Swali kwa natafuta ajira na wanaume wengine kuhusu kuoa wadada wenye miaka 19-23

Ni wanaume wangapi wanao lalamika ?
Au hao kataa ndoa hapa Tz wako wangapi?
Malalamiko yako mengi tu mitandaoni, mitaani, kwenye ndoa na kwenye jamii kiujumla na kote huko ni wanaume ndio wanaongoza kulalamika, usitegemee kwamba wanaume wote duniani watajitokeza kulalamika hadharani, kuna wengine huwa hawaongei wanatunza vitu mioyoni ndio hao mwisho wa siku unakuja kusikia kapiga risasi au kachoma na magunia ya mkaa, na wengine ni hadi ukae nao karibu ndio utajua mawazo yao hivyo si kila mtu lazima alalamike mbele za watu, hao wanaolalamika mbele za watu tu wanawakilisha hali halisi na mawazo ya wanaume wengi duniani juu ya wanawake
 
Huu uzi una visanga hatariii, nasoma comment hadi njaa inauma, aaaaah. Lol
 
Mbona kuna sista angu ana 42 ametolewa mahari juzi na ni single mom jamani au hao wanaume wako wapi
Wanawake wa hivyo wanajitolea mahari Ila wanacheza na akili zenu.

Kuna Dada wakati tunamaliza chuo alikuwa na hiyo age alinambia hapa natafuta hela nioe akimaanisha anatafuta hela ajitolee mahari na alifanikiwa

So hizi harusi za wanawake wa 35+ wengi wamejilipia mahari na kuandaa harusi wenyewe ilimradi tu
 
Ww ukitaka ujibu usipo taka uache kwani usipo nijibu nitapata hasara gani na ukinijbu nitapata faida gani?
Kuna aliye kuleta humu kuchangia mada au umejileta mwenyewe?
Ww hoja yako ni mabinti wa miaka 18 mpaka 23 hawafai kuolewa kwasababu hawafai na ni wachepukaji kwenye ndoa ,na ndiyo maana nikakwambia kuwa mtu kuwa malaya kwenye ndoa hakuna uhusiano na umri wa mtu na wala mtukuolewa ukiwa na umri mkubwa sio kigezo cha kuiweza ndoa.
Una hasira sana wenda hata huyo mme huna na umri wako jua linakaribia kuzama ndo maana una hasira sana.
Huna haja ya hasira ujana uliuchezea mwenyewe.
 

Hoja zako nzuri je wewe unamshauri kijana aoe mwanamke wa age ipi Kijana wa 30s ?
 
Mbona wapo wanaume wanaenda kwa waganga wapewe dawa ili wapendwe na wanawake.
Wanaume wa hivyo mara nyingi huwa ni washirikina wa kubwa na ni wezi wa nyota za wanawake.
 

Mimi nakupinga kwa hili jambo .

Kwanini usubiri kuoa mwanamke mwenye age kubwa Sana 29 kisa hizo sababu zako ambazo sio realistic.


Unajua mwanamke wa miaka 29 ni mkubwa Sana kuzaa tu inakuwa changamoto .


Tuwe makini umri wa kuolewa kwa mwanamke ni pale anavunja ungo according to nature and biological ukisema uoe ambaye Ana 22-23 means atakuwa amemaliza masomo Ila Kama hasomi aolewe akiwa na 18 kamili.


Then maturity wanawake ambao wapo na age kubwa wanakuwa hawajatulia kiakili na kihisia .
 
29yrs kuzaa ni changamoto? Wee kuwa serious bas, au hauko sawa? Lol
 
Inategemea na huyo muoaji, je ikiwa haitaji watoto?

Sawa Ila ukiingia kwa msukuma anataka watoto 5 mp aka sita na wewe Una miaka 30

Ukiwa na miaka 30 at least uolewe na MTU haitaji watoto.
 
Ila si wapo lakini?
Wanao enda ni vijana wanao penda kulelewa hivyo wanaenda ili wapate mishangazi ya kuwalea mjini lakini hawawezi kukuta eti emeenda kumroga mwanamke eti amuoe.
 
Mkuu naheshimu maoni yako ila jua ni ngumu kujua mwanamke anachotaka. Kuanza kumchunguza sana ni kupoteza muda. Kama hakai kwenye mfumo wako jua sio wako. Ni kumuacha aende.
 
Oa kwa raha zako, naona mshipa unatoka kutetea...wewe ulioa ulivyokuwa na 23 years?
Ni sababu zipi ambazo zinakutuma na kuamini kuwa MTU mwenye miaka 23 ni mtoto au sio maturity?

Nachofahamu MTU mwenye age ya 23 yrs sio mtoto anakuwa ana uwezo wa kuoa na kuolewa then maturity is in mind and not age .

Msiwachukulie powah hawa wanawake wenye 23 yrs most of them they can handle marriage effectively .

Hili swala la kumuita mwanamke wa umri wa 23 mtoto sio sahihi .

At the of 23 MTU anakuwa yupo tayari na ufahamu mzuri kabisa .
 
Wanao enda ni vijana wanao penda kulelewa hivyo wanaenda ili wapate mishangazi ya kuwalea mjini lakini hawawezi kukuta eti emeenda kumroga mwanamke eti amuoe.
Hao vijana ni wanawake au wanaume? Hao mashangazi wanaorogwa na vijana, ni wanawake au wanaume? Lol
 
Sawa Ila ukiingia kwa msukuma anataka watoto 5 mp aka sita na wewe Una miaka 30

Ukiwa na miaka 30 at least uolewe na MTU haitaji watoto.
Hata akitaka 7 inawezekana pia, ni wee na mtazamo wako tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…