Stesheni kuu ya SGR Dodoma yabadilishwa jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu

๐ŸŽบ๐ŸŽบ๐ŸŽบ๐ŸŽบ๐ŸŽบ๐ŸŽบ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hapana, ipigwe kura maoni kwanza, wengine tukiona hivyo tunapata kichefuchefu
 
Wamefanya jambo jema kwa sababu treni ni Samia hivyo stesheni imependeza kuitwa Samia, pia ingependeza zaidi Dodoma iitewe Samia City.
 
Wagalatia mnaumia sana, ila ingekuwa ni nyerere mngefurahia, eti?

Siku wenyewe wakistuka na mwisho wenu umefika na mtajuta sana
 
Waache tu, tuombe Mungu uzima. Mambo hayatakuwa hivi milele. Kuna siku haya ma-vibao yatashushwa kwa hasira na umma. Historia inaonyesha upendo wa wananchi kwa viongozi siyo wa kulazimisha. Yapo wapi yale masanamu ya kina Sadam?
Hata ile misanamu ya walioua uchumi wa Tanzania na yenyewe ivunjwe kabisa inatutia nuksi tu hapa na ushirikina wao
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚duuh nguvu inayotumika ni kubwa sana aise..

#Kilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