Swali gani gumu ulilowahi ulizwa na mtoto mdogo?




"Eti Baba, kwani watoto ni bei gani na Mama watoto anawawanunua wapi?"
 
Unafanyaje mapenzi mpaka mwanao anajua????? Labda kama unaishi maisha ya ukabwela mkuu chumba kimoja na sebule sababu ya maisha ila hili sio jambo zuri kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaaanza kuleta itikad za kina Dr mauki sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kilicho akilini kitumie
 
Sio ulipata tabu kueleza, sema nawe hujui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikosea sana kumwambia swali la kijinga. Ni bora kusema hujui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaaanza kuleta itikad za kina Dr mauki sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kilicho akilini kitumie
hivyo vitoto vyao vinavyolala chumba cha peke yao ndio vina mabalaa si mchezo.sijajua vinapiga chabo,vinaona kwenye simu,au vinafundishwa na wadada wa kazi.
 
Mkuu unakwama sanaa...!! Upuuzi unaofanya hauhusiani na Mauki hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Babu maisha yangu ya kawaida Sana na inawezekana hata robo hujanifikia Kama ninaweza kuajir watu kma nyiny 8 hapa mjin na kuwalipa 100k kwa mwez imagne life langu usimjaj mtu kwa comment yake hapo ndio mnafeli ndio maana nasema una mambo ya Dr mauki Mana kanikwaza Sana na mkewe Mariam nagonga wiki hi shenz kabisa na Nina mwambie aweke Sana watu maeneo ya sinza lazima nimgongee

kilicho akilini kitumie
 
Inabidi sasa jf iwe inapokea watu walio above 18 mkuu mwache tu kawakilisha anachofikiri mda mwingi
Mdogo wangu Niko katika mitandao miaka mingi Niko tangu Jambo forum ambayo wew huijui kabisa miaka hyo tunacheki porn Yahoo wew unafuta kamas kwenu

kilicho akilini kitumie
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kilicho akilini mwako ni funza ndo maana unawatumia hapa
Mdogo wangu Niko katika mitandao miaka mingi Niko tangu Jambo forum ambayo wew huijui kabisa miaka hyo tunacheki porn Yahoo wew unafuta kamas kwenu

kilicho akilini kitumie
 
Alikuwa anaangalia katuni.sasa nikakutana na swali hv nikienda walipo Hawa wanaoimba watanifanya Nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…