapendi hao machawa aise.why nilizaliwa ke??? Majitu ya aina hii unayakaba roba usiku
 
😂😂😂😂😂 hivi tumebakisha nini
 
Hatu nunui apple lililo pakiwa rangi nyekundu
 
Tanzania nayo ibadishwe jina tuite nchi ya ssh tu.jamhuri ya watu wa ssh
 
Kuna viongozi wapumbavu sana yaani imagine wameumiza kichwa jinsi ya kupata hela za wizi kupitia kumsifia Suluhu hapo tayari wameshakula hela ya kuweka hayo maandishi ya 3D tena hela ndefu tu.. ukiwaona kama wana akili timamu kumbe vichwa vyao ni mabomu, Pumbavu wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…