Unajua Mimi simu ya wife sinaga issue nayo...yeye ya kwangu yaani anaipekua sanaa.Kwahiyo wewe kuchati na mchepko ukafuta sms unashindwa ?
Mpka unafumaniwa ?
Huoni kama dharau hizo
Yaan mimi kuni cheat sio shida kubwa shida mpka nakufumania nahesabu ni dharau sana
Mimi binafsi nampenda mke wangu na nawajali na kuwatunza vyema ila kwa SasaTamaa na usaliti ni saratani ya kiroho inayomomonyoa misingi ya familia nyingi leo.
Maandiko matakatifu yanatubainishia wazi kuwa moyo wa mwanadamu ni mdanganyifu kuliko vitu vyote, na usipolindwa, tamaa huingia na kuzaa dhambi.
Wakati wanandoa wanapoacha kutazama viapo vyao vya madhabahuni na kuanza kuendekeza macho na hisia nje ya ndoa, wanaruhusu adui aharibu kile ambacho Mungu amekiunganisha.
Huu si tu usaliti kwa mwenza wa maisha, bali ni uasi dhidi ya agano takatifu lililowekwa mbele za Mwenyezi Mungu.Matokeo ya usaliti huu ni laana inayofuta baraka, amani, na utulivu ndani ya nyumba. Biblia inatukumbusha kuwa "mshahara wa dhambi ni mauti," na katika muktadha wa familia, mauti haya yanajidhihirisha kupitia kufa kwa uaminifu, upendo, na furaha. Watoto ndio wanaoumia zaidi kiroho na kisaikolojia, wakikua katika mazingira yasiyo na ulinzi wa kiungu kwa sababu ya ubinafsi wa wazazi wao.
Nyumba iliyokuwa madhabahu ya sifa inageuka kuwa uwanja wa vita vya kiroho, vifo vya mapema, magonjwa, na umaskini wa ghafla unaotokana na kupoteza kibali cha kiungu.Ili kunusuru jahazi hili linalozama, ni lazima wanandoa warudi kwenye toba ya kweli na magoti ya maombi.
Uponyaji wa familia hauji kwa nguvu za kibinadamu, bali kwa kumwalika Roho Mtakatifu atawale mioyo na kuleta roho ya kusamehe. Kila mmoja anapaswa kulinda malango ya moyo wake kupitia neno la Mungu na kujenga kuta za uaminifu zinazozuia mishale ya adui.
Kuridhika na kile Mungu alichokubariki nacho na kuishi kwa hofu ya Mungu ndiyo ngao pekee itakayolinda ndoa yako dhidi ya dhoruba za tamaa za kidunia.
mmh really?Nipo mitaa ya kwenu ujue 🤪😅
bahati mbaya sana sijasoma mim gentleman,Mimi sio mwalimu ,huo ni muundo wa herufi za darasa la tatu , kiufupi huko shule ulienda kusomea ujinga.
🙏🙏🙏Tamaa na usaliti ni saratani ya kiroho inayomomonyoa misingi ya familia nyingi leo.
Maandiko matakatifu yanatubainishia wazi kuwa moyo wa mwanadamu ni mdanganyifu kuliko vitu vyote, na usipolindwa, tamaa huingia na kuzaa dhambi.
Wakati wanandoa wanapoacha kutazama viapo vyao vya madhabahuni na kuanza kuendekeza macho na hisia nje ya ndoa, wanaruhusu adui aharibu kile ambacho Mungu amekiunganisha.
Huu si tu usaliti kwa mwenza wa maisha, bali ni uasi dhidi ya agano takatifu lililowekwa mbele za Mwenyezi Mungu.Matokeo ya usaliti huu ni laana inayofuta baraka, amani, na utulivu ndani ya nyumba. Biblia inatukumbusha kuwa "mshahara wa dhambi ni mauti," na katika muktadha wa familia, mauti haya yanajidhihirisha kupitia kufa kwa uaminifu, upendo, na furaha. Watoto ndio wanaoumia zaidi kiroho na kisaikolojia, wakikua katika mazingira yasiyo na ulinzi wa kiungu kwa sababu ya ubinafsi wa wazazi wao.
Nyumba iliyokuwa madhabahu ya sifa inageuka kuwa uwanja wa vita vya kiroho, vifo vya mapema, magonjwa, na umaskini wa ghafla unaotokana na kupoteza kibali cha kiungu.Ili kunusuru jahazi hili linalozama, ni lazima wanandoa warudi kwenye toba ya kweli na magoti ya maombi.
Uponyaji wa familia hauji kwa nguvu za kibinadamu, bali kwa kumwalika Roho Mtakatifu atawale mioyo na kuleta roho ya kusamehe. Kila mmoja anapaswa kulinda malango ya moyo wake kupitia neno la Mungu na kujenga kuta za uaminifu zinazozuia mishale ya adui.
Kuridhika na kile Mungu alichokubariki nacho na kuishi kwa hofu ya Mungu ndiyo ngao pekee itakayolinda ndoa yako dhidi ya dhoruba za tamaa za kidunia.
Yesmmh really?
DNA test hapa inahusika kuondoa utata.Tulivyohesabu tarehe, ikaonekana wazi mimba ni ya kijana mmoja wa kawaida anayejitafuta. Lakini yeye alitaka mimba ihesabike kwa mwanaume mwingine mume wa mtu mwenye pesa
Hii ndio za mwizi 40Unajua Mimi simu ya wife sinaga issue nayo...yeye ya kwangu yaani anaipekua sanaa.
