Tamko la Serikali kuhusu Kukamatwa kwa Dkt. Slaa, Mdude, Wakili Mwabukusi

Form four zero... Angalia wanavyo jichanganye wenyewe
Hii ni ile Mungu alio wapiga Wana wa Israel kila mmoja akaongea lugha yake ili wasielewane.
Wakati wa ujenzi wa ule mnara Yakobo (Israeli) alikuwa hajazaliwa kabisaa.
 
Nape Nnauye hana uwezo wa kuandika hiki kingereza hata yeye aliposoma baada ya kuandikiwa hakuelewa chochote zaidi ya kuelewa neno lolote
Muache waziri wetu, kwenye issue ya Starlink ndio nilimwona mwamba kweli ni genius, yaani balaa sana huyu ๐Ÿ˜€
 
Huyu nape ni kati ya watu hatari kwa maslahi mapana ya nchi yetu
 
Form four zero... Angalia wanavyo jichanganye wenyewe
Hii ni ile Mungu alio wapiga Wana wa Israel kila mmoja akaongea lugha yake ili wasielewane.
Watoto wa Haramu huwa wanakomaa sana ili watambulike
 
Aisee๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, ko AME juaa kuwa huwa una michepuko๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
Mimi na mama yako tumekua kwenye uaminifu mwa-mwisho...๐Ÿคจ
Ila tangu ulipo hamia daslam umeanza kunisagia kunguni ili upate urithi mapema, bai ze wei mshua wako sina mpango wa kudanja chap...๐Ÿ˜•
 
Uoga umewaingia kwa hivyo wameamua kuwatisha wale wenye kupinga mkataba wa ovyo wa uwekezaji wa dubai kwenye bandari zetu.
 
Mimi na mama yako tumekua kwenye uaminifu mwa-mwisho...๐Ÿคจ
Ila tangu ulipo hamia daslam umeanza kunisagia kunguni ili upate urithi mapema, bai ze wei mshua wako sina mpango wa kudanja chap...๐Ÿ˜•
Sio lazima udanje, tuta kutumia kombora๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Haniiiii.....๐ŸŽถ
Hanniiiii.......๐ŸŽป
Heheeeheee.....๐Ÿ˜œ
Ghafla mziki unaisha...๐Ÿ˜
Akishamkatia Hani wake vibuno ,akipiga haniiii mziki kwisha!hii nchi ngumu sana๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
duh, mbona hicho kingereza aibu naona mie, ni document kweli imetoka wizarani? au ni mjinga mmoja kajifungia kaandika kumpelekea mshikaji akasaini? naona kaamua kupanga kiswahili kwa kingereza, na kamtumia mwanasheria kanjanja kumdanganya kuwa hiyo ni legalese,

Mungu wangu, kuna shida Tanzania, poor english, poor language, dah
 
Tabia ya kutafsiri kiingereza kwa kutumia maroboti (ChatGPT)

Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

UJINGA; Ministry of Information, Communication and Information Technology

SAHIHI; Ministry of Communication and Information Technology

Kuna bwege atakaza ubongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nina mtu wangu mmoja hivi ni mmoja wa mabosi wa kitengo sema alishastaafu ingawa kuna Update huwa anapata za hapa na pale, sasa kutokana na sakata ka Uhaini na Bandari ikabidi jana nimuibukie kwake make kuna kazi zake namsaidiaga sasa nikatumia huo muanya kujua ana maoni gani.

Huyu Bosi anashangaa kwanza ilikuwaje Mkuu wa jeshi la Police akatoa habari kubwa kama ile, ile habari hata nchi zenye Usalama mdogo still still huwa haitolewe bali wanaweza hata zima mitandao ya simu na kila aina ya njia ila sio kutoa habari za Uhaini hadharani kadai ile tu Sakata la Urusi juzi kati ni vyombo vya habari vilishadadia ni Uhaini ila Serikali yenyewe iliishia kusema ni wasaliti mara maadui ila sio kutamka neno Uhaini.

Akaniambia ile ni weekness ya karine ni aibu kuu kwa vyombo vya ulinzi na usalama na ingawa hajapewa update ila hajui nani alitoa go ahed ya IGP kutoa tuhuma ngumu kama zile na kasema kama zingekuwa kweli kwa sasa hata mkuu jeshi au wakuu wa usalama walipaswa kuwa walisha futwa kazi kitambo, Ila kwa sababu ni tuhuma za kutengeneza na za hatari sana ndio maana hakuna kinacho endelea ,anasema ile tuhuma huwa ni ya Mwisho kutolewa na huendana na hatua ya kufunga mipaka kabisa na viwanja vya ndege na mkuu wa nchi huenda kufichwa na kusiko julikana.

Lile tangazo lilipaswa kuendana na kutangaza hali ya hatari nchi nzima kama kweli ilikuwa ni tuhuma real.

Huwezi tangaza tuhuma ngumu kama zile na mkuu wa nchi anaonekana hadharani akiendelea na majukumu yake kasema haihitaji elimu ya Sciance kujua kwamba ni tuhuma za kutungwa na za hatari sana.

Kuhusu kama wakina Dkt. Slaa wanaweza fanya Mapinduzi, kasema still hii ni aibu kubwa sana, Uhaini hufanywa na watu wa ngazi ya juu serikalini au Jeshini ila sio watu choka mbaya kama wakina Dr Slaaa kadai tuhuma ni za kisiasa ila ni za hatari na mbaya sana na ni sawa na kuomba Uhaini utokee.

Nchi kama Burundi zenye Uslama mdogo bado huwa hawatamki hadharani neno Uhaini labda wandishi wa habari warushe wenyewe ila sio mamlaka, kadai Tanzania inaomba Uhaini na huenda ikaja kuupata kweli siku zaijazo.

Kahitimisha kwa kusema Raisi ni very weak ukilinganisha na Maraisi wote walio tangulia, Kikwwte hakuwa weak ila alikuwa tu na kujuana sana kwenye masuala kama ya kudili na Ufisadi ila huyu ni too weak ndio maana anapelekeshwa na washauri wake.

Kuhusu Bandari.

Suala la bandari kadai wengi wanaosapoti ukitoa wale wa juu ni wanafuata mkumbo na hili swala la Bandari ni dili la wakubwa kuna biashara za wakubwa kwenye ile dili sasa hawa Kajamba nani wana sapoti bila kujua nyuma ya pazia kuna nini, kadai bandari ni suala nyeti sana ni sawa na kuuza Mlima Kilimanjaro,ile ni alama ya nchi ni utambulisho wa nchi, Kadai kukodisha hata kwa miaka michache ni sawa na kuuza tu, kamalizia kwa kusema Watanzania wengi ni fuata bendera wanadandia vitu ambavyo hawavijui kabisa undani wake wanadandia tu, Hili Swala la Bandari impact yake itakuja jutafuna vuzazi vijavyo ambayo sisi tunajukumu la kuvipigania na sio kusapoti kwa kufuata mkumbo.

Kadai DP world inajulikana kwa kutembeza Bahasha huko Duniani tena za nguvu sana. Sasa lazima Tanzania kuna watu wametembezewa bahashha ila ni niwachache sana ni watunga Sera labda na viongozi wa juu kabisa. Hawa wengine ni wapiga zumari tu wakichoka wanaenda kula Chips mayai na Peps ila wanao faidi wamekaaa kimya hawangaiki kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