Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Kila Neno la Mungu limethibitishwa
Tena ni ngao kwao waaminio.
Kama Muhamad hakuwaambia basi ipo hivyo.

Hiyo malaika mtukufu sijui mheshimiwa nani mudi ndo mlipoingizwa chaka sasa.

Yaani hali iwe mbaya kwangu kwa vitu vya kipuuzi mlivyodanganywa..Sasa usipoelewa si shauri zako na huyo mtume mnayemsubiri.

Nenda kasome Biblia,huelewi na hutakaa uelewe kwa sababu hujui chochote kuhusu Kristo.
 
Nimekupa kazi uifanye naona imekushinda.

Ukiwa na majibu ya maswali yangu, nistue nija kumalizia hapo nilipo ishia.
 
Nimekupa kazi uifanye naona imekushinda.

Ukiwa na majibu ya maswali yangu, nistue nija kumalizia hapo nilipo ishia.
Nimekwambia kasome Biblia
Usije kuniambia chochote kama kazi ndogo tu niliyokupa kukusaidia hujaifanya.
 
Nimekwambia kasome Biblia
Usije kuniambia chochote kama kazi ndogo tu niliyokupa kukusaidia hujaifanya.
Mimi kazi yangu nimemaliza, ni wewe kuzingatia itifaki tu. Rahisi sana hili, ila nashangaa unapoteza muda.
 
Hospitali zimejaa wagonjwa, mbona hamuendi kuwaombea wapone, au wote ni wasiamini?
 
Hospitali zimejaa wagonjwa, mbona hamuendi kuwaombea wapone, au wote ni wasiamini?
Kuwaamini kina Bushiri.
Hospital utakuta watumishi padre, shehe, wanaombea dua, sala, toba, ili endapo utakufa basi uwe ulijiandaa kiroho.

Hukuti wale watumishi matapeli wauuza maji, mafuta, chumvi au maigizo ya vilema kutembea.

Hutosikia mkutano mkubwa wa uponyaji Muhimbili. NEVER

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Hospitali zimejaa wagonjwa, mbona hamuendi kuwaombea wapone, au wote ni wasiamini?
Huwa unapita hospital kila siku?
Mbona watumishi wa Mungu wengi tu huwa wanapita hospital kufanya maombi,kuongea na wagonjwa na kutoa chochote walichonacho kwa ajili ya wagonjwa.

Sema kuna watu umewalenga wewe ambao hujawaona huko ..
Ila Kama suala ni kwenda hospital kuombea, watu wengi tu Wanaenda.
Kama huamini jaribu kukaa hospital moja japo kwa wiki nzima asubuhi hadi jioni utawaona.
 
Tunazungumzia ishu ya maombi kuponya. Mbna wagonjwa hawaishi hospitali? Basi tuseme wengine hawaamini, mbona mchungaji akiugua huenda hospitali badala ya kanisani
 
Tunazungumzia ishu ya maombi kuponya. Mbna wagonjwa hawaishi hospitali? Basi tuseme wengine hawaamini, mbona mchungaji akiugua huenda hospitali badala ya kanisani
Hujui Mungu anaponya kwa namna nyingi?
Hata hao matatibu wanafanya kazi on behalf of God..Anapitisha uponyaji kupitia kwao pia.
Wagonjwa hawawezi kuisha wote kwani magonjwa hulipuka kila siku na karibia kila siku mgonjwa huongezeka hospital pia muda wa kupona hutofautiana.. mwingine uponyaji wake Leo,mwingine kesho, mwingine keshokutwa.. God's timing is perfect.

Ndiyo maana Mungu aliachilia vipawa tofauti ikiwemo cha utabibu..akatupa akili tuzotumie,akabariki mikono.
Kuna watu uponyaji wao huachiliwa kupitia hospital, wengine moja kwa moja.
 
Dada angu tuelewane kidogo.
Nampinga mungu na sio Mungu. Mungu ni muweza wa yote lakini mungu anaubaguzi.
 
Mlikuwa na mapumbu au vipumbu?🤣🤣😄
 
Alhaj Gen. Iddi Amini alikuwa anakula nyama za watu.

Huu ujinga unasomwa kabisa [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…