Tamaa, Usaliti na Matokeo Yake Wanaume na Wanawake Wengi Wanaharibu Familia Zao Wenyewe

Tamaa, Usaliti na Matokeo Yake Wanaume na Wanawake Wengi Wanaharibu Familia Zao Wenyewe

Hana hisia za kugongana.
Kuna machache yanaweza kuchangia
1 hana hisia na wewe
2 maudhi unayomfanyia
3 uzazi wa mpango
4 hujui kumuweka vizuri
5 amekeketwa
6 matatizo ya hormones
7 ana gongwa njee
 
Hivi huonaga mada zangu za mizagamuo kaka 🤣🤣
Mie nimeshaonja 😋
Halafu wewe unatafta bikra🏃‍♀️

Bikira nilishapata.
Wewe njoo kwa Amani tuu.

Tafuta Uzi wangu unaosema vigezo vya kuolewa na Mtibeli(watibeli)
Bikra ina Marks 10 tuu wala haichukui marks nyingi.

Na katika vigezo vile unatakuwa uzidi zaidi ya asilimia 75% ambazo ninauhakika wanawake wengi wasio na bikra wanaweza kuzifikisha.

Ngoja nikutafutie ule uzi
 
Haya nitafutie 🤪
 
Haya nitafutie 🤪
 
Ngoja nisome
 
Kuna wanaume Mungu kawajalia familia nzuri sana mke mwema, anayejitunza, anayeheshimu ndoa yake, anayekutii na kusimama kwenye nafasi yake kama mke.

Pengine amekuzalia watoto na amekuwa nawe kipindi kigumu na chepesi.

Lakini kutokana na tamaa, unaanza kuchezea amani ya familia yako mwenyewe.
Unaingia kwenye umalaya wa wazi wazi bila hata kujificha, ukiwa na ego kubwa kwamba hakuna atakayekufanya chochote

Sasa hapo mwanamke kakufanyia nini mpaka umtendee hivyo?

Tatizo kubwa si tu kucheat
Tatizo ni dharau, maudhi na mabadiliko ya tabia baada ya kupata (nyama mpya)huko nje

Na unataka mke aendee kukuheshimu kama zamani wakati wewe mwenyewe umebadilika
Heshima haiji yenyewe, heshima inatengenezwa

Kama zamani ulikuwa unaheshimiwa, basi jiulize: nini kimebadilika?

Kwa nini leo unaonekana wa kawaida tu machoni mwa mke wako?
Huenda ni tabia zako mpya dharau, ukali, kiburi na kutothamini familia

Lakini pia nisieleweke vibaya sizungumzii wanawake wenye tabia mbaya, wenye matusi, visirani na gubu kupitiliza Hapana

. Nazungumzia mwanamke mwema ambaye anajitahidi kuijenga familia lakini bado anatendewa vibaya.
Wanasema mshahara wa dhambi ni mauti.

Na kuna kisa nilikishuhudia karibu kabisa kwenye familia
Kuna dada mmoja alikuwa na maisha ya kudanga sana Akapata mimba ya kwanza, mwanaume akamkimbia na kumuachia mtoto
Hakutulia, akapata mimba ya pili, akaolewa haraka haraka kuficha aibu ya ujauzito, lakini ndoa nayo haikudumu akaachika akiwa na mtoto mwingine
.
Bado hakutulia.
Akabeba mimba ya tatu. Siku moja akaja kwangu baada ya swala ya Magharibi. Akanambia:
Mdogo wangu, nimejifunga
Lakini hakuwa na furaha hata kidogo. Nilipomuuliza kulikoni, akasema hajui mimba ni ya nani kwa sababu alikuwa ametembea na wanaume wawili kwa nyakati zinazokaribiana

Tulivyohesabu tarehe, ikaonekana wazi mimba ni ya kijana mmoja wa kawaida anayejitafuta. Lakini yeye alitaka mimba ihesabike kwa mwanaume mwingine mume wa mtu mwenye pesa

Bahati mbaya kwake, yule mwanaume mwenye pesa alikataa na hata akatoa pesa mimba itolewe

Mimba haikutolewa
Mwisho wa siku yule kijana wa kawaida akaambiwa ndiyo mwenye ujauzito na akakubali

Lakini baadaye wakaja kuachana.
Cha kushangaza zaidi, mimba ile ile ikapewa mwanaume mwingine 🙌

ambaye hata hakuhusika kabisa kwenye huo mchezo
Na kwa sababu ya upendo au ujinga, akaikubali mpaka akaanza kuhangaika na majukumu ya mtoto ambaye si wake

Leo hii huyo mwanaume amemuoa kabisa last kama mke wa pili

Nilipomuangalia siku ya harusi nilihuzunika sana
Nikajiuliza
Kama huyu mwanaume angeweza kutuliza tamaa zake na kuwa makini, angejikuta kwenye hali hii kweli?

Kwa sababu wakati mwingine tamaa na uzembe vinaweza kukufanya ubebe majukumu ambayo si yako, huku ukiwaumiza watoto au familia yako halisi

Swali langu kwa wanaume ni hili:
Una uhakika huyo mtoto unayemhudumia ni wako?
Pima hata DNA 🤪

Na kabla hamjaharibu familia zenu kwa tamaa za nje, kumbukeni kuwa amani ya nyumba hujengwa kwa uaminifu, heshima na kujitambua si kwa starehe za muda mfupi

ShesRise_1 👋
NAPINGA hapo unaposema mwanamke mwema, amekuzalia watoto. Kana kwamba ni favor amekufanyia.

Hao watoto ni wa wote wawili. Tena yeye mwanamke atafaidika zaidi na hao watoto.
 
Tayali enhee wewe una miaka mingapi😎
 
NAPINGA hapo unaposema mwanamke mwema, amekuzalia watoto. Kana kwamba ni favor amekufanyia.

Hao watoto ni wa wote wawili. Tena yeye mwanamke atafaidika zaidi na hao watoto.
Unapinga je sasa kwani wewe ukiacha ile kuweka mbegu kwenye kifuko cha uzazi ni nini kingine ambacho mwanamke hawezi kufanya?
 
Hii ndio za mwizi 40
Sasa ngoja akufurahishe
Mimi katika umri mdogo niliweza kupevuka na kua na UTULIVU WA MAAMUZI NA AKILI KULIKO VIJANA WENGI WA LIKA LANGU 35'S to 40's hivyo siendeshwi na mihemko , hasira Wala pressure yoyote.

😊☺️ Of course Mimi ni mpole hata kwa kuniangalia TU..hapa win_one anaweza kusaidia maana Uzi wa selfika amewai nifumania...ila Sasa ukinichokoza ndio unaona ubinadamu wangu mwingine..Mimi ni mgumu sana kukasirika/ kasirishwa..
 
win-one njoo kwanza usibitishe upole wa huyu kijana

Hivi kama we mpole ndio maana ukakimbia tusionane kigamboni 🤣🤣
 
Unapinga je sasa kwani wewe ukiacha ile kuweka mbegu kwenye kifuko cha uzazi ni nini kingine ambacho mwanamke hawezi kufanya?
Na yeye akiacha ile kubeba mimba ni nini kingine ambacho mwanamne hawezi kukifanya ?

Yeye ana mfuko wa uzazi mimi nina mbegu !

Watoto hajanizalia mimi !!!

Na atakaefaidika zaidi na watoto ni yeye.

Aliyemzalia mwenzake watoto ni mwanamke wa Michael Jackson, walipotoka hospitali mwanamke akaacha mtoto geti la wodi ya wazazi, akaasepa mazima. Never to see the kid ever again!
 
Back
Top Bottom