Tamaduni 10 za kidini ambazo hazimo kwenye Biblia au Quran

Msingi wa kanuni za uislamu ni quran na sunnah. Na quran hutafsiriwa na quran yenyewe au kwa sunnah (yaani mwenendo wa mtume). Kote humo kunachokuliwa sheria za uislamu. Kama kuburuta nguo "umeichukua kimakosa kusema suruali" unaipata katika sunnah, kuna matumizi ya mswaki imo katika sunnah, funga za jumatatu na jumanne imo katika sunnah na haimo katika quran.

Kaka ni vema ufanye zaidi utafiti juu ya hoja uliyoiweka. Asante
 
Asante mada imekwepa sunna kwa sababu hata hivyo sunna hazikubaliki globally na waislam wote.
Ndio maana imejielekeza kwenye Quran na Biblia sio maelezo zaidizi ya vitabu hivyo
 
No 1,2.....ukitoa Christmas,vipo.
Kasome Tena biblia Yako vzr ,hasa kabla Yesu Hajafa.....utakutana pasaka .
Kasome nyaraka za Paulo vzr ,wakorinto zote, na matendo ya mitume....
Bila kusahau,kasome Mwanzo alipochafua lugha kwenye mnara wa babeli ,na akaamua kurudisha lugha Tena kwenye agano jipya ...
Tofautisha kati ya Easter ( sikukuu ya wazungu zama za mawe) na Passoover ya kwenye Biblia.
 
Wasabato hata wakiwa wamesoma sana ila dini ikiwakaa kichwani hata ile akili ya reasoning inawatoka...nani kakwambia/alisema au analazimisha kuwa Yesu alizaliwa trh 25??
Nyie yale makambi yenu yapo kwenye biblia?
Mimi tangu walipotaka kwenda ulaya bila passport wala ticket ndio nilijuwa hasa hamnazo
 
Hizi hazimo kwenye Biblia.
1: Sikukuu za Krismass na Easter.

2: Kunena kwa Lugha ambazo mnenaji na wasikilizaji wote hawaelewani.

3: Maombezi kwa maiti ili isamehewe dhambi alizofanya akiwa hai.

4: Sabato ya Jumapili.

5: Mchungaji au askofu wa kike. Katika biblia mchungaji ni Mume wa mke mmoja sio mke wa Mume mmoja.

HAYAMO KWENYE QURAN

1: Ishmail kuwa Bora kuliko Isaka.

2: Waislam Kufanya miujiza wakati mtume hakuwahi kufanya muujiza wowote ndani ya quran.

3:Kuvaa suruali ambazo hazifiki chini.
Zile Suruali fupifupi.

4: Wanawake na wanaume kuchangamana wakati wa ibada ya hijja kwenye kaaba (ibada ya heshima kabisa) wakati huku misikitini hawachangamani.

5: Wanawake kuwa maimam na kuongoza ibada zanye mchanganyiko wa jinsia zote.

Nini maoni yako.
Yasiyokuwamo.

Lengo la dini ni KUTAWALA na wala si mambo ya koroho (theologia) kama tunavyoaminishwa. Kwa maana dini zilianzishwa kwa ajili ya kuondoa utawala na sheria za wakati huo zilizosimamia uovu.

Kazi ya dini si kutupeleka watu mbinguni bali kuleta utawala na sheria za mbinguni hapa duniani.

Asilimia 85% ya ufahamu (concept) ya dini ni uongo uliotengenezwa.

Makanisa mengi ya kisasa yanatumia neno Yesu kama mtaji wa kuchuma pesa kutoka kwa watu wasio na misingi ya tikadi sahihi wasiotaka kujiongezea maarifa kutoka kwa vyanzo vingine
 
Asante mada imekwepa sunna kwa sababu hata hivyo sunna hazikubaliki globally na waislam wote.
Ndio maana imejielekeza kwenye Quran na Biblia sio maelezo zaidizi ya vitabu hivyo
sivyo hivyo unavyodhania. Sunnah haitenganishwi na quran katika mujtamah wa sheria za uislam.
Kutofuatwa globally sio hoja ya msingi kuikataa sunnah.

