Uchaguzi 2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

Umeshapanic!
 
Tatizo unazungumzia awamu ambayo miiko na kanuni sio mambo ya muhimu, na mashabiki wake hawana tatizo hata kanuni na miko hiyo ikivunjwa!
 
Pamoja na kwamba Rais Magufuli amekuwa akiwaasa wale aliowaamini na kuwapa nafasi mbalimbali za uteuzi waridhike na nafasi hizo na waache tamaa, lakini wengi wao wameonyesha kudharau maoni ama ushauri huo na wameamua kuachana na nafasi hizo na kwenda kugombania ubunge.

Je wateule Hawa Ni ama wanajiamini Sana watashinda au wanaamini kwa kazi walizozifanya pindi walipoteuliwa Basi wameshamridhisha Rais hivyo Basi hata wasipopata ubunge, Rais Hana ujanja Bali atawarudisha?
 
Hao ni dugu moja, wanajuana.
 
Hao wanakimbia stress mue bungeni watapata muda Wa ku relax hata kusinzia kidogo
 
Mimi binafsi naanza kumwelewa aliposema Uraisi ni Kaz ngumu aombewe .Kweli Ni kazi ngumu hasa.Kutwa fikiria anawaza ateue Nani inachosha kwa kweli unateua Leo kesho my huyoooo yaani.Namhurumia Raisi wangu serious
 
Mimi binafsi naanza kumwelewa aliposema Uraisi ni Kaz ngumu aombewe .Kweli Ni kazi ngumu hasa.Kutwa fikiria anawaza ateue Nani inachosha kwa kweli unateua Leo kesho my huyoooo yaani.Namhurumia Raisi wangu serious
Ni kweli kabisa. Rais wa awamu hii ana kazi kubwa ya kufanya
 
Hao wanakimbia stress mue bungeni watapata muda Wa ku relax hata kusinzia kidogo
Kama stress Raisi ndie angekuwa nazo sababu full time Yuko kazini 24 hours Kama amiri jeshi . Sababu majeshi huwa hayalali tulilala wao wako kazini na amiri jeshi wao mkuu

Yeye angekuwa kutwa Yuko nje ya Nchi ku relax Kama Raisi wa malawi aliyeondolewa Lakini Wa kwetu ka sacrifice kwa ajili ya watanzania .Kama wao Wana stress za Kaz I za masaa nane tu ya kazi Raisi asemaje
 
Kigamboni watia nia wangapi?! Na vipi Dr.Ndugulile kachukua form au alisusa baada ya Konda kutia nia?!
 
Watia nia waliokuwa wateule wa Raisi hawana wasiwasi ya wingi wa watia nia wapatao elfu 9,kwanini?
Kwani hawajui ugumu wa kubahatisha kuwa mgombea ubunge?
Hawaogopi madhara kutumbuliwa na Magufuli kukaa nje ya mfumo?
Wingi wao ni dalili za kumkimbia Magufuli katika serikali yake kistaarabu.Wametumia fursa hiyo kuepuka fedheha.
 
Sio hao tu wanaokimbia nafasi zao kutaka ubunge hata watu kwenye taaluma mbalimbali wanakimbia kutaka ubunge.kwaio hii inaonesha something is wrong lazima hii nafasi ya ubunge iangaliwe upya kwa maana ya sifa za mtu anaestahili kushika nafasi hii na swala Zima la maslahi ya nafasi hii yapitiwe upya .hatuwezi kuwa na nchi ambayo kila mtu ni mwanasiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…