Sweden: Aliyechoma moto Quran auawa kwa kupigwa risasi

Kama kuchoma vikaratasi ni jambo nyeti sana hata kusimama kwenye majukwaa na kusema dini zingine sio halali ila yako ndo ya haki hiyo nayo ni ukosefu wa akili na maadili huyo mwarabu aliyechoma hizo misaafu yeye sio wa kwanza anafuata nyayo za Hazrat uthman hata yeye alizichoma taka taka za mwanzoni hawa wa Sasa wanamalizia tu
 
Leo unaandika ujinga ujinga tu mkuu shida nini? Uthman (radhiallahu anhu) alichoma ile misahafu kwa sababu watu waliibadili kuileta kwenye lahaja na lugha zao ambazo baadhi ilibidi wapunguze au kuongeza hirabu, maneno au herufi kuweza ku fit matamshi na kuleta maana kwenye lugha hizo hivyo wakakuta maana halisi imebadilika .

Hivyo uthman ( radhiallau anhu) alipopata taarifa hizo alitoa chapa halisi ya quran ambayo ilinukuliwa kama ilivyoshuka ( kumbuka swahaba walisikia quran kwa mtume muhammad (peace be upon him) na ikawachukua muda mrefu mno kui compile na ilitumika kazi kubwa mno mpaka kuinukuuu yote ) .

Hivyo aliamrisha misahafu yoote niliyotaja hapo juu ichomwe na kuwapatia watu wajifunze sasa ile halisi ambayo hawakuwa wame i edit ku fit matamshi na lahaja zao .

n.b
Siku nyengine ukichangia mada ulete ikiwa imeshiba kama hivyo.
 
Kwanini alichoma?
 
Vipi kuhusu kitendo cha ku uninstall. App ya Qoran kutoka kwenye electronic device app hiyo ya maandiko ambayo mwingine anaona ni matakatifu? Nao ni upungufu wa akili?
 
Kwa hio ilichomwa Quran ila iliyoongezwa maneno ila si Quran au gazette?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…