Librarian 105
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 261
- 356
Asante mada imekwepa sunna kwa sababu hata hivyo sunna hazikubaliki globally na waislam wote.Msingi wa kanuni za uislamu ni quran na sunnah. Na quran hutafsiriwa na quran yenyewe au kwa sunnah (yaani mwenendo wa mtume). Kote humo kunachokuliwa sheria za uislamu. Kama kuburuta nguo "umeichukua kimakosa kusema suruali" unaipata katika sunnah, kuna matumizi ya mswaki imo katika sunnah, funga za jumatatu na jumanne imo katika sunnah na haimo katika quran.
Kaka ni vema ufanye zaidi utafiti juu ya hoja uliyoiweka. Asante
Tofautisha kati ya Easter ( sikukuu ya wazungu zama za mawe) na Passoover ya kwenye Biblia.No 1,2.....ukitoa Christmas,vipo.
Kasome Tena biblia Yako vzr ,hasa kabla Yesu Hajafa.....utakutana pasaka .
Kasome nyaraka za Paulo vzr ,wakorinto zote, na matendo ya mitume....
Bila kusahau,kasome Mwanzo alipochafua lugha kwenye mnara wa babeli ,na akaamua kurudisha lugha Tena kwenye agano jipya ...
Mimi tangu walipotaka kwenda ulaya bila passport wala ticket ndio nilijuwa hasa hamnazoWasabato hata wakiwa wamesoma sana ila dini ikiwakaa kichwani hata ile akili ya reasoning inawatoka...nani kakwambia/alisema au analazimisha kuwa Yesu alizaliwa trh 25??
Nyie yale makambi yenu yapo kwenye biblia?
Yasiyokuwamo.Hizi hazimo kwenye Biblia.
1: Sikukuu za Krismass na Easter.
2: Kunena kwa Lugha ambazo mnenaji na wasikilizaji wote hawaelewani.
3: Maombezi kwa maiti ili isamehewe dhambi alizofanya akiwa hai.
4: Sabato ya Jumapili.
5: Mchungaji au askofu wa kike. Katika biblia mchungaji ni Mume wa mke mmoja sio mke wa Mume mmoja.
HAYAMO KWENYE QURAN
1: Ishmail kuwa Bora kuliko Isaka.
2: Waislam Kufanya miujiza wakati mtume hakuwahi kufanya muujiza wowote ndani ya quran.
3:Kuvaa suruali ambazo hazifiki chini.
Zile Suruali fupifupi.
4: Wanawake na wanaume kuchangamana wakati wa ibada ya hijja kwenye kaaba (ibada ya heshima kabisa) wakati huku misikitini hawachangamani.
5: Wanawake kuwa maimam na kuongoza ibada zanye mchanganyiko wa jinsia zote.
Nini maoni yako.
sivyo hivyo unavyodhania. Sunnah haitenganishwi na quran katika mujtamah wa sheria za uislam.Asante mada imekwepa sunna kwa sababu hata hivyo sunna hazikubaliki globally na waislam wote.
Ndio maana imejielekeza kwenye Quran na Biblia sio maelezo zaidizi ya vitabu hivyo
nipe tofauti ya quran na sunnah,Asante mada imekwepa sunna kwa sababu hata hivyo sunna hazikubaliki globally na waislam wote.
Ndio maana imejielekeza kwenye Quran na Biblia sio maelezo zaidizi ya vitabu hivyo
Kumbe hujui lolote, passover ndio Pasaka.Tofautisha kati ya Easter ( sikukuu ya wazungu zama za mawe) na Passoover ya kwenye Biblia.
Unaielewa hata Qur-an kweli? Unajua Sunnah ni nini? Na unaijua nafasi yake katika Uislam?Weka aya ya quran mkuu. Kazi hii ni nyepesi kabisa.
Je tunakubaliana sunnah sio quran na quran suo sunnah.sivyo hivyo unavyodhania. Sunnah haitenganishwi na quran katika mujtamah wa sheria za uislam.
Kutofuatwa globally sio hoja ya msingi kuikataa sunnah.
Katika uislamu: kuna usul' (msingi wa dini) na furui' (matawi ya dini). Uislamu umekataza katika kutofautina katika usuul wa dini ambayo humtoa mtu katika dini, ila khitilafu zimo katika matawi ya dini ambayo hayamtoi mtu katika dini. Hapa quran inaingia ktk mambo ya usuul moja kwa moja globally kufuatwa na ulimwengu mzima. Ila sunnah kuna baadhi ya sheria ni hiari ya mtu kufanya au kutofanya. Kama kufunga masiku meupe au jumatatu na alhamisi, ni hiari ya mtu kufanya au kutokufanya, aki
nipe tofauti ya quran na sunnah,
ili twende kwa hoja
Naomba tofauti ya easter na passaka.Kumbe hujui lolote, passover ndio Pasaka.
Nimeomba aya kama haipo, unasema tu maelezo hayo yanapatikana katika extraquranic literatures.Unaielewa hata Qur-an kweli? Unajua Sunnah ni nini? Na unaijua nafasi yake katika Uislam?
Hii tabia ya baadhi yenu humu, kwa experience zenu mlizonazo juu ya Ukristo na Biblia, mkataka muulazimishie na Uislam kwa ujinga wenu. Yaani kwakuwa katika Ukristo wenu iko namna hivi basi lazima na Uislam ndio hivyo hivyo. Hapana, Uislam ni tofauti.
Mtu unaropoka, na huelewi hata unachokisema.
Huelewi hata vyanzo vya Sharia'ah ya Kiislam. Ila utalazimisha kuongea kwa kutumia ufahamu wako kuhusu Ukristo uki assume ndio hivyo hivyo katika Uislam.
Wewe ndiwe mwenye kuzunguka kutokana ufahamu wako mbaya wa quran na sunnahJe tunakubaliana sunnah sio quran na quran suo sunnah.
Allah aliteremsha Sunnah au Quran.
Mada ilijikita katika kile ambacho uislam ulishushiwa na Allah. Kama kuna vingine Sunnah au hadith sahih huku ni nje ya mada.
Unatakiwa kusema havimo katika quran ila ni hekima za kidini nje ya quran.
Tuache kuzunguka.
Basi tukiacha ufahamu wangu mbaya wa quran. Naomba aya kama hakuna basi sema hakuna kisha leta source ya huko ilikotoka. Pia ushahidi wa uhalali wa hicho chanzo nje ya quran. Hata kama ni hadithWewe ndiwe mwenye kuzunguka kutokana ufahamu wako mbaya wa quran na sunnah
Bora wewe mkuu.Kubishana masuala ya imani , unatakiwa uwe na moyo sana! Mm nikukuambia hii Ndio Imani yangu... Wewe inakuwashia Nini...!
Hata cheti cha ndoa ni utaratibu wa serikali sio dini.Kufunga ndoa kanisani haipo kwenye biblia. Ni wizi tu
Ipo kote kote uisilamu na ukristo, yesu pia alivaa kanzu fupi. Ni vazi la mitume wote na wachamungu.Hiyo ya kuvaa suruali hazifiki chini naiunga mkono kwanza zamani kulikuwa hakuna suruali
Allah anasema:Basi tukiacha ufahamu wangu mbaya wa quran. Naomba aya kama hakuna basi sema hakuna kisha leta source ya huko ilikotoka. Pia ushahidi wa uhalali wa hicho chanzo nje ya quran. Hata kama ni hadith