Swali kwa IGP, nani aliyeruhusu askari polisi kuingia mitaani na silaha za kivita

Hiyo order umeiona wapi?Mbona hujawaambia waendesha mashtaka ili waomgeze kwenye hati ya mashtaka walau kesi ipate kauzito kidogo maana kesi ya Lissu kwa mashtaka yale ni completely nonsense!
Mnaongea tu kama kuku aliyekatwa kichwa!
Nimewakumbusha ushahidi upande wa mashitaka umeshafungwa, walikuwa wapi kuungana na Yeriko kwenye kile kibanda cha njiwa kupeleka haya wanayosema sasa.
 
Yaani unauliza kitu kipo wazi ! yaani wahuni wavamie mitaani wakichoma na kupora mali na kuvamia vituo výa police na kuiba siraha na uniform za police ulitaka police wawajibu kwa kuwamwagia maji?

wale walikuwa wahuni maharamia tu walifika mahali wakawaua police na kukata vidole watu! Hali Ile huwezi mwelekeza police cha kufanya wala haitaji amri yoyote zaidi ya ku deal nao walivyokuja
 
Mje tu na I'd mbalimbali nipo kwa ajili yenu.

Hicho ndicho IGP anatakiwa akajibu mahakamani, yaani wahuni wajitokezea tuache kuwaua.
 
Unachanganya na Mashahidi ambao statement zao zilikua committed kwenye committal kama hakuna statement zao una cross vipi? Lengo la cross examination ni nini?
 
Adhabu yenu ni kifo kisheria ,hajalishi unatokea wapi..Piga kelele ila ukweli ,mlistahilj kifo.
Mradi umenielewa nilichotaka ukielewe, inatosha.
Haya mengine hangaika nayo mwenyewe akilini mwako.
Lakini ujue, hatma ya Tanzania kamwe haiwezi kuwa kama mnavyoitaka nyinyi watu waovu kabisa.
 
Mradi umenielewa nilichotaka ukielewe, inatosha.
Haya mengine hangaika nayo mwenyewe akilini mwako.
Lakini ujue, hatma ya Tanzania kamwe haiwezi kuwa kama mnavyoitaka nyinyi watu waovu kabisa.
Mnastahili tena mlitakiwa mpigwe mpaka wachochezi wote.
 
Nyie hukumu yenu kwa mujibu wa katiba ni kifo.
Anayesubiri hukumu hiyo ni Samia Suluhu Hassan kwa maovu yote aliyowafanyia waTanzania. Ni nyinyi nguruwe anaowafuga hamtaweza kumsaidia chochote.
 
Anayesubiri hukumu hiyo ni Samia Suluhu Hassan kwa maovu yote aliyowafanyia waTanzania. Ni nyinyi nguruwe anaowafuga hamtaweza kumsaidia chochote.
Hamna kitu kama hicho ,fanya kazi ..Lissu hawezi kuongoza hii nchi .
 
Hamna kitu kama hicho ,fanya kazi ..Lissu hawezi kuongoza hii nchi .
Sijasema popote Lissu kuongoza nchi; ingawa anastahili na anauwezo ambao Samia Suluhu Hassan hana.
Samia mnayemtumia kuvuruga taifa hili ni lazima awajibishwe kwa uhalifu wake alioufanya.
 
Sijasema popote Lissu kuongoza nchi; ingawa anastahili na anauwezo ambao Samia Suluhu Hassan hana.
Samia mnayemtumia kuvuruga taifa hili ni lazima awajibishwe kwa uhalifu wake alioufanya.
Hamna kitu kama hicho ,walikuwa sahihi dhidi ya vibaka
 
Hamna kitu kama hicho ,walikuwa sahihi dhidi ya vibaka
"Vibaka" wapo Ikulu wakidhani uwepo wao huko utawasaidia kuwapa kinga, huku wakitumia mitutu ya bunduki kulinda ujambazi wao.
Hakuna mhalifu yeyote anayeweza kujikinga na mitutu ya bunduki wakati wote.
Kuna siku, mitutu hiyo ndiyo itakayowaleta kwenye mikono ya sheria na kuwajibishwa kwa maovu yao.
Samia hatakwepa kuwajibika kwa umma wa waTanzania kwa maovu aliyoyafanya.
 
Waafrika inabidi watawaliwe tena huwez mpiga risasi muandamanaji
 

Attachments

  • FB_IMG_1789828158387.jpg
    100.2 KB · Views: 8
Kamfungulie kesi mwaya. Maana inaonekana unajua sheria kuliko vyombo vyote vya Serikali. Kwahili nina hakina utamfunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…