Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

Ukisikia kuitwa usiku ukaitika sauti hupotea daima
 
Ukichana au kukanyaga kitabu cha msahafu basi hapo hapo utakufa au kuwa kichaa.

Sasa kulikuwa na mwamba mmoja tukiwa primary, kwenye ubishani kuhusu hilo yeye huo mkwara akaamua kuuvunja, akachana kitabu na kukikanyaga hicho kitabu kwa hasira, hakuna kitu kilitokea na maisha yakaendelea mpaka leo.
Ana bahati sana huyo mwamba. Angeliwa nyama na wadau
 
Back
Top Bottom