Uchaguzi 2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

Wewe acha roho mbaya wenzako watakufa njaa!!
 
Rais huyu hana kanuni inategemea tu ameamkaje siku hiyo.
 
Kichwa cha habari kinajieleza vizuri.

Hawa vijana wawili walikuwa wanaitumikia Chadema pale Ufipa na walipoukosa ubunge 2015 baadae wakatimkia CCM kusaka fursa.
Mungu si athumani wakapata teuzi nono tu.

Hawakutosheka wakarudi kule kule walikoangukia pua 2015 na kuchezea kichapo mbele ya miamba ile ile ya Maselle na Husna.

Ama kwa hakika kunguru hafugiki.

Maendeleo hayana vyama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…