murongo munene
Member
- Oct 25, 2017
- 92
- 81
Walimu wanakazi ya kufundisha Neno "shall" kisheria mpaka watu waelewe kweli Tanzania tuna KAZI kubwa mno tutaona mengi kwenye hii miaka sita ya Melo iliyobaki only kama hata extend term nyingine maana anaonekana amenogewa Sana na jumba jeupeKasome vizuri sharia ya CAG
Atakaa madarakani kwa miaka mitano
Ni uamuzi wa ngazi ya uteuzi kumuongezea muhula au la
Assad atarudi kwenye ajira yake UDSM
Sasa hatumii katiba bali anaongoza kwa mawazo yake binafsi na ushauri wa Daud Bashite tuMkuu kumbuka rais aliapa kulinda katiba yetu kwa kinywa chake..
Mkuu soma historia ya Ma CAG waliopita, hakuna miaka kumi tu? Kwa mfano aliyepita ameongoza muda gani? Vipi yule Wa kwanza.pia kuna umri Wa kustaafu kuanzia miaka 60, kumbuka Assad ana miaka 58.Hawezi staafu maana bado umri huo...Wa kustaafu.
Assad hajastafu. Mkataba wake haujawa renewed. Hayo ni mambo mawili tofauti.
Hata urais marais wote waliomfuatia Nyerere waliongoza kwa miaka kumi. Hicho ndicho kikomo cha urais. Mihula miwili.
Lakini, kikomo cha urais kuwa mihula miwili, hakimaanishi kwamba ni lazima rais awe rais kwa mihula miwili.
Rais anaweza kuwa rais wa muhula mmoja halafu contract yake isiwe renewed na wananchi katika box la kupihga kura.
Akaishia kuwa rais wa muhula mmoja.
Hicho ndicho kitu kilichotokea hapa.
Tofauti ni kwamba, rais contract yake inakuwa renewed na wananchi kwa kupigiwa kura.
CAG contract yake inakuwa renewed kwa maamuzi ya rais.
Rais hajaamua ku renew contract.
Hakuna sehemu kwenye katiba inayomlazimisha rais ku renew contract.
Hakuna sehemu kwenye katiba inayisema CAG ni lazima akae kuwa CAG kwa miaka 10.
Msimamo wa kukataa pesa za umma kupigwa kienyeji na mtukufu huo ni msimamo wa wananchi wote ndiyo maana mpaka leo wanazidai zile trililion 1.5 hawana imani na mtukufuUko sawa mkuu, katiba haijavunjwa ni msimamo wake ndiyo umemponza.
Muvi ndo kwanza inaanza..!!
Inawezekana kabisa Magufuli akawa kaweka CAG mpya ili wapate kupiga pesa kwenye miradi, au kutumia pesa bila kuingikiwa na CAG.Magufuli kaweka CAG mpya wapate kupiga pesa kwenye miradi yote mikubwa bila kelele za CAG wa zamani mwadilifu, hizo story zako bakia nazo huko huko
Pamoja na kuwa sio mwanasheria hapa najua unapotosha, kinachozingatiwa hapa sio umri tu bali ni kuwa pale CAG akiteuliwa kwanza atamaliza miaka yote ya kipindi alichoteuliwa yaani miaka mitano ya mwanzo ,baada ya hapo anaweza kuteuliwa tena (angalizo na sio lazima kama vilaza walivyoshupalia neno (eligible) nadhani hawajui tafsri ya neno eligible ,neno eligible halilazimishi ni sawa tu na kusema ''anastahili'' )kwa miaka mingine mitano ambayo hataongezewa tena,hapa kiliwekwa kwanza kipindi cha miaka mitano,na maana yake ni kuwa anaweza kutoteuliwa tena kinapokuja kipindi cha pili cha miaka mitano,mnaolilia na ukihiyo wenu wa sheria mngejiuliza kwanini haikuwekwa miaka kumi moja kwa moja na ikawekwa miaka mitano mitano? maana yake yule aliyemteua anaweza tu kumyoa kwa kutomuongezea miaka mingine mitano,hiyo ndio kinga ya CAG. Kule Marekani Trump anatoa na kuingiza pale anapoona hufai tena yeye anatwit tu,hata ungekuwa kwenye ziara ,mnakumbuka yule aliyekwa waziri wa mambo ya nje alipokuwa ziarani Kenya kibarua kikaota mbaya,pamoja na hizo kanuni sijui katiba mwisho wa yote anayeteua ndio mwenye mamlaka ya kutengua,kama alivoteua kwa raha zake pia atatengua kwa raha yake.Watanzania tuamke, Katiba ya mwak 1977 ina-limit mihula miwili ya miaka mitanomitano, ndiyo maana kabla ya hiyo katiba muda wao ulikuwa unabadilika.
Heb tupitie historia kidogo.
View attachment 1252969
View attachment 1252970
Yaani prof. Assad anavyochukiwa, hadi picha yake kwenye website (National Audit Office of Tanzania » The CAG) walishafuta kwenye orodha ya ma-CAG.
-Je, kafikisha miaka 60? (Mussa Juma ASSAD Born : 6 October 1961)
-Je, sheria ilibadilishwa lini kustaafishwa kabla ya miaka 60? (Mandatory retirement also known as enforced retirement or compulsory retirement)
-Je, anaumwa ama ametiwa hatiani na tume ya maadili?
