Wewe ndio hufundishiki.... usiyeweza kujiongeza. Tuliza ubongo wako usubiri kuajiriwa eeeee ndio unalotaka kuambiwa!!! Usiyetaka kubadilika... bakia na hilo lililojaa ubongoni mwako. Aliyenituma kaniambia eti umedumaa akili.... ebooooo acha kukariri maisha weweeeeeee!
Mkuu asikuchoshe huyo jamaa mbishi ni kichwa panzi tu.Mtu anapokwenda kusomea digrii ya udaktari, ameamua kufuatana na uwezo wake aliojaliwa kuwa hiyo ndio kazi atakayoifanya, iwe kwa kuajiriwa au kwa kujiajiri.
Wewe hujui taratibu zilizopo katika aina hii ya kazi. Hakuna njia yoyote mtu huyu anayoweza kujiajiri mara tu baada ya kuhitimu katika masomo ya kazi hiyo. Itamlazimu apate ajira, iwe kwenye sekta binafsi au serikalini kwanza ili atimize matakwa ya kuwa na uzoefu wa kujiajiri mwenyewe; na pengine hata kupata mtaji.
Kwa hiyo huwezi kuondoa jukumu kwa serikali katika kumsaidia huyu mtaalam ili aweze kuendelea katika nyanja yake aliyosomea.
Na hapa ninaposema serikali kuwa na wajibu, sina maana moja tu ya kumpatia ajira. Serikali inazo njia mbalimbali za kuwezesha.
Mathalani: Serikali inaweza kuweka tu sera zinazoweza kutumika ili kada ya hawa watu isiongezeke bila mpangilio. Ni serikali hiyo hiyo inao uwezo wa kuwawezesha waliopo kwenye sekta binafsi katika nyanja hizi wawe na uwezo zaidi wa kuwahudumia waTanzania kwenye sehemu hii ya taaluma, hawa wakiwepo wa kutosha, watatoa ajira kwa hao wapya wanaoingia kabla na wao hawajafanya mipango ya kujiajiri.
Tanzania bado tupo chini sana katika uwiano wa Daktari na wagonjwa anaowahudumia. Kwa hiyo uhitaji wa wataalamu hawa bado upo mkubwa sana. Kuwaacha wakazagae mitaani ni kukosa mipango mizuri ya kuwatumia.
Wewe kwa kutojua unachokizungumzia unataka hawa watu wakajiajiri, hata kama ni kwenda kuchuuza mayai mitaani. Naomba unipe mfano mmoja popote duniani ulipowahi kuona hayo!
Majoto, sina lazima ya kubishana na wewe. Nimekuelewa tokea kwenye mchango wako wa mwanzo ulivyokuja na 'joto'.
Hii kamwe haitatokea. Soko linapanuka kila siku....usiangalie mtaani ama mkoani ama nchini kwako tu. Toka nje ya hapo, kuna uhitaji mkubwa sana wa bidhaaitafika kipindi watu wote watakuwa wajasiriamali, hakuna mnunuzi wote wauzaji, tutarudi kwenye barter trade.
hata kilimo kinahitaji mtaji, mbegu, trekta, kupalilia, dawa , na matumizi mengine, kama huna hela huwezi kufanya chochoteAcha upotoshaji, Tanzania haina tatizo la ajira. Isipokuwa kuna tatizo la vijana wachache (walioenda shule wakajikita kujamiiana badala ya kusaka maarifa) kutokupenda kufanya kazi. Vijana hawa ndiyo wanadai eti Tanzania kuna tatizo la ajira.
Ardhi yenye rutuba imejaa tele nchi nzima vijana hawa hawataki kwenda kuitumia ili kujitengenezea kipato. Wanang'ang'ania kukaa mijini ili waendelee kujamiiana. Mikoa ya Tabora, Katavi, Tanga na Songea ardhi hutolewa bure kabisa.
Siku nikiwa Rais wa nchi hii, itakuwa ni kosa la jinai mtu kutamka ama kuandika kwamba Tanzania kuna tatizo la ajira
Hayo ni maneno ya rais wetu kabla hajashika madalaka lakini leo hii mambo anayofanya ni ya hovyo sana watu wamekereka sana na huu utawalaWana jf,
Bomu LA ajira kwa vijana alililoliona mzee Lowasa lilitengenezwa awamu ya tatu na ya NNE. Tuanze na awamu ya tatu, baada ya kubinafsisha mashirika mengi ya umma, waliopewa dhamana wakaua viwanda kabisaa, majumba mengi yakawa magofu, wizi wa vipuri vukageuzwa chuma chakavu, viwanja vikakopewa kwenye mabenki. Hivyo hivyo kwenye mashamba mbali mbali, mengi hayakuendelezwa yalitumika kama mortgage ya kukopea.
