Swali gani gumu ulilowahi ulizwa na mtoto mdogo?

Baba huwa unafanyaga Nini na mama usiku Mana mama huwa analia Sana nikamjibu kuwa uyaone

kilicho akilini kitumie
Halahala asikuchukie au kukuogopa kuwa unamuumiza mama yake.
 
***** ha ha ha ngoja nimuhamishe dogo
 
 
Mtoto yupo mafundisho ya dini ya kikristo, kafundishwa mke mmoja na mme mmoja. Swali gumu likaja pale alipoambiwa huyu ni dada yenu. Duh swali likaja kwa mama yake, mama hivi baba ana mke mwingine? duh aisee akamwambia akija baba yenu muulize, dah ilibidi nipotezee tuu maana huyo alikuwa ni mtoto wa ujana, hakupewa ushirikiano wa jibu toka upande wowote
 
Nilimtembelea bro flani mtoto wake wa kiume uwa rafik yangu Sana nikakuta kanunuliwa toy kigari kipya kizuri ila kakitoa matairi yote kumuuliza mbona gari halina matairi alichojibu Sasa😄😄
"Et kwani umennulia wewe " nlichoka
 
Nina mtoto wa miaka minne ni mtundu sana sasa kila wakati mama yake humwambia unanisumbua. Sasa mwezi uliopita baada ya kuambiwa hivyo ilipidi amuulize mama yake "mama unaonaje si bora nife ili nisikusumbue?"
Mama yake kachoka mpaka leo.
duuuuh amaizing
 
Ukifa hauendi mbinguni. Mbinguni hadi Yesu akirudi.
Mbinguni sio Location; Mbinguni ni mtu ndani ya Yesu Ephesians 2 ukiisoma yote utafahamu, i suggest soma in English kama una neema ya kuelewa kiingereza. Hakuna Location inaitwa Mbinguni refered to a place in Biblical perspective.
 
Nyie ndio mnaokoteza vifunfu
Mbinguni sio Location; Mbinguni ni mtu ndani ya Yesu Ephesians 2 ukiisoma yote utafahamu, i suggest soma in English kama una neema ya kuelewa kiingereza. Hakuna Location inaitwa Mbinguni refered to a place in Biblical perspective.
 
Nyie ndio mnaokoteza vifunfu
Ni Sawa ndugu yangu; Sina shaka
mie nimesema; na wewe bado unayonafasi kama unapenda kujifunza; Ni mambo magumu kuelewa hasa kama Kuna vitu dini imepandikiza kwa muda mrefu.

Kiswahili na English ni changamoto ndugu yangu; Ndio maana wakati mwingine i Appreciate Muslim, wao waliletewa ikiwa kwenye Arabic. tofautti na sisi lazima turudi kwenye Lugha ya Asili.
 
Sijakwambia unitafsirie hahahhaahah watoto bhn
 
Unalipa watu 100k?huo ni unyonyaji,wewe ni mkoloni mweusi.
 
Mzee mengi aliulizwa swali na Mtoto wake mdogo mmoja wa wale mapacha aliulza"baba kwanini Mungu hamuui shetani"..hahah lazima utoejibu lililoshiba
Hapa kama sio msomaji wa Neno utateseka; Ila Jibu ni Simple, Sema pia kwa Umri wake kumuelezea mpaka aelewe kwa level yake ni ngumu.

Mungu ni Mtoa uzima, Mungu si Muuaji; this is enough; Ila kwa Mtu mzima inabidi uende Deep umuonyeshe na Mifano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…