Librarian 105
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 261
- 356
Msingi wa kanuni za uislamu ni quran na sunnah. Na quran hutafsiriwa na quran yenyewe au kwa sunnah (yaani mwenendo wa mtume). Kote humo kunachokuliwa sheria za uislamu. Kama kuburuta nguo "umeichukua kimakosa kusema suruali" unaipata katika sunnah, kuna matumizi ya mswaki imo katika sunnah, funga za jumatatu na jumanne imo katika sunnah na haimo katika quran.
Kaka ni vema ufanye zaidi utafiti juu ya hoja uliyoiweka. Asante
Kaka ni vema ufanye zaidi utafiti juu ya hoja uliyoiweka. Asante