Hapo article 40(1)ya katiba inaposema a president shall be eligible for re-election maana yake watanzania lazima raisi achaguliwe mara ya pili?
View attachment 1253504
Mnachanganya mambo!!
Vifungu kadhaa vya Katiba huwa vinatungiwa independent law inayoweza kusema tofauti na kile kilichosemwa kwenye katiba provided Katiba imetoa huo uhuru!!
Suala la CAG, Katiba yetu Ibara ya 144 (1) inasema wazi kwamba:-
Controller and Auditor-General of the United Republic shall be obliged to vacate office upon attaining the age of sixty or any other age which shall be prescribed by a law enacted by Parliament.
Meaning, ingawaje Katiba inasema ni miaka 60 lakini pia imetoa uhuru kwa Bunge kutaja umri mwingine.
Huo umri mwingine umetajwa kwenye 2008 Public Audit Act Ibara ya 6(2)(a) inavyosema kwamba:-
Unless the question of removal becomes the subject of investigation in terms of Article 144(3) of the Constitution, the Controller and Auditor-General shall vacate office upon attaining the age of sixty five years;
Which means, ingawaje katiba ilitoa miaka 60, hiyo sheria inasema CAG ATALAZIMIKA kuachia kiti akifikisha miaka 65.
Na hataondoka kabla ya kufikisha miaka 65 "
Unless the question of removal becomes the subject of investigation in terms of Article 144(3) of the Constitution"
Kama kuna jambo amefanya analotakiwa kuchunguzwa, ndipo anaweza kuondolewa kabla ya 65.
Taratibu za uchaguzi wa Rais na CAG ni TOFAUTI.
Ndo matatizo yenu hayo... huwa mnasoma kifungu kimoja kimoja!!
Hiyo Ibara ya 40 inaaanza kwa kusema
(1) Subject to the other provisions of this Article, any person who
holds office as President shall be eligible for re-election to that office.
Kwamba, shall be elegible subject to the other provisions of the same Act... yaani Ibara ya 40.
Lakini Ibara hiyo hiyo ya 40, kifungu kidogo cha 4 kinasema
(4) Where the Vice-President holds the office of President in accordance with the provisions of Article 37(5) for less than three years, he shall be eligible to contest for the office of President for two terms, but where he occupies the office of President for three years or more, he shall be eligible to contest for the office of President for one term only.
(5) Where the office of President becomes vacant by reason of death resignation, loss of electoral qualifications or inability to perform his functions due to physical infirmity, or failure to discharge the duties and functions of the office of President, then the Vice-President shall be sworn in and become the President for the unexpired period of the term of five years and in accordance with the conditions set out in Article 40, and, after consultation with the political party to which he belongs, the President shall propose the name of the person who shall be Vice-President and such appointment shall be confirmed by the National Assembly by votes of not less than fifty percentum of all the Members of Parliament.
Wanasheria wetu bhana, nazidi kuwa na mashaka nanyi.
....vipi mkuu neno
SHALL kwenye katiba kuhusu kumchagua rais huyo huyo kwa mara ya pili....the president holding the office
SHALL BE ELIGIBLE FOR RE-LECTION... ..
View attachment 1253528
Je, TUNASHURUTIWA KUMCHAGUA RAIS KWA MARA YA PILI? RAIS HAWEZI KAA MADARAKANI TERMS 1?
Ebu tutafsirie na hiyo hapo juu IBARA YA 40..nayo ni SHALL BE ELIGIBLE! Je rais muda wake ni miaka 5 au 10 kabla ya uchaguzi?
Au unataka kutuambia neno
SHALL kisheria kwa RAIS na CAG lina tafsiri tofauti?
Hiyo SHALL ya kwenye Urais mnayoi-force, haingii kwa muktadha huu kwa sababu Sheria za Mtu kuchaguliwa kuwa Rais au kuondolewa kwenye nafasi yake ni tofauti na sheria zinazomhusu CAG!
Sheria ya Ukaguzi wa Hesabu za Umma ya mwaka 2008 6(2)(a) imesema wazi kwamba:-
Unless the question of removal becomes the subject of investigation in terms of Article 144(3) of the Constitution, the Controller and Auditor-General shall vacate office upon attaining the age of sixty five years;
Kwamba, CAG ataondoka ofisini atakapofikisha miaka 65 unless kama kuna jambo amefanya linalohitaji Uchunguzi wa Kijaji!
Aidha, neno SHALL limetafsiriwa kwenye Interpretation of Laws Act Ibara ya 53(2) kwamba:-
(2) Where in a written law the word "shall" is used in conferring a function, such word shall be interpreted to mean that the function so conferred must be performed.