Tamaa, Usaliti na Matokeo Yake Wanaume na Wanawake Wengi Wanaharibu Familia Zao Wenyewe

Tamaa, Usaliti na Matokeo Yake Wanaume na Wanawake Wengi Wanaharibu Familia Zao Wenyewe

Mimi binafsi nampenda mke wangu na nawajali na kuwatunza vyema ila kwa Sasa

Nimepata mchepuko mmoja tuna elewana nao na unajua kua na mke wangu..

Issue inakuja wife kajua hivyo currently imekua kama tunavutana sana / misunderstanding nyingi na kununa pia nilikua na tritiwa kama mfalme now vyote havifanyiki hata nikivaa nguo mbaya siku izii sikatazwi,🤔 Kuna Dunia wife kaingia na JE ataweza kurudisha upendo wa mwanzoo
Daaah hii ishanikuta nishawahi fumaniwa kwa msg na wife. It was one of my worst days of my life.

Kwa kipindi cha mwaka mmoja hakuwa sawa kabisa japo alikuwa anahudumia vzr bila shida ila ile treatment ya upendo ilipungua. Ilimchukua muda sana kurudi katika hali yake ya kawaida.

Nashukuru alikuja kusamehe kabisa na mambo yalirudi kama zamani.
 
Hongera
 
Na yeye akiacha ile kubeba mimba ni nini kingine ambacho mwanamne hawezi kukifanya ?

Yeye ana mfuko wa uzazi mimi nina mbegu !

Watoto hajanizalia mimi !!!

Na atakaefaidika zaidi na watoto ni yeye.

Aliyemzalia mwenzake watoto ni mwanamke wa Michael Jackson, walipotoka hospitali mwanamke akaacha mtoto nyumbani kwa Michael, akaasepa mazima. Never to see the kid ever again!
Jitahidi kutoa respect bila kukuza mambo ukimpa heshima mke wako kwa kuzaa watoto wako haikupunguzii uanaume wako
 
Daaah hii ishanikuta nishawahi fumaniwa kwa msg na wife. It was one of my worst days of my life.

Kwa kipindi cha mwaka mmoja hakuwa sawa kabisa japo alikuwa anahudumia vzr bila shida ila ile treatment ya upendo ilipungua. Ilimchukua muda sana kurudi katika hali yake ya kawaida.

Nashukuru alikuja kusamehe kabisa na mambo yalirudi kama zamani.
Yes ni jambo la muda ngoja niuachie muda..
 
Hapa nilitaka kutoka wife kakataa kasema naenda kwa mchepuko hivyo nimefungiwa ndaniii 😊😁

NATAFUTA gepu NIKANYWE konyagiiii ndogo moja then nirudii kucheza na watoto
🤣🤣🤣 dadeki umeyakanyaga
 
Jitahidi kutoa respect bila kukuza mambo ukimpa heshima mke wako kwa kuzaa watoto wako haikupunguzii uanaume wako
Anaekuza mambo hapo ni wewe.

Mmetumia kuzaa kama kigezo cha kukupandisha wewe umuhimu wako juu yangu mimi kwenye ndoa.

Umenizalia watoto ? Na mimi nimekutolea mbegu !!!!

Na hao watoto wewe ndio utakaofaidika nao muda mrefu zaidi!

Usijaribu kunipumbaza kwa kusema umenizalia watoto!

Halafu topic muhimu na ngumu inayogusa maisha , ndoa, talaka, watoto, family law, unyanyasaji na mauaji yamo pia, utasemaje nakuza mambo ??????? The hell is wrong with uuuuuu ?????
 
Kwanini mwanamke ndio atanufaika na watoto kwa mda mlefu

Nauliza tena ukitoa respect kwa mke wako kukuzalia watoto kuna shida gani?
Wewe kutoa hiyo punje ya mbegu uliweka rehani maisha yako?

Au ulisimamia ukucha na kusikilizia utamu then maisha yako yakaendekea?

Mwanamke tokea day one mimba inaingia anapitia mabadiliko makubwa ya mwili na kihisia wengine kupata mpka msongo wa mawazo

Kitendo cha kujifungua ni hua kuna hatari mama anaipitia anaweza hata kupoteza maisha au kupata hata ulemavu kuna mtu alijifungua akapata shida ya nyonga

Mwili kuharibika unene sometimes michirizi vitu vingi

Sasa wewe kuna hatari gani ulipata au nguvu gani kubwa ulitumia ku push hiyo mbegu ambayo hata ukifanya nyeto unazimwaga chini

Kama unashidwa kutoa respect kwa mke wako au kwa mwanamke yoyote kwa namna anapitia nyakati hatari na ngumu kujifungua unanishangaza mnoo

Mada yangu imezungumzia tamaa na usaliti unavyoweza kuharibu familia iliyokua imetulia wewe umekomalia ooh kwanini niseme mwanamke Kamzalia mwanaume hii nayo inashangaza nini kusema hivyo?

Nikirudia pale unaposema et mwanamke anachukulia kuzaa kama point sijui unamzungumzia mwanamke yupi

Mwanamke kuzaa pekee hakutoshi kumfanye awe chaguo bora kwa mwanaume nope wewe unaanza kumfahamu mwanamke na kumuona bora na hata anafaa kua mke na mama wa familia kabra ya watoto kuzaliwa

Why useme kwamba mwanamke anatumua point ya mtoto na kama yupo mwanamke wa namna hiyo basi ni kilaza

Na hata kwa mwanaume huwezi kusema utapendwa au kuheshimiwa kisa unaweza kurusha mbegu kwenye mfuko wa uzazi mwanamke anaejitambua anataka zaidi ya hivyo

Anataka baba wa familia kiongozi wa familia mlinzi wa familia nk....
Sio kigezo kutunguisha mimba
Maana hata machizi wanaweza kutungisha mimba

Mwisho kabisa maoni ya mtu hubaki kua maoni yake na sio sheria wewe kama huwezi kuheshimu mke wako kwa sababu atanufaika zaidi kama ulivyosema siwezi kukupinga ila sikubaliani na mtazamo wako
Unaonesha una Ego kubwa
 
Back
Top Bottom