Studio session rasmi imeisha leo kwa mara ya kwanza napost picha zangu, bado videos

I am like "This better be good".

Isije kuwa mambo ya "Civilian Coin" tu hapa πŸ˜‚πŸ˜‚

Anatulisha pilau kwa maneno, maana hata si kwa harufu.
Hapana nimeweka picha kuonesha ni jinsia Gani mambo ypo serious, gharama na toa mwenyewe hivo napeleka mambo polepole kaka, sababu budget yangu hairuhusu kukimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…