Umeona, mwanzo alisema maswali ya polisi hayahusiani na uhaini wa Lissu sasa anakiri shahidi anaulizwa chochote kutest credibility yake.Sasa hapa unajikamata mwenyewe, kwahiyo unakubali, IGP. CDF, na DCI watapinga kuwa case hii sio uhaini? Kwa kuambatana na lissu na kuikana serikali iliyowapa vyeo?
Hivi unajua kwanini wanadanganya wamesafiri nje ya nchi, ili hali wako hapa hapa mjini?
Sanuka wewe. Lol.
We Mpumbavu hiyo ndiyo Cross Examination no stone shall left unturned na mahakama ndiyo inayoamua kama swali halina msingi palepale majaji wanalipiga chini elimu Elimu Elimu hebu Tafuta Tanzania Evidence Act TEA ya RE 2023 usome japo siyo rahisi sisi tumepita pita huko na ndiyo maana tunaona mpaka sasa Lissu Jahazi Limezama.Ila Inahusiana na mambo binafsi ya Heche? Hivi huko CCM uwe kada, ni lazima nati za ubongo zilegee au?
Anaulizwa na Nani? Hairuhusiwi kumfanyia Cross examination shahidi wako nyi mbona wapumbavu kiasi hiki?Kwahiyo unakubaliana na mimi IGP ataulizwa chochote ikiwepo ile hotel yake anayoenga Dodoma.
Hawa machawa ni kuwasamehe tu, ngenga zao zote kwishney, wanabaki kubung'aa kindezi.Umeona, mwanzo alisema maswali ya polisi hayahusiani na uhaini wa Lissu sasa anakiri shahidi anaulizwa chochote kutest credibility yake.
Na idadi ya vifo iliyotajwa na tume ya Chande ni AI?Na akijibu kama Heche alivyokataa video yake kwa kudai ni AI?
😂😂😂 kwanza nimechekaa!!We Mpumbavu hiyo ndiyo Cross Examination no stone shall left unturned na mahakama ndiyo inayoamua kama swali halina msingi palepale majaji wanalipiga chini elimu Elimu Elimu hebu Tafuta Tanzania Evidence Act TEA ya RE 2023 usome japo siyo rahisi sisi tumepita pita huko na ndiyo maana tunaona mpaka sasa Lissu Jahazi Limezama.
Nani kasema cross examination au mtu akisema kuulizwa unaita cross examination, nevertheless kwenye sheria kuna leading questions kuna cross na kuna re-examination questions.Anaulizwa na Nani? Hairuhusiwi kumfanyia Cross examination shahidi wako nyi mbona wapumbavu kiasi hiki?
Akitaka asiulizwe cross examination basi inabidi wakati wa kuongozwa na Lissu kwenye Examination In Chief amtetee Lissu.Anaulizwa na Nani? Hairuhusiwi kumfanyia Cross examination shahidi wako nyi mbona wapumbavu kiasi hiki?
Mshamba huyo , kakazania kila siku jambo hilo hilo ..Anafikiria askari hawana akili , wanajua miongozo ya nchi yao , walitaka yatokee madhara ili wapate point za kisiasa.Kwani kulikuwa hakuna hali ya hatari
Ndio maana vituo vya mwendokasi mlivyochoma moto havijakarabatiwa Ili vitumike kama ushahidi
Piga shaba kijana Ili nyinyi watu wengi muishi,,,siungi mkono fujoe na uharibifu wa Mali ila hii kauli yako ni ya kipumbavuMshamba huyo , kakazania kila siku jambo hilo hilo ..Anafikiria askari hawana akili , wanajua miongozo ya nchi yao , walitaka yatokee madhara ili wapate point za kisiasa.
TEC nao wameacha kuhamasisha maandamano tena , wanaanza kuzungumzia vurugu ...Hawa ni kupiga shaba tu , watu wachache wafanye fujo kwa kujiamulia , mpaka kuharibu mali waangaliwe tu .
Nchini Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mshamba huyo , kakazania kila siku jambo hilo hilo ..Anafikiria askari hawana akili , wanajua miongozo ya nchi yao , walitaka yatokee madhara ili wapate point za kisiasa.
SijuiKwan heche alivyojibu Ai mahakama iliamuaje?
Atajibu kama alivyoelezea Boss wake kwamba nguvu iliyotumika ilifanana na waliokusudia kufanya mapinduziNa idadi ya vifo iliyotajwa na tume ya Chande ni AI?
Wale watu waliuawa kwa risasi za moto hawakuuawa kwa mabomu ya machozi ujue.
Swali ni je, ukipambana na waandamanaji unatakiwa kutumia silaha za moto tena za kivita AK 47?
Hivi polisi waache mchome nchi , hata ukiiba utapigwa mpaka ufe pale kariakoo ..Nafikiria , hamtorudia tena.Nchini Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
Liwe fundisho , si mliita watu mashekhe ubwabwa walipowakata kufanya hayo mapinguzi, laana hiyo ..Nendeni mnawalaumu TEC waliowachochea , mnacheza na uhai wa watu ili mje kutumia kama agenda ya kisiasa.Piga shaba kijana Ili nyinyi watu wengi muishi,,,siungi mkono fujoe na uharibifu wa Mali ila hii kauli yako ni ya kipumbavu
Wanadhani ni order ya Lissu.Igp na cdf wanatakiwa vizimbani na ni order ya mahakama si order ya lissu
Hayo ni maneno ya kijiweni, mahakamani ni tofauti kabisa, akaseme waliua kwa vile walikuwa wanachoma vituo vya mafuta.Hivi polisi waache mchome nchi , hata ukiiba utapigwa mpaka ufe pale kariakoo ..Nafikiria , hamtorudia tena.
Mtapigwa snaa , kile kipondo ni kidogo sana .Hayo ni maneno ya kijiweni, mahakamani ni tofauti kabisa, akaseme waliua kwa vile walikuwa wanachoma vituo vya mafuta.
Au Fuso!Aliyeuliza trekta la Heche lilikuwa linahusiana nini na kesi ya uhaini wa Lissu.