Awamu ya NNE, vijana wengi walisujudu wizi sana kukiko kujubidisha na Nazi, utapeli kila kona ulitamalaki, waliotapeli kupitia madini ndio walikuwa kifua mbele kuwa wafadhili wa chama, waliojihusisha na madawa ya kulevya ndio walikuwa wanachagua viongozi wa ngazi Fulani Fulani, kuna kipindi Dr. Mengi alilalamika kutegwa madawa ili adhakilishwe, tumeyaona yaliyomtokea Dr. Mwakyembe alipoifumua bandari, wizi wa bandari ulikuwa na baraka zote, vijana wa bandarini ndio walikuwa watesi wa vijana wanaojitegenea kiasi kwamba kila mmoja aliitaka clearing and forward ing ili naye aibe. Hawa vijana waliwakatisha wengine tamaa. Kazi ya kuajiliwa ikaonekana ndio bora zaidi kuliko ya kujitegemea
Nini kifanyike, ni kufumua mitaala yote ya elimu, awepo huhitaji wa sayansi ya viwanda, awepo viwanda vya kukopi na kupesti kama China na India, haiwezekani pikipiki, bajaj, trekta, baiskel mountain bike tunaagiza nje, hata tissue za kufutia vitu jamani!
Vyuo vya kilimo vinatoa wahitimu wangapi kila mwaka? Utaanza kulima matikiti wakati hujui yanapandwaje yanapaliliwa vipi? Hao waliotapeliwa 1.5bn za korosho unadhani niwazee wote? Hujawahi sikia katazo la kuuza chakula? Hukumsikia yule baniani alilalamika kwa JPM kafunga kiwanda Cha alizeti kisa manyanyaso ya Serikali? Hebu tumia na kichwa Cha juu kufikiri angalau siku mojamoja.Acha upotoshaji, Tanzania haina tatizo la ajira. Isipokuwa kuna tatizo la vijana wachache (walioenda shule wakajikita kujamiiana badala ya kusaka maarifa) kutokupenda kufanya kazi. Vijana hawa ndiyo wanadai eti Tanzania kuna tatizo la ajira.
Ardhi yenye rutuba imejaa tele nchi nzima vijana hawa hawataki kwenda kuitumia ili kujitengenezea kipato. Wanang'ang'ania kukaa mijini ili waendelee kujamiiana. Mikoa ya Tabora, Katavi, Tanga na Songea ardhi hutolewa bure kabisa.
Siku nikiwa Rais wa nchi hii, itakuwa ni kosa la jinai mtu kutamka ama kuandika kwamba Tanzania kuna tatizo la ajira
Acha upotoshaji, Tanzania haina tatizo la ajira. Isipokuwa kuna tatizo la vijana wachache (walioenda shule wakajikita kujamiiana badala ya kusaka maarifa) kutokupenda kufanya kazi. Vijana hawa ndiyo wanadai eti Tanzania kuna tatizo la ajira.
Ardhi yenye rutuba imejaa tele nchi nzima vijana hawa hawataki kwenda kuitumia ili kujitengenezea kipato. Wanang'ang'ania kukaa mijini ili waendelee kujamiiana. Mikoa ya Tabora, Katavi, Tanga na Songea ardhi hutolewa bure kabisa.
Siku nikiwa Rais wa nchi hii, itakuwa ni kosa la jinai mtu kutamka ama kuandika kwamba Tanzania kuna tatizo la ajira
Sasa mkuu bila kujamiiana utasoma vipi?? Watu Wana tumia Neno kujamiiana kama kufanya ngono pekee I hapana kujamiiana ni wew kunganika na watu wengine katika jamii na mkashiriki katika mawazo na maarifa huko ndio kujamiiana Sasa ni Lazima watu wajamiiane yaani waingilianeAcha upotoshaji, Tanzania haina tatizo la ajira. Isipokuwa kuna tatizo la vijana wachache (walioenda shule wakajikita kujamiiana badala ya kusaka maarifa) kutokupenda kufanya kazi. Vijana hawa ndiyo wanadai eti Tanzania kuna tatizo la ajira.
Ardhi yenye rutuba imejaa tele nchi nzima vijana hawa hawataki kwenda kuitumia ili kujitengenezea kipato. Wanang'ang'ania kukaa mijini ili waendelee kujamiiana. Mikoa ya Tabora, Katavi, Tanga na Songea ardhi hutolewa bure kabisa.
