Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

Hivi ili rais akifuata hicho kifungu cha utaratibu wa kumuondoa CAG lazima atangaze? Sasa nyinyi nyote mnaopiga porojo kwamba katiba imevunjwa mna uhakika gani kwamba hajaunda hicho chombo kwa mujibu wa ibara mnayoizungumzia? Labda niletewe kifungu kinachoonyesha kwamba rais akiwa anatekeleza hiyo ibara ya 144 ya katiba ni lazima atangaze. Lakini kama hakipo, basi wanaoamini kwamba rais kavunja katiba wanatakiwa wareverse pia akili yao waamini kwamba rais hajavunja katiba. Rais kasema 'Duniani ukipewa mamlaka ya kuteua, unapewa pia mamlaka ya kutengua' nimeipenda sana hii na ndo uhalisia. Mtu akuteue alafu ashindwe kukutengua.
 
Alisema lakini mkamtishia kumfanyizia unyama ikiwemo Ndungai kumtishia akaamua kunyamaza lakini tr 1.5 imepigwa na utawala huu unaojiita wa kizalendo
Kama imepigwa kununua ndege, kujenga barabara, miradi kibao.
Basí wándelee kupiga tu. Watanzania tunabariki wizi wa dizaini hii...
 
Uzalendo wa utawala hii ni kufanya vitu bila kijali kiwa watanzania nao wana Akili za kuwaza kufikiri pia, wameamua kuwaza kwa niaba ya wananchi ambao wanawaza vingine vizuri tofauti na wao.
 
Hiyo special tribunal ni lazima itangazwe kwa public? Ni lazima nìmwambie mtuhumiwa nakuchunguza ili ajipange?
Katiba haijasema hayo. Imesema special tribunal tu.
Katiba inasema wananchi wana haki ya kujua jinsi nchi yao inavyoendeshwa.

Transparency is a part of good governance.

Nchi yenye special tribunal za siri mtu anaweza kutungiwa makosa ya uongo akaletewa tribunal ya siri na kuchinjiwa baharini.

Magufuli, kama aliweka tribunal, anawajibika kuwaeleza Watanzania aliweka lini, makosa ya CAG ni yapi, na findings za tribunal ni zipi.

Kwa rekodi ya CAG kukataliwa kukagua ATCL, watu wanaweza kuwa justified kusema Magufuli kamtoa CAG kwa sababu CAG ni tishio kwa MAgufuli na matumizi yake mabaya ya fedha.
 
Haiwezi kuwa tribunal ya siri, kumbuka kuwa Katiba inalazimisha haki ya kusikilizwa hivyo tungeweza kutokujua sisi lakini lazima mhusika afahamu kuhusu iyo tume na lazima imuhoji.
Katiba inatoa haki ya wananchi kujua jinsi nchi yao inavyoendeshwa katika mambo muhimu.

Kuwa na tribunal ya siri kuhusu jambo nyeti kama hili nako ni kuvunja katiba.
 
Hivi ili rais akifuata hicho kifungu cha utaratibu wa kumuondoa CAG lazima atangaze? Sasa nyinyi nyote mnaopiga porojo kwamba katiba imevunjwa mna uhakika gani kwamba hajaunda hicho chombo kwa mujibu wa ibara mnayoizungumzia? Labda niletewe kifungu kinachoonyesha kwamba rais akiwa anatekeleza hiyo ibara ya 144 ya katiba ni lazima atangaze. Lakini kama hakipo, basi wanaoamini kwamba rais kavunja katiba wanatakiwa wareverse pia akili yao waamini kwamba rais hajavunja katiba. Rais kasema 'Duniani ukipewa mamlaka ya kuteua, unapewa pia mamlaka ya kutengua' nimeipenda sana hii na ndo uhalisia. Mtu akuteue alafu ashindwe kukutengua.
Haiwezi kuwa tume ya siri Katiba inalazimisha haki ya kusikilizwa kwa mtuhumiwa yeyote kabla ya kuhukumiwa. Hivyo hata kama sisi tusingepata taarifa lakini mhusika ni lazima ajue na lazima ahojiwe kwa mujibu wa taratibu.
 
Katenda hivyo kwa chuki binafsi. Hapendi Wasomi wanaosimamia ukweli ktk Taalima zao.
 
Kuna vipengele vipya vinajadiliwa vinasema kumuondoa baada ya miaka mitano kufuate process kama ya impeachment.

