Swali kwa natafuta ajira na wanaume wengine kuhusu kuoa wadada wenye miaka 19-23

Mkuu jaribu kuwa mvumilivu unapokuwa unajadiliana uachweje kwani kunamtu aliye kuita ujadili mada hapa au umejileta mwenyewe?
Mkuu hapa tunaongelea mtoto wa kike hatuongelei mtoto wa kiume ,sifa anazo hitaji binti kuolewa hazilingani na sifa anazo takiwa kuwa nazo kijana wa kiume akitaka kuoa acheni tabia ya kulazimisha mwanaume na mwanamke wawe sawa.
Ww ndo una ubishi wa kijanga na ndio maana unalazimisha kutuaminisha kuwa kitu kusicho kuwepo kwa kutumia umri kama kigezo cha ndoa kudumu hali ya kuwa hata hao wanao olewa wakiwa na umri mkubwa ndoa zina washinda.
Alafu tofautisha utoto na tabia ,mtoto wa miaka 12 anaweza kukuta amechezea tv mpaka akaiharibu hapo utasema utoto ndo unamfanya kuwa mtundu akikuwa ataacha, lakini mtoto huyo huyo huwezi kukuta ameiba sh50,000 ndani ukasema eti ni utoto akikuwa ataacha.
Hivyo tabia ya mtu haina mahusiano yeyote na umri alio nao na wala mtu hawezi kuwa na busara eti kwa sababu amefikisha umri fulani,binti kama ni malaya kwenye huo umri hatoacha huo umalaya wake eti kwa sababu amefikisha miaka 29 au 30.

Kuhusu mm kuoa dogodogo hiyo sio hoja kwa hiyo na ww tuseme uliolewa ukiwa kikongwe na ndio maana upo unawatetea vikongwe wenzio?
 
Ni wanaume wangapi wanao lalamika ?
Au hao kataa ndoa hapa Tz wako wangapi?
 
Uzazi unakuwa vizuri mid twenties to late twenties...

Ukomavu wa akili ni late 20's tena hao early 20 's wako vulnerable kuwa distracted easily...

Submissiveness is personality trait, has nothing to do with age!
Mwanaume ahitaji akili mkomao kutoka kwa mwanamke, bali mwanaume anahitaji uaminifu na utiifu kwa mwanamke basi.
 
Na nikisema ndio niliolewa kikongwe???
Na hao walioolewa wakiwa wadogo hakuna zilizowashinda sio????????? Unaniletea irrelevant examples...kwa heri!sasa hivi hata ukiniquote sikujibu ngo'...infact nakuweka kny ignore list ..kwa kukusaidia tu ujinga ulionao katafute maarifa mwenyewe can behaviour be modified by age??? Jiulize jijibu mwenyewe....usijihangaishe kunijibu tayari uko kny ignore list!
 
Oa kwa raha zako, naona mshipa unatoka kutetea...wewe ulioa ulivyokuwa na 23 years?
Lakini si amekupa experience ya kiume juu ya maswala ya ndoa, wewe ulishawahi kuoa binti umri huo ukaona unachotetea?πŸ€”
 
Ww dada unapenda ligi sana , nimesha kwambia kuwa wanawake kwa asilimia kubwa ndani ya nchi hii wanaolewa wakiwa bado wadogo chini ya hiyo miaka 23 sasa watakuwa wanaolewa na nani kama sio wanaume kama sisi?
Halafu huwa anadai kuwa yeye yupo very accurate na taarifa zake na hakuna vitu ana fabricate na hisia zake. Ni kabishi hako na kanaishi in a gated community ukikauliza kama hata kanapajua kitunda hakana hata taarifa kitunda ipo wapi cha ajabu kanatakwimu za wanawake wa kitunda wote allegedly.
 
You too ignored!
Haina madhara. Tatizo unajipa umuhimu kwenye mijadala unataka usikilizwe wewe tu maoni yako bila hoja kinzani. Kama wewe ni mtaalam na una ufahamu wa jambo then bring it on,leta hoja za msingi tujadili gaddamit.
 
Hizo takwimu zako ni kwa mujibu wa chanzo gani
Sio kila takwimu ni official and paperworks. Zingine ni observation from primary sources. Mfano nimekutana na wanawake wanadanga mara 50 of which tayari hiyo ni indication ya pattern ya tabia ya kundi fulani la watu,so nikikesema wanawake wa tandale mtaa wa mwaflani wanapenda sana kudanga na ni malaya,wewe utasema lete source, how do i source my own field observation?
 
πŸ˜‚ Sema nowdays wadogo zetu kuanzia 15 mpaka hiyo 23 wanatumika sana kiasi kwamba tukiwa nao washachoka hadi wanaonekana wakubwa kutuzidi dada zao
Yani mtoto wa miaka 17 ashaanza kuunga uchi kama anaunga chaiπŸ™Œ
Kuunga uchi ndo kufanyeje?:
 
Unachanganya kukemea na kulalamika. Unaona shida yako tayari umeshakuwa villain na enabler kwenye jamii. Mambo ya hovyo ya wanawake yakikemewa na wanaume unaita kulalamika badala ya kusema wanakemea.

In you head eti wanaume wanalalamika,umeshawi kuona mwanaume anakosa mwanamke wa kuoa?
 
Mbona wapo wanaume wanaenda kwa waganga wapewe dawa ili wapendwe na wanawake.
 
Kama hautaki ubishi nenda kafungue forum yako iite rebecaforum.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Anajipa umuhimu sana. Na hii ndio shida ya feminists, they don't have brain,no intelligence detected, zero reasoning, argumentative,wakishindwa hoja wanakimbilia blocking au kukwepa mjadala.

Useless form of unrecyclable life waste. Scheuped kabisa hawa watu.
 
Uzazi unakuwa vizuri mid twenties to late twenties...

Ukomavu wa akili ni late 20's tena hao early 20 's wako vulnerable kuwa distracted easily...

Submissiveness is personality trait, has nothing to do with age!

Sawa Ila mwanaume wa 30s unamshauri aoe aina gani mwanamke 18s or 29+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…