Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,446
- 14,880
Tutafanyaje sasa???Haha.
Hatueleweki lakini ndiyo mnatupenda kufa..!!
Inabidi tupambane tu hivyohivyo maana hamna jinsi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutafanyaje sasa???Haha.
Hatueleweki lakini ndiyo mnatupenda kufa..!!
hahaha hili nalo neno, wapo wanaopenda make up sex baada ya ugomvi inampa hamshahamshaTuambie pia na mwisho wa makasiriko kwa huyo unaemchokoza!
Sitakagi masihara mimi [emoji1787]Kipigo kitahusika[emoji28]ku restore settings
wanawake wa sasa ukipiga kidogo anakufaHahaha..
mpaka kina Mwita mnavurugwa sikuhizi.? Kwisha habari yenu..!
i will kwa kweli na wewe uombe tafadhaliHahaha..
Ahsante dear, na uwe serious na maombi kweli tafadhali..!!
Sipenda pranks ambazo ni za fedheha...alichokuwa anakitafuta alikipataPunguza hasira mazee,
nyege hizo zinakusumbua
Guys,
Naomba tuweke utani wa siku zote pembeni, mnishauri kitu na tuwe serious kidogo tafadhali.
Mimi nina tabia moja hivi, napenda kumchokoza hasa mtu ninayempenda sana, yaani naanzisha kama kaugomvi mpaka nahakikisha mtu kapanic ile aanze kutype meseji ndefu kama mvua.
Kisha nakaa pembeni, naanza kucheka yaani nacheka mpaka nalia lakini unakuta mtu kakasirika kweli na anakuwa anaamini tunagombana lakini deep down Mimi nipo zangu sawa, na nikimjibu namchokoza zaidi naye anaendelea kufunguka akiwa very serious, ila Mimi ndiyo raha yangu nimuone tu hivyo nafuraaahi.
Hii kitu siyo mara moja wala mara mbili, wala mara tatu, mpaka sasa naona hii siyo hali ya kawaida..!! Nikikaa zangu huko naanza zangu tu kuchokoza mtu, na nina enjoy ajabu.
Nimejaribu kuacha nashindwa maana nitajikuta tu tayari nishaanza kutafuta ugomvi ambao hata haupo.!! Yaani tukae muda kidogo hakuna purukushani.? Sijiskii kabisa nitatafuta tu chanzo na lazima nitakipata, nakaa pembeni na popcorn zangu naanza kuenjoy sasa.
Hivi hili litakuwa tatizo gani?
Ishini nao kwa akiliThat's it!
Wanawake ni kama watoto wanapenda kufanya mambo ili kukupima uanaume wako.
Ndio maana inashauriwa kumchapa japo mara 3 kwa mwaka, mtu kama huyu mtoa mada akiendelea kukufanyia hivi halafu unaishia tu kupanik mwisho anaanza kukuona kama Shosti wake, atakufanyia vitimbwi hadi upagawe.
Kama kuna reasons zinazokusukuma kumchapa Mwanamke mchape kweli na sio kumgusagusa... Hawa watu akili zao wanazijua wenyewe[emoji124][emoji124][emoji124]
Hapo kwenye kumchapa kwelikweli utaishia kunyea ndoaa kwa siku kadhaa mkuu, mengine ni kupuuza tu.That's it!

Mkuu, kuna wale wanawake wacheshi wanapenda tu utani wa kukukera, mpaka sometimes unakasirika, nimetoa mfano anaweza kuwa anaenda kanisani jumapili, akakufunua shuka akalitupa pembeni halafu akakimbia hapo lazima utakasirika sana. Lakini baadaye akirudi hasira zimeshaisha mnaanza kucheka tu, na kupiga mtanange. Au anaweza kukutania mpaka ukakasirika, lakini baadaye unajikuta unacheka tu.Kwahio anakuchangamsha kwa kero?
Hata mimi nilikuwa nakasirika, kuna wanawake wapenda utani sana tu. Sometimes anakuchokoza unakasirika kabisa halafu yeye anacheka. Na wanawake wa hivi naona wako poa sana, kuliko wale hata akichukia hujui, hawa wa hivi mara nyingi wanakuwa hawana makuu.ya kwake ni vise versa, huwa upande mmoja unachukia while mwingine unafurahia
sijapenda mimi namuombea Mungu ambadilishe
ile ile ya ck zote darling,,maana nikisema kondoo wangu hutotumaAmen ma Mtumishi..!
Sadaka natuma kwa namba ipi..!?
umeonaeeee, ndo maana nikakuita kimagharibiHahaha..!
Nani anataka kuwa 'kodoo'..!!