Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

nyege hizo zinakusumbua
 
Ishini nao kwa akili
 
Hapo kwenye kumchapa kwelikweli utaishia kunyea ndoaa kwa siku kadhaa mkuu, mengine ni kupuuza tu.
 
Hapo kwenye kumchapa kwelikweli utaishia kunyea ndoaa kwa siku kadhaa mkuu, mengine ni kupuuza tu.
 
Kwahio anakuchangamsha kwa kero?
Mkuu, kuna wale wanawake wacheshi wanapenda tu utani wa kukukera, mpaka sometimes unakasirika, nimetoa mfano anaweza kuwa anaenda kanisani jumapili, akakufunua shuka akalitupa pembeni halafu akakimbia hapo lazima utakasirika sana. Lakini baadaye akirudi hasira zimeshaisha mnaanza kucheka tu, na kupiga mtanange. Au anaweza kukutania mpaka ukakasirika, lakini baadaye unajikuta unacheka tu.
Cha msingi ni kutokuchukulia vitu serious sana, kama wewe ukamzibua mtoto wa watu... Hahaha.
Pia inawezekana unachanganya na wale wanawake wenye gubu... hao ni big no kwangu.
 
ya kwake ni vise versa, huwa upande mmoja unachukia while mwingine unafurahia

sijapenda mimi namuombea Mungu ambadilishe
Hata mimi nilikuwa nakasirika, kuna wanawake wapenda utani sana tu. Sometimes anakuchokoza unakasirika kabisa halafu yeye anacheka. Na wanawake wa hivi naona wako poa sana, kuliko wale hata akichukia hujui, hawa wa hivi mara nyingi wanakuwa hawana makuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…