matatizo hayaishi!?..kalemani alisema wiki mbili..wiki mbili zimepita linakuja tatizo lingine
 
Waziri muongo alisema kukatika umeme itakuwa historia . CCM imechokwa nchi nzima.sijuwi hawa wanaokichagua hiki chama wanatumia tochi au vibatari?
 
matatizo hayaishi!?..kalemani alisema wiki mbili..wiki mbili zimepita linakuja tatizo lingine
Huujui umeme ndio maana wabwatuka swali kama hilo. Vitu hivi vya umeme na moto lolote laweza kutokea wakati wowote.
 
TANESCO
Nadhani hii taarifa ya leo haituhusu sisi mikoa ya Tanzania kwani sie tumeanza huu mgao yapata wiki tatu sasa ha bado unaendelea
 
JPM bado amezungukwa na watu wasiowajibika,wanaojificha nyuma ya mgongo wa chama
Huu unafiki wa kuwalaumu washauri na wanaomzunguka mtekelezaji mkuu ndio umetufikisha hapa. Nchi hii miaka yote ni watu waliowazunguka viongozi ndiyo wenye matatizo lakini hao watu wameteuliwa na hao hao viongozi.
 
MAHANJU
Hili la umeme sio siri, linakera kwa kweli.Na kwa nini wasitoe taarifa kama kuna mgao,jambo ambalo liko wazi?The problem ni kwamba wanavyozidi kukaa kimya, ndivyo wananchi wanavyozidi kukereka.Ni afadhali wakawa wawazi.

Mimi sijui watendaji wa TANESCO wanafanya hivyo kwa interest ya nani.Utendaji wa aina hii umeambukiza mpaka vitengo vingine,huduma ikiwa haipatikani,watu wanakaa kimya, wananchi hawapewi taarifa, wanabaki wana-speculate.Huu sio utendaji mzuri hata kidogo.Watanzania ni lazima tubadilike.

Na hivi zile mbwembwe za Waziri Kalemani za kumuondoa Mtendaji Mkuu wa Kidatu ziliishia wapi,mbona hatuoni matunda?
 
Nimesikia BBC World Service umeme umekatika nchi nzima Tanzania.

Hapa Kazi Tu.
 
Binafsi nilipo hakuna umeme na jana usiku ulisumbua mseneo ni temeke_yombo
Coment upo au haupp
 
Chama hakina Mungu bali kina yule aliye 'kinyume na Mungu' mnatarajia nini!. Chama kimejaa siasa za chuki, wizi, uonevu, majungu, hila, ufisadi, gilba, uongo, damu nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…