Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

Hapo article 40(1)ya katiba inaposema a president shall be eligible for re-election maana yake watanzania lazima raisi achaguliwe mara ya pili?
 
The problem, nye watu hamsomi hadi mwisho... mnakimbilia ku-comment! Kama CAG ni kibaka, Katiba yetu inaruhusu CAG kutumbuliwa kabla ya muda wake kwamba Ibara ya 143(3) -If the President considers that the question of the removal of the Controller and Auditor-General from office under the provisions of this Article needs to be investigated, then the procedure shall be as follows: CAG atatumbuliwa na Rais ataunda Tume ya Kijaji ya kumchunguza... na hili nimesema kwenye thread!

Kwamba eti ni miaka 60, hapa tena unaonesha wazi kwamba husoma kwa sababu Katiba yetu Ibara ya 6(2)(a) inayosema:-
Unless the question of removal becomes the subject of investigation in terms of Article 144(3) of the Constitution, the Controller and Auditor-General shall vacate office upon attaining the age of sixty five years;
Umri wa lazima ni miaka 65 kwa sababu Katiba ilitoa uhuru kwa Bunge kutunga sheria kuhusu umri mwingine mbali na hiyo 60!
 


Nimekuelewa kama ambavyo kila tasnia wanatafsiri zao za maneno kutokana na kada yao. Mfano wauguzi, watu wa teknohama, wahandisi, wanasheria n.k.

Sasa kama alivyosema Kiranga na mimi nimeuliza hicho kitu jana. Kulikua na ugumu gani kuweka moja kwa moja kwamba ni muhula mmoja wa miaka kumi?

Nyani Ngabu rais wangu tumejitahidi kutaka kupata maelezo kuhusu hili, kwa bahati mbaya hakuna aliyeweza kuja na kitu chenye mashiko.

Niliishia kusema basi katiba yenyewe itakua ya hovyo kuliko wanaoivunja.
 

Kwamba neno eligible limewekwa tu halina uzito au maana yeyote? Ikiwa ni hivyo kwanini basi na neno shall lisiwe limewekwa tu?

Mkanganyiko unaanzia kwenye Katiba yenyewe.
 
Nimeshakujibu Raisi Hana mandate ya kumteua mtu for less than 5 years kwenye U CAG .Professor Assad kabakiza miaka miwili ya kufikia 60 ya kikatiba .Asingeweza kupewa 5 years huyo .Rais angekuwa kavunja katiba.Lakini professor Assad angekuwa na miaka 55 Raisi angeweza kumpa akafikia 60.Na akifikia 60 angeweza akitaka kumpa mingine Mitano afikishe 65 ya kuidhinishwa na ubunge .

Tatizo umri wa Assad umekaa vibaya hauingii vizuri kwenye katiba umekaa kishirikina
 
Weather I agree with you or not you have my respect Mkuu as you are arguing reasonably
 
Weather I agree with you or not you have my respect Mkuu as you are arguing reasonably
Tuangalie sheria na mantiki.

Tusiandike kwa hisia zinazoongozwa na jazba za kisiasa.

Magufuli anavunja katiba, sana tu.

Mfano, kupiga marufuku mikutano ya kisiasa ni kuvunja katiba wazi.

Katiba inatoa "right to assembly" wazi kabisa.

Hatuhitaji kutunga uongo kwamba Magufuli kavunja katiba kwenye suala la CAG.

Kutunga uongo kwenye hili kutafanya hata tunaposema kweli Magufuli anapovunja katiba kweli, tuonekane tunazusha uongo.
 
Kama mtu hajakuelewa ulichoandika akalazwe hospitali ya Mirembe.Umefafanua vizuri mno
 
While Assad was "eligible" to continue as a CAG
but Eligibility itself doesn't automatically confer him a continuation of a post.

Being eligble means being qualified for something, however a person who grants a contract may find others who are equally qualified or more qualified or simply qualified to take the post!

As Kiranga said, Shall in this case is all about "eligibility" and not an automatic renewal of the contract
 
Huu uteuzi umefanywa ili kuzima kelele za wapinzani wanaonyimwa fomu za uchaguzi serikali za mitaa
 
You fairly know what you are talking about kiongozi wangu. Good point, straight forward and no bias. Unajua wapi Magufuli kakosea lakini haijakufanya usimpe haki ambapo ametenda kwa mujibu wa mamlaka aliyokabidhiwa na katiba
 
You fairly know what you are talking about kiongozi wangu. Good point, straight forward and no bias. Unajua wapi Magufuli kakosea lakini haijakufanya usimpe haki ambapo ametenda kwa mujibu wa mamlaka aliyokabidhiwa na katiba
 

Wanasheria wetu bhana, nazidi kuwa na mashaka nanyi.
....vipi mkuu neno SHALL kwenye katiba kuhusu kumchagua rais huyo huyo kwa mara ya pili....the president holding the office SHALL BE ELIGIBLE FOR RE-LECTION... ..



Je, TUNASHURUTIWA KUMCHAGUA RAIS KWA MARA YA PILI? RAIS HAWEZI KAA MADARAKANI TERMS 1?
Ebu tutafsirie na hiyo hapo juu IBARA YA 40..nayo ni SHALL BE ELIGIBLE! Je rais muda wake ni miaka 5 au 10 kabla ya uchaguzi?

Au unataka kutuambia neno SHALL kisheria kwa RAIS na CAG lina tafsiri tofauti?
 
Wezi na vibaka mna umoja wenu wa kuteteana. Ila wewe haupo katika orodha ya vibaka vigogo bado ni kibaka uchwara mbeba mikoba
 
Hawa wanadakia mambo ila IFRS amemaliza ubishi aliposema:



CC: Chige uache ubishi wa kitoto
Mi sijaelewa mnapobishana mbona jamaa kajitahidi kutoa tafsiri ya kisheria kuhusu neno "Shall" kwa mujibu wa sheria zetu. Hizo quotation zako zote sijui kama umejipa muda wa kutafakari huku ukiunganisha na maana za kisheria. Tatizo lenu mnatoa tafsiri zenu kutokana na uelewa wenu wa lugha ya kiingereza. Sheria haiendi hivyo.

Unaposema katiba inasema The President shall be eligible for re-election. Maana yake "election" ndo ya razima. Ila sio lazima kuwa Rais hivyo kama hataki au chama chake hakijampitisha hakuna ulazima wa yeye kugombea tena, ila akitaka kuwa tena Rais ni lazima apitie ktk uchaguzi. Lakini pia awe eligible, eligibility ya Rais imetajwa tayari na katiba ktk ibara ya 39 na 40.

"Shall be eligible for renewal" hapo eligibility inayozungumziwa hapo ameshatoa tafsiri yake kuwa, kama hayupo eligible basi kuwe na uchunguzi. Yaani eligibility ya CAG haitokani na mtazamo wa mtu bali ni lazima uchunguzi, ufanyike kwa mujibu wa katiba, au zile za automatic ambazo ni za umri tu. Otherwise kama hakuna uchunguzi ni lazima mkataba wake uwe renewed. Ndo maana ya hiyo sentence "shall be eligible for renewal"
 
Mkuu CHIGE ahsante kwa ufafanuzi murua ukisindikiza na quotes kutoka kwenye katiba iliyopo,tatizo Praise Team na Buku 7 zao wanajifanya hawaijui katiba ya nchi.Ipo siku wataelewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…