Ujue Mimi ni mdau wa VINYWAJI CHANGAMSHI ila nakunywaga responsible
So unaweza kufuta Kila siku ukasahau kufuta siku moja ndio hiyo siku anakudaka
Yaani ananambia atanifurahiaha
Sijambo ewe kijana wa makamoHujambo we msichana!
Nipe no yake nimfanyie cancelingMimi binafsi nampenda mke wangu na nawajali na kuwatunza vyema ila kwa Sasa
Nimepata mchepuko mmoja tuna elewana nao na unajua kua na mke wangu..
Issue inakuja wife kajua hivyo currently imekua kama tunavutana sana / misunderstanding nyingi na kununa pia nilikua na tritiwa kama mfalme now vyote havifanyiki hata nikivaa nguo mbaya siku izii sikatazwi,🤔 Kuna Dunia wife kaingia na JE ataweza kurudisha upendo wa mwanzoo
Sijambo ewe kijana wa makamo
Shikamoo🫡Nisalimie vizuri sasa, we msichana.
Au sio basi safiiNdoa ni utapeli. Kataa ndoa linda afya na uhuru wako.
Shikamoo🫡
Kuna wanaume Mungu kawajalia familia nzuri sana mke mwema, anayejitunza, anayeheshimu ndoa yake, anayekutii na kusimama kwenye nafasi yake kama mke.
Pengine amekuzalia watoto na amekuwa nawe kipindi kigumu na chepesi.
Lakini kutokana na tamaa, unaanza kuchezea amani ya familia yako mwenyewe.
Unaingia kwenye umalaya wa wazi wazi bila hata kujificha, ukiwa na ego kubwa kwamba hakuna atakayekufanya chochote
Sasa hapo mwanamke kakufanyia nini mpaka umtendee hivyo?
Tatizo kubwa si tu kucheat
Tatizo ni dharau, maudhi na mabadiliko ya tabia baada ya kupata (nyama mpya)huko nje
Na unataka mke aendee kukuheshimu kama zamani wakati wewe mwenyewe umebadilika
Heshima haiji yenyewe, heshima inatengenezwa
Kama zamani ulikuwa unaheshimiwa, basi jiulize: nini kimebadilika?
Kwa nini leo unaonekana wa kawaida tu machoni mwa mke wako?
Huenda ni tabia zako mpya dharau, ukali, kiburi na kutothamini familia
Lakini pia nisieleweke vibaya sizungumzii wanawake wenye tabia mbaya, wenye matusi, visirani na gubu kupitiliza Hapana
. Nazungumzia mwanamke mwema ambaye anajitahidi kuijenga familia lakini bado anatendewa vibaya.
Wanasema mshahara wa dhambi ni mauti.
Na kuna kisa nilikishuhudia karibu kabisa kwenye familia
Kuna dada mmoja alikuwa na maisha ya kudanga sana Akapata mimba ya kwanza, mwanaume akamkimbia na kumuachia mtoto
Hakutulia, akapata mimba ya pili, akaolewa haraka haraka kuficha aibu ya ujauzito, lakini ndoa nayo haikudumu akaachika akiwa na mtoto mwingine
.
Bado hakutulia.
Akabeba mimba ya tatu. Siku moja akaja kwangu baada ya swala ya Magharibi. Akanambia:
Mdogo wangu, nimejifunga
Lakini hakuwa na furaha hata kidogo. Nilipomuuliza kulikoni, akasema hajui mimba ni ya nani kwa sababu alikuwa ametembea na wanaume wawili kwa nyakati zinazokaribiana
Tulivyohesabu tarehe, ikaonekana wazi mimba ni ya kijana mmoja wa kawaida anayejitafuta. Lakini yeye alitaka mimba ihesabike kwa mwanaume mwingine mume wa mtu mwenye pesa
Bahati mbaya kwake, yule mwanaume mwenye pesa alikataa na hata akatoa pesa mimba itolewe
Mimba haikutolewa
Mwisho wa siku yule kijana wa kawaida akaambiwa ndiyo mwenye ujauzito na akakubali
Lakini baadaye wakaja kuachana.
Cha kushangaza zaidi, mimba ile ile ikapewa mwanaume mwingine 🙌
ambaye hata hakuhusika kabisa kwenye huo mchezo
Na kwa sababu ya upendo au ujinga, akaikubali mpaka akaanza kuhangaika na majukumu ya mtoto ambaye si wake
Leo hii huyo mwanaume amemuoa kabisa last kama mke wa pili
Nilipomuangalia siku ya harusi nilihuzunika sana
Nikajiuliza
Kama huyu mwanaume angeweza kutuliza tamaa zake na kuwa makini, angejikuta kwenye hali hii kweli?
Kwa sababu wakati mwingine tamaa na uzembe vinaweza kukufanya ubebe majukumu ambayo si yako, huku ukiwaumiza watoto au familia yako halisi
Swali langu kwa wanaume ni hili:
Una uhakika huyo mtoto unayemhudumia ni wako?
Pima hata DNA 🤪
Na kabla hamjaharibu familia zenu kwa tamaa za nje, kumbukeni kuwa amani ya nyumba hujengwa kwa uaminifu, heshima na kujitambua si kwa starehe za muda mfupi
ShesRise_1 👋
Sijambo sana nipo vyediMarahaba hujambo binti!
Kwanza kwanini akunyime ?Mke akiwa mkaksi wa kutoa mbususu, nitakuwa sahihi kutafuta mbususu nyingine nje?
Hana hisia za kugongana.Kwanza kwanini akunyime ?