Tamko la Serikali kuhusu Kukamatwa kwa Dkt. Slaa, Mdude, Wakili Mwabukusi


Waziri kaongea maneno ya kujitega hapa akiamini anampa maujiko Samia...
 
Serikali ya Tanzania imekanusha madai ya Mashirika ya Kitaifa na Kimataifa kwamba imewakamata Watu watatu (Dkt. Slaa, Mdude na Wakili Mwabukusi) kwasababu ya kukosoa mkataba wa Uwekezaji wa Bandari ambapo imesema madai hayo sio ya kweli bali Watu hao wamekamatwa kwasababu za kuitisha maandamano ya kuiondoa Serikali madarakani.

Taarifa iliyochapishwa kwenye ukurasa wa mtandao wa X wa Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye @napennauye imesema “Hakuna aliyekamatwa na hakuna ambaye atakamatwa Tanzania kwa kukosoa mkataba wa Bandari na mradi , mpango, programu au sera yoyote kuhusu mkataba huo”

“Watuhumiwa wamekamatwa kwa kutishia kufanya maandamano ya kuiondoa Serikali madarakani, pia kuhamasisha Wananchi kuwashambulia Polisi, wamekamatwa ili kufikisha ujumbe mzito kwa Wakosoaji wanaofikiria kufanya makosa yoyote ya kijinai”

“Kukamatwa kwa Watu hao hakuzuii uhuru wa kutoa maoni Tanzania ila ni sehemu ya hatua za kisheria zinazolenga kuzuia maandamano yanayoweza kusababisha uasi dhidi ya Serikali iliyochaguliwa Kidemokrasia”

“Tangu imeingia madarakani March 2021 Serikali ya Rais Samia imekuza demokrasia kwa kuondoa vikwazo vya kisiasa kwa Vyama vya Siasa ikiwemo kuruhusu mikutano ya kisisasa, kuruhusu Online TV na magazeti yaliyofungiwa kufanya kazi na kuboresha uhuru wa kujieleza”
 
Hivi sasa vyama vya upinzani vinafanya mikutano ya hadhara kwa uhuru nchini kote kukosoa mkataba wa bandari na sera nyingine za Serikali jambo ambalo hawakuweza kulifanya miaka michache iliyopita kabla ya utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Hichi kingereza ameandikiwa
Yeye akasaini tuu
Aje abishe hapa Nampa million tano
 
Tumewakataa DPp World, msitulazimishe!!
 
Nape ni mmakonde mjinga ,mpuuzi aliyechukua fedha za mwarabu warudishie wenyewe
 
Hivi,Nape alipona ile michubuko alipotembelea magoti umbali wa kilometa "salasini" uelekeo wa lango la ikulu ya Daslam??
 
Nape ni zombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…