Inaonekana Magufuli hajaifuata process hiyo, na hapo ndipo anaweza kuwa kavunja katiba.

Profesa Shivji katweet kuhusu hii process.

Maandiko yangu ya awali hayakuwa informed kuhusu hiki kipengele.

Thanks @MissileofTheNation

Huu ndiyo ueledi (professionalism) Kiranga hongera sana.

Ukiwa rais unayejali maslahi mapana ya nchi hii huwezi kukwazwa na vifungu vya katiba vinavyohusu uteuzi na mchakato wa kumuondoa CAG. Magu na team yake wameoverlook process nzima ya kumuondoa CAG ambayo iliwekwa kwa makusudi na Bunge kutokana na unyeti wa nafasi ya CAG.

Kutokana na uelewa mdogo na ubinafsi lile vuvuzela la Dodoma nalo haliwezi kuona uvunjaji wa katiba ulio waziwazi kama huu. Nihitimishe hivi Magu hajawahi kuwa mzalendo kwa nchi hii hata siku moja na huenda hatakuwa mzalendo asilani wa nchi yetu unless kuwe na turning point ya nguvu. Endapo unapingana na kauli hii basi ipo haja ya kucheck haraka sana afya ya akili yako.
 
Katiba inatoa haki ya wananchi kujua jinsi nchi yao inavyoendeshwa katika mambo muhimu.

Kuwa na tribunal ya siri kuhusu jambo nyeti kama hili nako ni kuvunja katiba.
Ni kweli kabisa
 
Kuna vipengele vipya vinajadiliwa vinasema kumuondoa baada ya miaka mitano kufuate process kama ya impeachment.

Inaonekana Magufuli hajaifuata process hiyo, na hapo ndipo anaweza kuwa kavunja katiba.

Profesa Shivji katweet kuhusu hii process.

Maandiko yangu ya awali hayakuwa informed kuhusu hiki kipengele.

Thanks @MissileofTheNation
Kwani akifuata hiyo procedure katiba inamtaka atangaze? Kama hafungwi na katiba kutangaza basi kwa nn tusikubali kwamba kafuata huo utaratibu?
 
Magufuli alianza kumchukia baada ya kuibua wizi wa Tr 1.5 na pia spika wizi wa bilion kibao kwa madai kuwa zimetumika india hospt , tokea hapo akaanza kubuni mbinu za kumtokomeza kabla hajaanza ukaguzi wa mahesabu ya wizara ya uchukuzi ambayo yangemkuta na maafa zaidi, sasa kamteua wa kulinda kila kitu lazima watanzania wapige kelele sana
Alivyokatazwa kukagua ATCL tu, nikajua hapa lazima figisu lianze.

Mfalme kashasema hapangiwi.
 
kauli za Assad zinaonesha hajawahi kuhojiwa!
Kwani akifuata hiyo procedure katiba inamtaka atangaze? Kama hafungwi na katiba kutangaza basi kwa nn tusikubali kwamba kafuata huo utaratibu?
 
Kwani akifuata hiyo procedure katiba inamtaka atangaze? Kama hafungwi na katiba kutangaza basi kwa nn tusikubali kwamba kafuata huo utaratibu?
Katiba inatoa haki ya msingi kwa wananchi kupata taarifa zote muhimu za jinsi nchi yao inavyoendeshwa.

Ndiyo maana marais wengine waliopita walikuwa wanawasilisha maendeleo ya muelekeo wa nchi kila mwezi.

Ndiyo maana Msigwa anatoa communique kila wiki kuhusu teuzi na tenguzi.

Kuwa na impeachment tribunal ya siri kwa mtu nyeti kama CAG ni kuvunja katiba.
 
Katiba ndivyo inavyosema kuwa bunge ndo litampima? Au ndilo litakalomchunguza?Mbona unajitoa ufahamu? Zungumza kwa mujibu wa Sheria sio unatoa maoni yako. Tumeweka Sheria wenyewe tunatakiwa kuzifuata kama vipi tukae chini tubadilishe vifungu vya katiba.
Pamoja na kulialia kwenu kaishaondoka huyooooooooo
 
huyu mzee mbona ana mtima nyongo hivi?

Kama ni kweli kayasema hayo mbona aibu sana kwa nchi kwani mengi ni unconstitutional? Ninamuonea huruma sana AG wa sasa maana historia itamkumbuka kwamba ni the most hopeless AG aliyewahi kutokea nchi hii.
 
Back
Top Bottom