Tabia hizi nilizonazo naziona kabisa zikienda kufupisha maisha yangu

8 mbona kawaida, 12 nimewahi fanya within 14 hrs
 
umenitia moyo ila hujanionesha hatua za kuachana na hizi tabia zinazo niharibia future yangu

Kwa ufupi ni kwamba, hakuna mbinu moja au njia moja pekee inayosaidia namna ya kuachana na hayo mambo kwa kila mtu. Inawezafanya kazi kwa mmoja kwa mwingine isifanye kazi.

Uzuri ni kwamba katika mbinu zote, zinakuhitaji wewe na ziko ndani ya uwezo wako.

Vyote vinaanzia kwenye mawazo yako mkuu. Awazavyo mtu moyoni mwake, ndivyo alivyo (Biblia)
 
8 mbona kawaida, 12 nimewahi fanya within 14 hrs
Jaribu kujifunza kuwa na self control kwa kila unachofanya, kila kitu kinataka kiasi, kula, kulala etc unatakiwa uwe na kiasi. Hata hiyo nyeto inataka uwe na kiasi, wanaume wengi tu wanafanya huo mchezo but once per week au hata mara mbili basi, betting kama unafanya usikubali iwe addiction kwako, do it for fun ili hata siku ukichoka kufanya uachane nayo kirahisi. Danganya lakini for reasonable issues, sio mtu anakuuliza "uko wapi..unajibu nipo magomeni nakuja", kumbe upo home, hiyo inakusaidiaje.
 
Kama bado unaliwa kwenye betting ni dm namba yako ya simu niku add kwenye group la live match betting. Nakuahidi hutajuta
brother betting ni betting.
mimi mwenyewe mdau sana wa live bet kuliko pre-matches lakini kubashiri ni kubashiri tu kwenda oposite ni kawaida.

Nishanunua sana mimi match ambazo ziko fixed kwa mhispaniola mmoja nilikuwa namtumia euro 180 kila wiki ananipa game na zinatoa kweli matokeo yale yale lakini nikaja kuzinguana nae akawanipa game zinachana nikamzngua akani block.

Nabet mimi hadi electronic league zile za dakiki sita game inaisha na umeweka lak 3 ndani ya dakika sita unakuwa ushajua umeliwa ama eme kula.

Lakini intention yangu mi saivi ni kuacha kubeti na siyo kuendelea kubet kwa faida tena.
kwa hiyo siweza kupa namba yangu uendelee kuniua tena
 
Hyo inakuwa addiction iliyokomaa Sala husaidia pia kufanya Mambo ya kuku keep busy na hyo hamu ikikujia unajiforce kutokufamya kabisa it's possible, maana usipoacha maisha yako yatakuja kuwa mabaya mno.
 
MY MONTHLY EARNING.

Naweza kuwa na laki moja nikabet wiki nzima ikafika hadi laki 8 alafu inakuja inakuja inaliwa mara moja tu na kuisha
Sasa kama unaanza na laki inafika laki nane. Ina maana bado hujajua tatizo ni ww. Kwanini usiweke mfumo kuwa ukifika kaisi flani ndani ya muda flani unawithdraw unafanyia mambo mengine?
Kila kitu ni nidhamu hapa ni ww unakosa nidhamu. Huu ndio ugonjwa mbaya sana kwenye betting.
Weka sheria na hakikisha huzivunji.

Ukishindwa kabisa basi jitahidi uache betting.
 
Mungu akusaidie. Huwezi toka huko mwenyewe hadi Mungu aingilie kati. Pole na imeniumiza sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah.. Aisee kumbe haya mambo yapo watu wamekuwa walevi wa betting!

Kuna mshikaji mmoja yeye ulevi wake ni haya madubwi ya wachina waliyoyasambaza kila kona ya nchi.
 
Nafikiri wewe kanuni ya "kunywa kidogo ila usilewe" umeweza kuitendea haki.
Mimi nilichokosea ni nimekunywa nyingi alafu nikalewa na kulevuka imekuwa mtihani kwangu, nadhani umenielewa ni wapi nimekosea.
Kuna "Conscious" aina nyingi sana pale SAUT Mwanza ilikiwa usome masomo flani regardless your "Major"
Mosi lazima usome Logic and Reasoning, Pili lazima usome Philosophy, tatu lazima usome Social Ethics ...Naweza sema haya masomo yamenisaidia zaidi kuliko nilichitegemea .. Bless badilika man
 
Kubet kumeanzia ughaibuni.huko kuna maelfu ya kampuni za kubet.
Naomba mnisikilize vizuri gamblers wenzangu:

Betting can be made the regular source of earning if taken cleverly and cautiously.

Ukibet kwa nidhamu huwezi kulia..tafuta odds 2.2 twice a week.
ODD 2.2 ili wakikata kodi zitabaki odds mbili net

Jidhibit, chagua siku 2 ktk wiki za kubet.nje ya siku hizo usibet.
nashauri mkeka mmoja bet jumamosi mwingne bet jumapl.

Usibashiri matokeo (1x2).matokeo yana uncertainities kibao
weka goal options
hasa goal range.

hakuna option rahs kama goal range.range zipo katika seti nyingi hilo unalijua.( 1-2,1-3,1-4,1-5,1-6,2-3,2-4,2-5-2-6)

Kwa mfano: ajax vs willem. hapa kwa culture ya ligi ya uholanzi ambayo huwa na magoli mengi the same to australia, usa, youth competion nk lazima goli lifungwe.

wewe piga 1-6 goal range.atajua yeye huko.
odd yake ndogo lakin ina over 95% accuracy kushinda.

nimesema ajax vs willem= 1-6 goal range
maana yake nini;
matokeo yake kwa over 95% yataangukia within
(1-0,2-0,3-0,4-0,5-0,6-0,

2-1,3-1,4-1,5-1,3-2,3-1,4-2, hizi zote ajax win probabilities)

(Kuna ajax lose ni kinyume cha hapo juu mfano 0-1,0-2,0-3,0-4,0-5,0-6,1-2,1-3,1-4)
(droo za magoli zilizomo ni 1-1,2-2,3-3)
matokeo yoote hayo yameangukia humo.

Odd inaweza kuwa (1.14) weka mechi 5 zenye uelekeo huu tupia zigo lako.
target yako ni kupata two big winnings weekly.baas

kukosa kupo.lakini ktk bets 8 za mwezi, winnings zitakuwa sio chini ya 7.bado tija ipo.
 
Mkuu kama huna tabia ya ulevi na wanawake.

Basi huko ulipo upo salama zaidi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…