Swali kwa natafuta ajira na wanaume wengine kuhusu kuoa wadada wenye miaka 19-23

Acha uongo wee, wako waliozaa had 8.
Acha utani kwenye dunia ya sasa wanamke akisha fikisha muaka 30 bila kuzaa hata watoto 3 ni wa kuangaikia sembuse watano.
Umri mzuemri wa mwanamke kuanza kuzaa ni wasitani wa miaka 20 mpaka 26.
 
Acha utani kwenye dunia ya sasa wanamke akisha fikisha muaka 30 bila kuzaa hata watoto 3 ni wa kuangaikia sembuse watano.
Umri mzuemri wa mwanamke kuanza kuzaa ni wasitani wa miaka 20 mpaka 26.
Ndo nakuambia sasa, kunae alianza kuzaa akiwa na 31, sahiv ana 43 na yuko na watoto 6, mara 2 kazaa twins.
 
Nashauri aoe mwanamke anayempenda tu
Upendo pekee hautoshi kuingia katika ndoa. Ndoa ni uwekezaji, legacy na mfungamano wa kiroho. Jadda unajifanya mbishi lakini ukweli ni kwamba wewe ni mtupu kabisa kwenye hii field ya ndoa, kama nasema uongo olewa halafu ukatumie hizo itokadi zako ndoani uone kama ndoa yako itamaliza hata mwaka.
 
Shairi lefu sana lakini ni siasa na blaa blaa tu
 
Wanawake wanaroga ili waolewe na wanaume wenye pesa sio wanaume tu
 
Inategemea nimeolewa na mwanaume wa aina gani, kama nimeolewa na mwanaume mpumbavu na mbinafsi hiyo ndoa ndio itakuwa imemshinda, ila kama nimeolewa na mwanaume anayenipenda hiyo ndoa itadumu vizuri and obviously siwezi kuolewa na the former
 
Una shida kubwa sana. Tafuta msaada wa therapist
 
Wanawake wanaroga ili waolewe na wanaume wenye pesa sio wanaume tu
Mm nilisha wahi kupanga nyumba moja na mganga hivyo ninacho kisema ninakijua sibahatishi.
 
Una shida kubwa sana. Tafuta msaada wa therapist
Hahaha daah kweli hii dunia haiishiwi vituko na maajabu yani mtu anayeishi kwa kutegemea mikeka na kudangia mijimama ndio wa kunishauri mimi nitafute msaada ilihali hata hanifahamu, hebu acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu hangaika na maisha yako na ya wanaokuhusu vinginevyo ni wewe ndiye utaonekana una shida ya akili kwa kuumizwa na yasiyokuhusu, mimi siyo kama hao wanawake wengine wenye low self esteem na wanaofuata mkumbo mimi nilishajua kipi nataka na kipi sitaki toka nikiwa mdogo na msimamo wangu haujawahi kubadilika na hautakuja kubadilika
 
Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…