-Je, Rais amefuata katiba inavyosema?
View attachment 1252957
View attachment 1252749
Pole sana Mkuu, soma katiba ibara 144 uelewe vizuri, katiba imeweka umri Wa CAG kuondoka madarakani ni umri Wa kustaafu, je umri Wa kustaafu ni miaka 58 aliyonayo Assad? Hapana.kipindi cha rais kuongeza miaka mitano akitaka ni ingekuwa katimiza miaka ya kustaafu na hakizidi kimoja kwa mujibu Wa katiba.Assad alipaswa kupewa mitano tens hadi 2024.sio siasa ni fact, endeleeni kutetea uovu.Pamoja na kuwa sio mwanasheria hapa najua unapotosha, kinachozingatiwa hapa sio umri tu bali ni kuwa pale CAG akiteuliwa kwanza atamaliza miaka yote ya kipindi alichoteuliwa yaani miaka mitano ya mwanzo ,baada ya hapo anaweza kuteuliwa tena (angalizo na sio lazima kama vilaza walivyoshupalia neno (eligible) nadhani hawajui tafsri ya neno eligible ,neno eligible halilazimishi ni sawa tu na kusema ''anastahili'' )kwa miaka mingine mitano ambayo hataongezewa tena,hapa kiliwekwa kwanza kipindi cha miaka mitano,na maana yake ni kuwa anaweza kutoteuliwa tena kinapokuja kipindi cha pili cha miaka mitano,mnaolilia na ukihiyo wenu wa sheria mngejiuliza kwanini haikuwekwa miaka kumi moja kwa moja na ikawekwa miaka mitano mitano? maana yake yule aliyemteua anaweza tu kumyoa kwa kutomuongezea miaka mingine mitano,hiyo ndio kinga ya CAG. Kule Marekani Trump anatoa na kuingiza pale anapoona hufai tena yeye anatwit tu,hata ungekuwa kwenye ziara ,mnakumbuka yule aliyekwa waziri wa mambo ya nje alipokuwa ziarani Kenya kibarua kikaota mbaya,pamoja na hizo kanuni sijui katiba mwisho wa yote anayeteua ndio mwenye mamlaka ya kutengua,kama alivoteua kwa raha zake pia atatengua kwa raha yake.
Hata nust be eligibke haibadilishi kitu.Ati JF kuna wasomi wakati neno shall be eligible hawawezi kulitafsiri kisheria. Katiba ingesema must be eligible ingekuwa biashara nyingine.
Magufuli anavunja katiba sana.Sasa hatumii katiba bali anaongoza kwa mawazo yake binafsi na ushauri wa Daud Bashite tu
Wewe unachukulia kwamba kuwa eligible kuendela ni uthibitisho kuwa lazima utaendelea. Kama ulikuwa hujui, Rais Abdul Wakil wa Zanzibar kati ya mwaka 1985 na 1990 alikuwa eligible kuendelea kuwa rais wa Zanzibar kipindi kingine hadi mwaka 1995, lakini hakuendelea, badala yake Comando Salmini akachukua kati ya mwaka 1990 hadi 2000; ndiyo maana upishanaji wa kiti cha rais baina Zanzimbar na muungano kuna tofauti ya miaka mitano.Watanzania tuamke, Katiba ya mwak 1977 ina-limit mihula miwili ya miaka mitanomitano, ndiyo maana kabla ya hiyo katiba muda wao ulikuwa unabadilika.
Heb tupitie historia kidogo.
View attachment 1252969
View attachment 1252970
Yaani prof. Assad anavyochukiwa, hadi picha yake kwenye website (National Audit Office of Tanzania » The CAG) walishafuta kwenye orodha ya ma-CAG.
-Je, kafikisha miaka 60? (Mussa Juma ASSAD Born : 6 October 1961)
-Je, sheria ilibadilishwa lini kustaafishwa kabla ya miaka 60? (Mandatory retirement also known as enforced retirement or compulsory retirement)
-Je, anaumwa ama ametiwa hatiani na tume ya maadili?
-Je, Rais amefuata katiba inavyosema?
View attachment 1252957
View attachment 1252749
Ati JF kuna wasomi wakati neno shall be eligible hawawezi kulitafsiri kisheria. Katiba ingesema must be eligible ingekuwa biashara nyingine.
Wewe unachukulia kwamba kuwa eligible kuendela ni uthibitisho kuwa lazima utaendelea. Kama ulikuwa hujui, Rais Abdul Wakil wa Zanzibar kati ya mwaka 1985 na 1990 alikuwa eligible kuendelea kuwa rais wa Zanzibar kipindi kingine hadi mwaka 1995, lakini hakuendelea, badala yake Comando Salmini akachukua kati ya mwaka 1990 hadi 2000; ndiyo maana upishanaji wa kiti cha rais baina Zanzimbar na muungano kuna tofauti ya miaka mitano.
Ati JF kuna wasomi wakati neno shall be eligible hawawezi kulitafsiri kisheria. Katiba ingesema must be eligible ingekuwa biashara nyingine.
Shall be eligible doesn’t mean shall be reappointed.
Sijui tatizo ni lugha..????