Katika uislamu: kuna usul' (msingi wa dini) na furui' (matawi ya dini). Uislamu umekataza katika kutofautina katika usuul wa dini ambayo humtoa mtu katika dini, ila khitilafu zimo katika matawi ya dini ambayo hayamtoi mtu katika dini. Hapa quran inaingia ktk mambo ya usuul moja kwa moja globally kufuatwa na ulimwengu mzima. Ila sunnah kuna baadhi ya sheria ni hiari ya mtu kufanya au kutofanya. Kama kufunga masiku meupe au jumatatu na alhamisi, ni hiari ya mtu kufanya au kutokufanya, aki

nipe tofauti ya quran na sunnah,
ili twende kwa hoja
 
Weka aya ya quran mkuu. Kazi hii ni nyepesi kabisa.
Unaielewa hata Qur-an kweli? Unajua Sunnah ni nini? Na unaijua nafasi yake katika Uislam?

Hii tabia ya baadhi yenu humu, kwa experience zenu mlizonazo juu ya Ukristo na Biblia, mkataka muulazimishie na Uislam kwa ujinga wenu. Yaani kwakuwa katika Ukristo wenu iko namna hivi basi lazima na Uislam ndio hivyo hivyo. Hapana, Uislam ni tofauti.

Mtu unaropoka, na huelewi hata unachokisema.

Huelewi hata vyanzo vya Sharia'ah ya Kiislam. Ila utalazimisha kuongea kwa kutumia ufahamu wako kuhusu Ukristo uki assume ndio hivyo hivyo katika Uislam.
 
Je tunakubaliana sunnah sio quran na quran suo sunnah.
Allah aliteremsha Sunnah au Quran.

Mada ilijikita katika kile ambacho uislam ulishushiwa na Allah. Kama kuna vingine Sunnah au hadith sahih huku ni nje ya mada.

Unatakiwa kusema havimo katika quran ila ni hekima za kidini nje ya quran.

Tuache kuzunguka.
 
Nimeomba aya kama haipo, unasema tu maelezo hayo yanapatikana katika extraquranic literatures.

Hamna haja ya jazba maalim.
 
Je tunakubaliana sunnah sio quran na quran suo sunnah.
Allah aliteremsha Sunnah au Quran.

Mada ilijikita katika kile ambacho uislam ulishushiwa na Allah. Kama kuna vingine Sunnah au hadith sahih huku ni nje ya mada.

Unatakiwa kusema havimo katika quran ila ni hekima za kidini nje ya quran.

Tuache kuzunguka.
Wewe ndiwe mwenye kuzunguka kutokana ufahamu wako mbaya wa quran na sunnah
 
Kubishana masuala ya imani , unatakiwa uwe na moyo sana! Mm nikukuambia hii Ndio Imani yangu... Wewe inakuwashia Nini...!
 
Wewe ndiwe mwenye kuzunguka kutokana ufahamu wako mbaya wa quran na sunnah
Basi tukiacha ufahamu wangu mbaya wa quran. Naomba aya kama hakuna basi sema hakuna kisha leta source ya huko ilikotoka. Pia ushahidi wa uhalali wa hicho chanzo nje ya quran. Hata kama ni hadith
 
Allah anasema:
"enyi mlioamini! Mtiini Allah na rasuli wake: na wala msijiepushe nazo (amri za rasuli) na hali mnasikia"
al anfaal: 20].

Na Allah anasema tena
"na lolote analokupeni rasuli (mtume) basi lichukueni, na analokukatazeni basi acheni..." al hashr : 7.

Hapa ndio tunapata msingi wa sunnah kutotenganishwa na quran kwa namna yoyote. Na aya zipo nyingi
 
Back
Top Bottom