MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Haya, subiri tuone!Katiba hairuhusu kuteua na kumpa chini ya miaka mitano.Katiba inataka lakzima iwe miaka mitano .Asingempa miaka miwili katiba hairuhusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya, subiri tuone!Katiba hairuhusu kuteua na kumpa chini ya miaka mitano.Katiba inataka lakzima iwe miaka mitano .Asingempa miaka miwili katiba hairuhusu
Alisema lakini mkamtishia kumfanyizia unyama ikiwemo Ndungai kumtishia akaamua kunyamaza lakini tr 1.5 imepigwa na utawala huu unaojiita wa kizalendoCAG hajawahi sema kuna wizi wa 1.5T. Ni maneno ya mnafiki Zitto.
Kama imepigwa kununua ndege, kujenga barabara, miradi kibao.Alisema lakini mkamtishia kumfanyizia unyama ikiwemo Ndungai kumtishia akaamua kunyamaza lakini tr 1.5 imepigwa na utawala huu unaojiita wa kizalendo
Kichere CAG mpya keshaapishwa tayari.Haya, subiri tuone!
Katiba inasema wananchi wana haki ya kujua jinsi nchi yao inavyoendeshwa.Hiyo special tribunal ni lazima itangazwe kwa public? Ni lazima nìmwambie mtuhumiwa nakuchunguza ili ajipange?
Katiba haijasema hayo. Imesema special tribunal tu.
Katiba inatoa haki ya wananchi kujua jinsi nchi yao inavyoendeshwa katika mambo muhimu.Haiwezi kuwa tribunal ya siri, kumbuka kuwa Katiba inalazimisha haki ya kusikilizwa hivyo tungeweza kutokujua sisi lakini lazima mhusika afahamu kuhusu iyo tume na lazima imuhoji.
Haiwezi kuwa tume ya siri Katiba inalazimisha haki ya kusikilizwa kwa mtuhumiwa yeyote kabla ya kuhukumiwa. Hivyo hata kama sisi tusingepata taarifa lakini mhusika ni lazima ajue na lazima ahojiwe kwa mujibu wa taratibu.Hivi ili rais akifuata hicho kifungu cha utaratibu wa kumuondoa CAG lazima atangaze? Sasa nyinyi nyote mnaopiga porojo kwamba katiba imevunjwa mna uhakika gani kwamba hajaunda hicho chombo kwa mujibu wa ibara mnayoizungumzia? Labda niletewe kifungu kinachoonyesha kwamba rais akiwa anatekeleza hiyo ibara ya 144 ya katiba ni lazima atangaze. Lakini kama hakipo, basi wanaoamini kwamba rais kavunja katiba wanatakiwa wareverse pia akili yao waamini kwamba rais hajavunja katiba. Rais kasema 'Duniani ukipewa mamlaka ya kuteua, unapewa pia mamlaka ya kutengua' nimeipenda sana hii na ndo uhalisia. Mtu akuteue alafu ashindwe kukutengua.
Kuna vipengele vipya vinajadiliwa vinasema kumuondoa baada ya miaka mitano kufuate process kama ya impeachment.
Inaonekana Magufuli hajaifuata process hiyo, na hapo ndipo anaweza kuwa kavunja katiba.
Profesa Shivji katweet kuhusu hii process.
Maandiko yangu ya awali hayakuwa informed kuhusu hiki kipengele.
Thanks @MissileofTheNation
Ni kweli kabisaKatiba inatoa haki ya wananchi kujua jinsi nchi yao inavyoendeshwa katika mambo muhimu.
Kuwa na tribunal ya siri kuhusu jambo nyeti kama hili nako ni kuvunja katiba.
Kwani akifuata hiyo procedure katiba inamtaka atangaze? Kama hafungwi na katiba kutangaza basi kwa nn tusikubali kwamba kafuata huo utaratibu?Kuna vipengele vipya vinajadiliwa vinasema kumuondoa baada ya miaka mitano kufuate process kama ya impeachment.
Inaonekana Magufuli hajaifuata process hiyo, na hapo ndipo anaweza kuwa kavunja katiba.
Profesa Shivji katweet kuhusu hii process.
Maandiko yangu ya awali hayakuwa informed kuhusu hiki kipengele.
Thanks @MissileofTheNation
Alivyokatazwa kukagua ATCL tu, nikajua hapa lazima figisu lianze.Magufuli alianza kumchukia baada ya kuibua wizi wa Tr 1.5 na pia spika wizi wa bilion kibao kwa madai kuwa zimetumika india hospt , tokea hapo akaanza kubuni mbinu za kumtokomeza kabla hajaanza ukaguzi wa mahesabu ya wizara ya uchukuzi ambayo yangemkuta na maafa zaidi, sasa kamteua wa kulinda kila kitu lazima watanzania wapige kelele sana
Kwani akifuata hiyo procedure katiba inamtaka atangaze? Kama hafungwi na katiba kutangaza basi kwa nn tusikubali kwamba kafuata huo utaratibu?
Katiba inatoa haki ya msingi kwa wananchi kupata taarifa zote muhimu za jinsi nchi yao inavyoendeshwa.Kwani akifuata hiyo procedure katiba inamtaka atangaze? Kama hafungwi na katiba kutangaza basi kwa nn tusikubali kwamba kafuata huo utaratibu?
Pamoja na kulialia kwenu kaishaondoka huyoooooooooKatiba ndivyo inavyosema kuwa bunge ndo litampima? Au ndilo litakalomchunguza?Mbona unajitoa ufahamu? Zungumza kwa mujibu wa Sheria sio unatoa maoni yako. Tumeweka Sheria wenyewe tunatakiwa kuzifuata kama vipi tukae chini tubadilishe vifungu vya katiba.
huyu mzee mbona ana mtima nyongo hivi?