Tabia ya Hawa wafanyakazi wenzangu, inaninyima raha

Yn mafuta yaishe kisa kugawa lift ya mtu mmoja?

Dah 🙌 namshukuru Mungu sina usafiri ila sio rahisi kuomba lift kwa watu ndo mana sikutan na watu wenye roho mbaya kama hizi
Huyo jamaa ni boya,
 
Na kazini huwa anaomba msaada wa kueleweshwa jinsi ya kufanya kazi na Hao ambao hataki kusongamana kwenye kigari chake
 
Individualist culture ipo kwa wazungu Sana, hawapendi kabisa Mambo ya kujuana juana, sie ngozi, nyeusi bado kidogo, tuna kaujamaa ndani, yetu, bado tunafikri cha mwingine ni cha kwangu, au nina haki ya kusaidiwa,
Wakatalie tu watajifunza na, kuzoea,
 
Mali ya kwako kwanini upangiwe? Mwambie tu mtu wazi kuwa sipakii mtu yyt kwenye gari yangu
 
Kaishi nchi zanje.Ni sawa na kumiliki simu tu.
Hakuna kitu kama Ulaya kumiliki gari lazima uwe na uchumi mkubwa sana, Wengi wao wanatumia usafiri wa public. Waki uku wanashangaa wananchi wa Kawaida wana miliki gari ambalo kwa kwao awawezi kulimudu
 
Watanzania bana, takataka za ujamaa zinawatesa sana, watu kunyonyana na kuburuzana, ugumu uko wapi hadi ufungue uzi, wape ukweli wao...
 
Wewe utakuwa na roho mbaya mkuu. Huku Afrika siyo ulaya huwa tunashirikiana.
Mfano unatoka posta unaenda mbweni ukimpa lift mtu ukamuacha mwenge unapungukiwa nini hapo?
Ndiyo maana mimi najiepusha sana na mambo ya lift. Yaani sipendi kabisa kupewa lift sembuse kuomba. Lift zina changamoto zake. Si umeona mtoa mada alivyotema nyongo. Waomba lift tunawanyima raha wenye magari yao. Machoni anajifanya kukuchangamkia kukupa lift lakini moyoni anakuwa amenuna.
 
Ushawai kutana na mazingira anayosemea uyu jamaa au unazungumzia uafrica tu?
Wewe utakuwa na roho mbaya mkuu. Huku Afrika siyo ulaya huwa tunashirikiana.
Mfano unatoka posta unaenda mbweni ukimpa lift mtu ukamuacha mwenge unapungukiwa nini
 
Dah wanangu mna roho mbaya kinoma, mara nyingi anayeomba lift anakuwa pekee ake tena bila mzigo mkubwa wakiwa wengi n wawili tuu, sasa hapo n mafuta gani yatakayoingia kwenye matumizi kisa umempa mtu lifti?
Nina bosi wangu watu wanaweka mpaka pumba ya ng'ombe kwenye buti lake
Wabongo ukiendekeza wema wanakuumiza!
 
Wewe utakuwa na roho mbaya mkuu. Huku Afrika siyo ulaya huwa tunashirikiana.
Mfano unatoka posta unaenda mbweni ukimpa lift mtu ukamuacha mwenge unapungukiwa nini hapo?
Shida nayoiona ni mazoea yamezidi, vitu vingine vinakera.
 
Unaenda wapi?Kwani wewe unaenda wapi?
Yaani hapo anafosi ili mradi na yeye atie kishoka kwenye gari ya kupewa lift
 
Ndo na shangaa.Yani katika vitu ambavyo sinaga mda navyo ni magari.
Mtu kuwa na gari anaona katoboa maisha.
Kwa hiyo hauna muda na gari lakini unawasapoti watu ambao baada ya kumaliza kazi wanajipanga kwenye parking kila siku kutegemea gari ya mtu mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…