Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe acha roho mbaya wenzako watakufa njaa!!Wakati wanahamia kwenye chama chetu walidai kuwa hawahami kwa ajili ya kutafuta vyeo Bali wameridhishwa na utawala wa awamu ya tano chini ya uongozi wako.
Sasa ombi langu kwa kwako Ni Moja tu, kwa wale wote watakaoshindwa kufanikiwa Katika mchakato wa uchaguzi unaoendelea, usiwateue katika nafasi yoyote ile kwa miaka yote mitano, ili kuwapa fursa ya kukitumikia chama chetu wakiwa Kama wanachama wa kawaida. Lengo Ni kutaka kupima imani Yao kwa Chama, Kama kweli hawakuhamia CCM Kama njia ya kutafuta vyeo.
Ni imani yangu kuwa ombi langu litakubariwa
Asante!
Rais huyu hana kanuni inategemea tu ameamkaje siku hiyo.Wakati wanahamia kwenye chama chetu walidai kuwa hawahami kwa ajili ya kutafuta vyeo Bali wameridhishwa na utawala wa awamu ya tano chini ya uongozi wako.
Sasa ombi langu kwa kwako Ni Moja tu, kwa wale wote watakaoshindwa kufanikiwa Katika mchakato wa uchaguzi unaoendelea, usiwateue katika nafasi yoyote ile kwa miaka yote mitano, ili kuwapa fursa ya kukitumikia chama chetu wakiwa Kama wanachama wa kawaida. Lengo Ni kutaka kupima imani Yao kwa Chama, Kama kweli hawakuhamia CCM Kama njia ya kutafuta vyeo.
Ni imani yangu kuwa ombi langu litakubariwa
Asante!
Kwa Nini wafe mkuu, unamaanisha wao wataishi kwa nafasi za uteuzi au ajira. Wanaweza wakajiajiri siyo Lazima waajiriweWewe acha roho mbaya wenzako watakufa njaa!!
Kabisa mkuu,kama wale jamaa waliotaka kumuua Lissu.Mwanadamu aliyemkosa Mungu ndani ya moyo wake hana tofauti na mnyama wa kawaida.
Wewe mwenyewe unajua kuwa huyo mtu ni Baba Lao wapinzani wote uchwara wa nchi hii!!Bado mzee pombe
Wewe mwenyewe unajua kuwa huyo mtu ni Baba Lao wapinzani wote uchwara wa nchi hii!!