Siku nikiwa Rais wa nchi hii, itakuwa ni kosa la jinai mtu kutamka ama kuandika kwamba Tanzania kuna tatizo la ajira
Ajira ni tatizo la ulimwengu mzima na haliwezi kupatiwa ufumbuzi na serikali tu bila kuhusisha sekta binafsi.Wana jf,
Bomu la ajira kwa vijana aliloliona mzee Lowassa lilitengenezwa awamu ya tatu na ya nne.
Tuanze na awamu ya tatu, baada ya kubinafsisha mashirika mengi ya umma, waliopewa dhamana wakaua viwanda kabisa, majumba mengi yakawa magofu, wizi wa vipuri vukageuzwa chuma chakavu, viwanja vikakopewa kwenye mabenki.
Hivyo hivyo kwenye mashamba mbali mbali, mengi hayakuendelezwa yalitumika kama mortgage ya kukopea.
Awamu ya nne, vijana wengi walisujudu wizi sana kuliko kujibiidisha na kazi, utapeli kila kona ulitamalaki, waliotapeli kupitia madini ndio walikuwa kifua mbele kuwa wafadhili wa chama, waliojihusisha na madawa ya kulevya ndio walikuwa wanachagua viongozi wa ngazi fulani fulani.
Kuna kipindi Dr. Mengi alilalamika kutegwa madawa ili adhakilishwe, tumeyaona yaliyomtokea Dr. Mwakyembe alipoifumua bandari, wizi wa bandari ulikuwa na baraka zote, vijana wa bandarini ndio walikuwa watesi wa vijana wanaojitegenea kiasi kwamba kila mmoja aliitaka clearing and forwarding ili naye aibe.
Hawa vijana waliwakatisha wengine tamaa. Kazi ya kuajiliwa ikaonekana ndio bora zaidi kuliko ya kujitegemea.
Nini kifanyike, ni kufumua mitaala yote ya elimu, awepo huhitaji wa sayansi ya viwanda, awepo viwanda vya kukopi na kupesti kama China na India. Haiwezekani pikipiki, bajaji, trekta, baiskeli, mountain bike tunaagiza nje, hata tissue za kufutia vitu jamani?
Serikali inao wajibu kwani wao ndio watunga Sera watunga sheria na watengeneza kanuni tatizo tumempa mtu dhamana ya kusimamia ajira Kama fadhila ya kisiasa tabu zote wanazopata vijana wetu Ni upumbavu wa kijana mmoja anaitwa mavundeAjira ni tatizo la ulimwengu mzima na haliwezi kupatiwa ufumbuzi na serikali tu bila kuhusisha sekta binafsi.
Hizi pumba hata kuku haliAcha upotoshaji, Tanzania haina tatizo la ajira. Isipokuwa kuna tatizo la vijana wachache (walioenda shule wakajikita kujamiiana badala ya kusaka maarifa) kutokupenda kufanya kazi. Vijana hawa ndiyo wanadai eti Tanzania kuna tatizo la ajira.
Ardhi yenye rutuba imejaa tele nchi nzima vijana hawa hawataki kwenda kuitumia ili kujitengenezea kipato. Wanang'ang'ania kukaa mijini ili waendelee kujamiiana. Mikoa ya Tabora, Katavi, Tanga na Songea ardhi hutolewa bure kabisa.
Siku nikiwa Rais wa nchi hii, itakuwa ni kosa la jinai mtu kutamka ama kuandika kwamba Tanzania kuna tatizo la ajira
Halafu na wewe ni baba mwenye familia yako kabisa kama unashindwa kufikiria tu kwenye uchangiaji wa hoja kama hizi???? SHAME!!!Acha upotoshaji, Tanzania haina tatizo la ajira. Isipokuwa kuna tatizo la vijana wachache (walioenda shule wakajikita kujamiiana badala ya kusaka maarifa) kutokupenda kufanya kazi. Vijana hawa ndiyo wanadai eti Tanzania kuna tatizo la ajira.
Ardhi yenye rutuba imejaa tele nchi nzima vijana hawa hawataki kwenda kuitumia ili kujitengenezea kipato. Wanang'ang'ania kukaa mijini ili waendelee kujamiiana. Mikoa ya Tabora, Katavi, Tanga na Songea ardhi hutolewa bure kabisa.
Siku nikiwa Rais wa nchi hii, itakuwa ni kosa la jinai mtu kutamka ama kuandika kwamba Tanzania kuna tatizo la ajira
Umeona huyu uenda alilewa kimpumHalafu na wewe ni baba mwenye familia yako kabisa kama unashindwa kufikiria tu kwenye uchangiaji wa hoja kama hizi???? SHAME!!!