Swali gani gumu ulilowahi ulizwa na mtoto mdogo?

Sio kimtindo lina Mantiki kubwa sanaa...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulishawahi Kula mnduku n mtamu??!!nulichoka sana[emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifa hauendi mbinguni. Mbinguni hadi Yesu akirudi.

Matendo hayakupeleki mbinguni
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We naye hujielewi.

Uraisi hausomewi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitokaa nisahau siku mamaangu (R.I.P) amerudi home na mtoto mchanga mdogo wangu nikampiga swali
Mama huyo ndio yule mtoto alikuwa tumboni akasema ndio nikamhoji sasa ametokea kwa wapi dah maza akanipiga kamba kamnunua duka la hospital nkahoji na yule kaenda wapi sikujibiwa hadi nilipokuja kujua mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulipokuwa kuna mwanafunzi alimwuliza swali mwalimu "kama dunia inazunguka kweli kwanini hii darasa haizunguki? "

Mwalimu akajibu nitaelezea somo lijalo.Somo lijalo hakuigusa tena hilo swali
Mwalimu wenu ni kilaza.
Jibu ni sababu twazunguka nayo Darasa liko attached kwenye surface ya dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…