Pre GE2025 Suala la maslahi ya Tanganyika tunataka liwe addressed kampeni 2025!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kinachonichosha sana kwenye huu muungano feki eti mtu ukiagiza kitu zanzibar utapigwa mikodi ya ajabu kama unaagiza zambia! Ila sasa peleka kitu zenji!
 
na kuna issue nyingi tu za msingi, kipindi cha jiwe aliibua issue ya umeme wakawa wanadaiwa kama bilioni 200 kama nakumbuka, hawajawahi kulipa au wamelipa hatujui kwa sababu na rais naye ni wa kwao. na likija suala lolote la changamoto za muungano, huwa zinaangaliwa zaidi zile za wazanzibar, sasa ivi wametulia hata hatujui kama mama yao kawapendelea kimyakimya au vipi, inakuwaje miaka yote walikuwa wanaongea sasaivi wapo kimya? hivi wanasiasa huwa wanaakili kutafuta issue sensitive zinazoweza kuwadraw maccm waje kwenye meza ya mazungumzo na kutatua matatizo au?

Zile hela Tanesco iliwasamehe wazenji! So watanganyika wamecover hii.
 
Ukosefu wa akili ni kauli yenye kuweza kusemwa na yoyote anayejisikia.

Mwenye akili timamu hawezi kuacha ardhi kubwa huku bara akaenda kuhangaika na ardhi ya visiwa, vile ni visiwa sijui unaelewa maana ya visiwa!. Vyakula wanavitegemea kutoka huku bara kama Comoro hawana tofauti nao.

Inategemea pia umri wako upo vipi kwa sasa, wazanzibari tangu miaka hiyo ya 70 wanauongelea muungano, mimi na wewe tunapoteza kitu gani kwa wao kuuongelea?., kwanini mtu mwenye kujielewa ahangaike katika kutukuza mawazo ya kulipa visasi?.

Tupunguze hizi roho za chuki na visasi, sisi ni bora kuliko kuendekeza akili za aina hiyo.
nadhani wewe ndio huna akili kabisa. sasa kwa nini wao wanaacha ya kwao wanakuja hapa? halafu, kama tunataka kuungana, si tuingiliane mazima, kwani sisi hatutaki kumiliki ardhi zanzibar, we akili umepeleka wapi kwamba hautaki kumiliki ardhi zanzibar ili uifanyie chochote kama raia? sasa wanakuona wewe mgeni na uende kama mwekezaji wakati wao hapa wanakuja kama raia.
 
Sahihi maana wanaofaidi ni wazanzibar pekee wapo mpk TAMISEMI
ajira za bara wanapata 20% zote za kwao, ati uchukue asilimia 20 uwape watu wanaotoka kwenye kawilaya kenye watu 2m against nchi yenye wanadamu 60m. na wao wana advantage nyingine kwao wanapata izo ajira ila sisi kwao marufuku kupata. hauoni kama hizo asilimia 20% walitakiwa waajiriwe watanganyika wanaohangaika bila kazi? nafasi zao zimezibwa na wazanzibari ambao hata kwao wana nafasi kupata ajira.
 
Hizo 20% ni kwa wale Wazanzibar waliopo Zanzibar lakini wazanzibar wanaoishi bara wanaruhusiwa kuomba tena kwenye ile 80% ya bara na kwao pia, huu ni ujinga wa hali ya juu sn
 
nadhani wewe ndio huna akili kabisa. sasa kwa nini wao wanaacha ya kwao wanakuja hapa? halafu, kama tunataka kuungana, si tuingiliane mazima, kwani sisi hatutaki kumiliki ardhi zanzibar, we akili umepeleka wapi kwamba hautaki kumiliki ardhi zanzibar ili uifanyie chochote kama raia? sasa wanakuona wewe mgeni na uende kama mwekezaji wakati wao hapa wanakuja kama raia.
Uende kule wakati huku bara kuna maelfu kwa maelfu ya hekari umeziacha bure tu, hapo ndio akili inapokuwa ni tatizo.

Ukiwa na akili zile za tit for tat huwezi kuuelewa huu muungano, ukiongozwa na wao wanasema hivi hivyo sisi tufanye hivi ili tulipe kisasi, utaendelea kushindwa kuielewa busara ya kina Nyerere na Karume mwaka ule wa 1964 walipounganisha udongo wa bara na visiwani.
 
Ukosefu wa akili ni kauli yenye kuweza kusemwa na yoyote anayejisikia.

Mwenye akili timamu hawezi kuacha ardhi kubwa huku bara akaenda kuhangaika na ardhi ya visiwa, vile ni visiwa sijui unaelewa maana ya visiwa!. Vyakula wanavitegemea kutoka huku bara kama Comoro hawana tofauti nao.

Inategemea pia umri wako upo vipi kwa sasa, wazanzibari tangu miaka hiyo ya 70 wanauongelea muungano, mimi na wewe tunapoteza kitu gani kwa wao kuuongelea?., kwanini mtu mwenye kujielewa ahangaike katika kutukuza mawazo ya kulipa visasi?.

Tupunguze hizi roho za chuki na visasi, sisi ni bora kuliko kuendekeza akili za aina hiyo.
Muungano maana yake ni nini, kama watu wa upande mmoja wanabanwa kufanya wanachofanya wananchi wa upande wa pili. Kwa nini umwamlie mtu wapi anapopenda kwenda kuishi ndani ya taifa moja. Huo siyo ubaguzi?
 
Jiografia yetu ni tofauti sana na ya mataifa mengi yaliyoungana. Waliokuwepo miaka hiyo wanasema lengo la muungano miaka ile ya 1964 lilikuwa ni la kisiasa zaidi. Dunia ya pande mbili za mashariki na magharibi ilihatarisha uwepo wa Tanganyika yenye eneo kubwa zaidi kwani Zanzibar ilikuwa rahisi kuingiliwa na ugeni wa mataifa makubwa.
 
Hayo nayajuwa vyema kabisa, pamoja na kwamba ni nadharia tu, hakuna mwenye uhakika nayo (hayo ya magharibi/mashariki); kwani pia wakati huo palikuwepo na msukumo sana wa nchi kuungana maeneo mbalimbali duniani kwa sababu tofauti na hiyo ya magharibi/mashariki.
Lakini pamoja na hayo yote, hakuna sababu ya kuendelea kuwepo na ubaguzi huu ndani ya taifa moja. Hili sasa limekuwa jambo la kuumiza muungano.
 
Back
Top Bottom